Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Skylight Band yazidi kuwapa shangwe mashabiki ndani ya kiota cha Thai Village, tukutane tena Ijumaa hii

DSC_0006

 Digna Mbepera (katikati) akiongoza Divas wenzake wa Skylight Band Aneth Kushaba AK 47 na Winfrida Richard (kulia) kutoa burudani kwa mashabiki wao Ijumaa iliyopita ndani ya kiota cha Thai Village Masaki jijini Dar. Ijumaa ya leo pia sio ya kukosa mwendo ni ule ule ma-style mapya kibao yatachezeka!

DSC_0252

Amsha amsha ikianza taratibu….hakuna kama Skylight Band ndio habari ya mujini…!

DSC_0017

 Majembe ya Skylight Band…Kutoka kushoto ni Joniko Flower, Sony Masamba na Sam Mapenzi wakifanya yao jukwaani.

DSC_0023

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

SKYLIGHT BAND YAZIDI KUKONGA NYOYO ZA MASHABIKI WAKE NDANI YA KIOTA CHA THAI VILLAGE

Kikosi kazi cha Skylight Band kikiongozwa na Joniko Flower wakitoa burudani kwa mashabiki wao Ijumaa iliyopita ndani ya kiota cha Thai Village Masaki jijini Dar. Kikosi kazi cha Skylight Band kikisebeneka jukwaani.…

 

11 years ago

GPL

SKYLIGHT BAND YAZIDI KUKONGA NYOYO MASHABIKI ZAKE, NI IJUMAA HII TENA PALE THAI VILLAGE‏

Joniko Flower akiongoza safu ya Skylight Band kutoa burudani kwa mashabiki wa Bendi hiyo Ijumaa iliyopita kwenye kiwanja chao cha Nyumbani Thai Village Masaki jijini Dar.... Ni kila Ijumaa zote za wiki wanakuwa hapo kwa ajili ya kuwapa burudani mashabiki wake!!!…

 

11 years ago

GPL

SKYLIGHT BAND YAENDELEA KUWAPA RAHA MASHABIKI WAKE, NI IJUMAA HII THAI VILLAGE

Vijana wa Skylight Band wakitoa burudani Ijumaa iliyopita kwa mashabiki wao kwenye kiota cha Thai Village Masaki jijini Dar... Burudani inaendelea kama kawaida tukutane tena leo jioni......ni balaaaaa..! Divas wa Skylight Band... Kutoka kushoto ni Digna Mbepera, Mary Lucos na Aneth Kushaba AK47 wakikonga nyoyo za mashabiki wao ndani ya kiwanja chao cha nyumbani Thai Village Ijumaa iliyopita.… ...

 

11 years ago

GPL

SKYLIGHT BAND IJUMAA YA KWANZA NDANI YA KIOTA CHA THAI VILLAGE‏

Digna Mbepera akiwaimbia kwa hisia mashabiki wa Skylight Band Ijumaa ya kwanza kwa mwaka 2014 ndani ya kiota cha Thai Village Masaki jijini Dar huku akisindikizwa na Mary Lucos pamoja na Winnie. Meneja wa Skylight Band Aneth Kushaba AK47 akifanya yake jukwaani huku akisindikizwa na Rappa Joniko Flower sambamba na Winnie.…

 

11 years ago

Dewji Blog

Skylight Band yazidi kuwakuna mashabiki wake, tukutane Thai Village leo

DSC_0013

 Picha juu na chini Aneth Kushaba AK47 akiongoza Divas wa Skylight Band kuwapa raha mashabiki wao Ijumaa iliyopita ndani ya kiota cha Thai Village, Masaki jijini Dar. Usikose jioni yale ucheze Kariakoo na style kibao mpya za Skylight Band ikiwemo “Kikuku huyo Kwiyo Kwiyo”

DSC_0018

DSC_0024

Winfrida Richard akiwapa raha mashabiki wa Skylight Band sambamba na Aneth Kushaba AK47.

DSC_0038

Hashim Donode na  Winfrida Richard wakitoa burudani huku wakisindikizwa na Digna Mbepera.

DSC_0073

Mashabiki wa Skylight Band wakifanya...

 

10 years ago

Dewji Blog

Skylight Band yaendelea kuwabamba mashabiki wake ndani ya kiota cha Thai Village

Binti mwenye sauti ya kumtoa Nyoka pangoni, Ashura Kitenge akitoa burudani kwa mashabiki wa Skylight Band (hawapo pichani) ndani ya kiota cha Thai Village, Masaki jijini Dar es Salaam Ijumaa iliyopita huku akipewa sapoti na Meneja wa Skylight Band, Aneth Kushaba AK47 pamoja na Kisura mwingine wa Skylight Band anayefamika kwa jina la Baby.

Tukutane baadae tupunguze stress za wiki nzima kwa burudani iliyoenda shule na sehemu ya watu wastaarabu kama kawaida na mtonyo wetu ule ule getini.

 

10 years ago

Dewji Blog

Skylight Band yazidi kuwateka mashabiki wake wa muziki wa live, tukutane baadae Thai Village

DSC_0225

Majembe ya Skylight Band yakitoa burudani ya kukata na shoka kwa mashabiki wao Ijumaa iliyopita ndani ya ukumbi wa Thai Village Masaki jijini Dar..Kutoka kushoto ni Aneth Kushaba AK47, Mkongwe wa muziki wa dansi Joniko Flower, Sony Masamba a.k.a Fally Ipupa wa bongo, Digna Mbepera na Sam Mapenzi.

DSC_0179

Sehemu ya umati wa mashabiki wa Skylight Band wakiburudika na sebene la Nasaka Dough ndani ya kiota cha Thai Village Masaki Ijumaa iliyopita.

DSC_0242

Kikosi kazi cha Skylight Band kikiongozwa na rapa...

 

10 years ago

Vijimambo

SKYLIGHT BAND YAZIDI KUWABAMBA MASHABIKI WAKE WA MUZIKI WA LIVE, TUKUTANE BAADAE THAI VILLAGE

DSC_0225Majembe ya Skylight Band yakitoa burudani ya kukata na shoka kwa mashabiki wao Ijumaa iliyopita ndani ya ukumbi wa Thai Village Masaki jijini Dar..Kutoka kushoto ni Aneth Kushaba AK47, Mkongwe wa muziki wa dansi Joniko Flower, Sony Masamba a.k.a Fally Ipupa wa bongo, Digna Mbepera na Sam Mapenzi.DSC_0179Sehemu ya umati wa mashabiki wa Skylight Band wakiburudika na sebene la Nasaka Dough ndani ya kiota cha Thai Village Masaki Ijumaa iliyopita.DSC_0242Kikosi kazi cha Skylight Band kikiongozwa na rapa Joniko...

 

11 years ago

GPL

BATA LA IJUMAA YA MWISHO KWA MWAKA 2013 NA SKYLIGHT BAND NDANI YA KIOTA CHA THAI VILLAGE‏

Kipaji kipya cha Skylight Band Donode (katikati) sambamba na Winnie pamoja na Digna Mbepera wakitoa burudani. Burudani mwanzo mwisho.....Mheshimiwa Bundala akisebeneka.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani