Usikose kusikiliza kipindi cha NJE-NDANI Jumamosi hii
![](http://3.bp.blogspot.com/-_vO2PFAttfI/U6OrA9UydcI/AAAAAAAAHIQ/CYN5KPhH8g0/s72-c/Bandio+&+Haika+interview.jpg)
Haika Lawere akiwa tayari kwa mahojiano na Kwanza Production ya Washington DC
Katika NJE-NDANI ya Kwanza Production na Border Radio wiki hii, mbali na habari kuhusu Afrika, utasikia mahojiano yangu na Haika Lawere.
Yeye ni Mkurugenzi Mtendaji wa Mbezi Garden Hotel ya Dar Es Salaam Tanzania
Amekuwa mkarimu sana kujiunga nami hapa Maryland USA kuzungumza mengi kuhusu maisha na ujasiriamali.
Haika Lawere akizungumza na wanawake kwenye tukio la wanawake waTanzania Washington DC
Photo...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-eUTS2Zkc8sU/U5jeud8FdSI/AAAAAAAAHGI/MvT9rQzUCAU/s72-c/Fabian+Lwamba.jpg)
Usikose kusikiliza kipindi cha NJE-NDANI wiki hii
![](http://1.bp.blogspot.com/-eUTS2Zkc8sU/U5jeud8FdSI/AAAAAAAAHGI/MvT9rQzUCAU/s640/Fabian+Lwamba.jpg)
Katika NJE-NDANI wiki hii kati ya utakayosikia mahojiano na Fabian Lwamba Mmoja wa ndugu watatu wanaounda kundi la KRYSTAAL ambao walizaliwa kwenye familia iliyojiweza, lakini mgogoro wa kisiasa ukawafanya waikimbie Zaire na kutengana.
![](http://3.bp.blogspot.com/-3KVyCvXANxA/U5jfAypod9I/AAAAAAAAHGQ/U0uef84f1J4/s640/Lwamba+brothers.jpg)
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-lEWssdUrrIc/VVTcc5qWxII/AAAAAAAHXVc/va2x0po4JAc/s72-c/unnamed.jpg)
10 years ago
Dewji Blog13 Feb
Baada ya Oman, Skylight Band kunogesha Valentine’s day ndani ya Thai Village Jumamosi hii..Usikose
Meneja wa Skylight Band Aneth Kushaba AK47 (wa pili kulia) akiongoza vijana wake kutoa burudani kwa mashabiki wa bendi hiyo Ijumaa iliyopita ndani ya kiota cha Thai Village Masaki jijini Dar. Kutoka kushoto ni mwimbaji Baby, Ashura Kitenge pamoja na Sam Mapenzi.
Ijumaa hii Skylight Band hawatopiga Thai Village watakua njiani wakitokea nchini Oman, wanaomba radhi kwa usumubufu wowote utakaojitokeza kwa wateja wao.
Ila siku ya Jumamosi siku ya wapendanao (Valentine’s Day) Skylight Band...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-vOG1QjIopkc/VN2gqpTNP2I/AAAAAAAHDaM/O-RcbqhCIo8/s72-c/unnamed.jpg)
10 years ago
Dewji Blog21 Jun
Usikose kipindi kipya cha luninga ‘Nyumbani na Diaspora’ kinachoendeshwa na Maggid Mjengwa kila Ijumaa ndani ya TBC 1
Nyumbani na Diaspora!
Ni kipindi kipya cha saa nzima chenye kuhusiana na Watanzania wa nyumbani na walio nje ya mipaka yetu.
Ni kipindi daraja kitakachowaunganisha Watanzania katika kubaini fursa mbalimbali za kuinuka kimaendeleo, kwa mtu mmoja mmoja, jumuiya na hatimaye taifa.
Ni kipindi kitakachoongozwa na mchambuzi na mmoja wa wanahabari nguli hapa nchini. Si mwingine ni Maggid Mjengwa.
Jiunge nae kufuatilia mahojiano motomoto na watu wa kada mbalimbali kwenye masuala ya kiuchumi,...
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-H7BLiDgzeIU/Vk2gMJBta2I/AAAAAAAIGyA/oJc08uwWr3I/s72-c/AsosAlM6YBi7ImU5KCmi2opk6XAa6c9OR_wo8iyO-7vk.jpg)
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-A2NJzilMat8/Uy-M2WibiNI/AAAAAAAAG2Q/OzCVBwai2Pk/s72-c/Makulilo2.jpg)
Mdau Boniface Makulilo akijadili suala la Scholarship katika kipindi cha NJE-NDANI
![](http://2.bp.blogspot.com/-A2NJzilMat8/Uy-M2WibiNI/AAAAAAAAG2Q/OzCVBwai2Pk/s640/Makulilo2.jpg)
10 years ago
Dewji Blog25 Jun
Kumekucha kipindi kipya cha ‘NYUMBANI NA DIASPORA..! ndani ya TBC1 Ijumaa hii Juni 26
Mwanzilishi na mtayarishaji wa kipindi cha NYUMBANI NA DIASPORA, Bw. Maggid Mjengwa (katikati) akitambulisha rasmi kipindi hicho cha televisheni kitakachokuwa kikiruka kila Ijumaa kupitia TBC1. Kulia kwake ni Mkurugenzi Mtendaji wa Tanzania Diaspora Initiative, Emmanuel Mwachullah na kushoto ni Mkurugenzi wa Diaspora, Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bi.Rosemary Jairo walipokuwa katika mkutano huo katika ukumbi wa Idara habari Maelezo mapema leo Juni 25.
Na Andrew...
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-oZo5j12lsyU/UyZl0jDUjqI/AAAAAAAAG1I/63tBzF9UxyM/s72-c/Makulilo.jpg)
mwana-Diaspora Boniface Makulilo azungumzia maisha katika jeshi la Marekani kwenye kipindi cha NJE-NDANI
![](http://1.bp.blogspot.com/-oZo5j12lsyU/UyZl0jDUjqI/AAAAAAAAG1I/63tBzF9UxyM/s1600/Makulilo.jpg)
Jeshi la Maji la Marekani (Navy) Mtanzania Boniface Makulilo ametumikia Jeshi la Maji (NAVY) hapa Marekani kwa miaka miwili na sasa ni mwanajeshi mstaafu (Veteran) Amezungumza na Mubelwa Bandio wa Jamii Production kuhusu maisha yake ya jeshini na namna ambavyo watu toka nje ya nchi wanaweza kunufaika na mafao yaliyopo jeshini. Ameeleza mengi ya manufaa ambayo wengi hatuyajui kuhusu maisha katika jeshi hilo. Karibu uungane...