Baada ya Oman, Skylight Band kunogesha Valentine’s day ndani ya Thai Village Jumamosi hii..Usikose
Meneja wa Skylight Band Aneth Kushaba AK47 (wa pili kulia) akiongoza vijana wake kutoa burudani kwa mashabiki wa bendi hiyo Ijumaa iliyopita ndani ya kiota cha Thai Village Masaki jijini Dar. Kutoka kushoto ni mwimbaji Baby, Ashura Kitenge pamoja na Sam Mapenzi.
Ijumaa hii Skylight Band hawatopiga Thai Village watakua njiani wakitokea nchini Oman, wanaomba radhi kwa usumubufu wowote utakaojitokeza kwa wateja wao.
Ila siku ya Jumamosi siku ya wapendanao (Valentine’s Day) Skylight Band...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL
BAADA YA OMAN, SKYLIGHT BAND KUNOGESHA VALENTINE’S DAY NDANI YA THAI VILLAGE JUMAMOSI HII
11 years ago
GPL
HIVI NDIVYO ILIVYOKUWA USIKU WA VALENTINE'S DAY NA SKYLIGHT BAND NDANI THAI VILLAGE
10 years ago
Dewji Blog20 Feb
Skylight Band ilivyowabamba mashabiki wake ‘Valentines’s day’ ndani ya Thai Village
Mwanadada mrembo akipozi kwenye eneo maalum kukaribisha mashabiki wa Skylight Band kwa shots za Zappa na Tequila pamoja na ua aina ya Rose maalum kuonyesha upendo kwa wapenzi wao katika usiku maalum wa wapendanao uliofanyika jumamosi iliyopita ndani ya kiota cha maraha cha Thai Village….Skylight Band itaendelea kusambaza upendo Ijumaa ya leo, baada kurejea nyumbani salama wakitokea nchini Oman….Muda ule ule… uchakavu ule ule… mahali ni pale pale….Karibuni.
Mkali wa R & B Skylight Band,...
11 years ago
Dewji Blog23 May
Skylight Band wazidi kuwapa raha zisizo na kifani mashabiki wake Jijini Dar, usikose leo ndani ya Thai Village
Sam Mapenzi akiliazisha Taratibuuuuu ndani ya Thai Village Ijumaa iliyopita.
Vijana wa Skylight kwa Taaratibuuu wakiimba kwa hisiaa kali kuwapa burudani mashabiki wao ndani ya kiwanja cha Thai village.
Anaitwa Hashim Donode (mzee wa viduku)akiimba kwa Hisia kaliiiii kabisaaa ndani ya kiwanja cha Thai Village Ijumaaa iliyopita ili kuwapa ile kitu roho inapenda mashabiki wao.
Toka kushoto Digna Mbepera akimpa sapoti ya nguvu kijana machachariiiiii anayejulikana kwa jina la Donode...
11 years ago
Dewji Blog24 Oct
Skylight Band wazidi kulitikisa Jiji la Dar, usikose leo Thai Village na kesho ndani ya JEMBE BEACH jijini Mwanza tamasha la Nyama Choma
Kama kawaida yetu kila ifikapo Ijumaa Bendi yako kali na matata hapa nchini Skylight Band tunakuwepo ndani ya kiota cha maraha Thai Village Masaki, Njoo wewe,yule na wote kuanzia mida ya saa tatu kamili mpaka mida yetu ileeeeeeeee, upate muziki mzuriiii kwenye masikio yako kwa masong makali na mapya toka kwa Timu nzima ya Skylight Band. Sogea sogea pale kati.
Digna Mbepera akiimba kwa...
11 years ago
GPLSKYLIGHT BAND WAZIDI KULITIKISA JIJI LA DAR, USIKOSE LEO THAI VILLAGE NA KESHO NDANI YA JEMBE BEACH JIJINI MWANZA TAMASHA LA NYAMA CHOMA
11 years ago
Dewji Blog06 Jun
Skylight Band yazidi kuwapa shangwe mashabiki ndani ya kiota cha Thai Village, tukutane tena Ijumaa hii
Digna Mbepera (katikati) akiongoza Divas wenzake wa Skylight Band Aneth Kushaba AK 47 na Winfrida Richard (kulia) kutoa burudani kwa mashabiki wao Ijumaa iliyopita ndani ya kiota cha Thai Village Masaki jijini Dar. Ijumaa ya leo pia sio ya kukosa mwendo ni ule ule ma-style mapya kibao yatachezeka!
Amsha amsha ikianza taratibu….hakuna kama Skylight Band ndio habari ya mujini…!
Majembe ya Skylight Band…Kutoka kushoto ni Joniko Flower, Sony Masamba na Sam Mapenzi wakifanya yao jukwaani.
11 years ago
Dewji Blog01 Aug
Baada ya kuporomosha burudani ya nguvu Eid Mosi, leo Skylight Band kama kawaida ndani ya Thai Village njoo usikosee!
Digna Mbepera (wa kwanza kushoto)akiimba kwa hisia kaliiiii ndani ya kiota cha maraha na burudani Thai Village Masaki,Kulia kwake ni Aneth Kushaba akimpa sapoti ya ukweli.Kila ijumaa Skylight Band wanakuwa Thai Village wakitoa burudani ya nguvu yenye kukonga roho yako kwa muziki mzuri na uliopangiliwa sawa sawa, Ijumaa ya leo kama kawaida njoo ufurahi na ukutane na marafiki wapya.
Mary Lucos mwadada mwenye sauti tamu na nyororo akiimba kwa raha zake kuwapa burudani mashabiki wake.
Aneth...
11 years ago
GPLBAADA YA KUPOROMOSHA BURUDANI YA NGUVU EID MOSI, LEO SKYLIGHT BAND KAMA KAWAIDA NDANI YA THAI VILLAGE NJOO USIKOSEE!