Mdau Boniface Makulilo akijadili suala la Scholarship katika kipindi cha NJE-NDANI

Mdau Ernest Makulilo ambaye huandika kuhusu masuala ya Scolarship HAPA na pia kutoa video za suala hili HAPA
UNATAKA SCOLARSHIP? Unajua pa kuzipata? Unajua namna ya kuzipata? Masharti yake je? Makosa yanayofanywa na wengi? Tofauti ya Scholarships za Undergraduate na Graduates wazijua? Yapi ya kuchunga wakati wa kutafuta scholarships? Boniface Makulilo ambaye amenufaika na scholarship hizi na kuandika kuzihusu kwa miaka ipatayo sita anaungana na Mubelwa Bandio wa Jamii Production...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi
mwana-Diaspora Boniface Makulilo azungumzia maisha katika jeshi la Marekani kwenye kipindi cha NJE-NDANI

Jeshi la Maji la Marekani (Navy) Mtanzania Boniface Makulilo ametumikia Jeshi la Maji (NAVY) hapa Marekani kwa miaka miwili na sasa ni mwanajeshi mstaafu (Veteran) Amezungumza na Mubelwa Bandio wa Jamii Production kuhusu maisha yake ya jeshini na namna ambavyo watu toka nje ya nchi wanaweza kunufaika na mafao yaliyopo jeshini. Ameeleza mengi ya manufaa ambayo wengi hatuyajui kuhusu maisha katika jeshi hilo. Karibu uungane...
11 years ago
Michuzi16 Sep
11 years ago
Michuzi
Usikose kusikiliza kipindi cha NJE-NDANI Jumamosi hii


Photo...
11 years ago
Michuzi
Usikose kusikiliza kipindi cha NJE-NDANI wiki hii

Katika NJE-NDANI wiki hii kati ya utakayosikia mahojiano na Fabian Lwamba Mmoja wa ndugu watatu wanaounda kundi la KRYSTAAL ambao walizaliwa kwenye familia iliyojiweza, lakini mgogoro wa kisiasa ukawafanya waikimbie Zaire na kutengana.

11 years ago
Michuzi23 Jul
11 years ago
Michuzi09 Oct
11 years ago
Michuzi30 Jul
10 years ago
Michuzi
kipindi cha danga chee ndani ya michuzi tv sasa unakipata katika simu tv...
