BAADA YA OMAN, SKYLIGHT BAND KUNOGESHA VALENTINE’S DAY NDANI YA THAI VILLAGE JUMAMOSI HII
![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2015/02/IMG-20150210-WA0115.jpg?width=600)
Meneja wa Skylight Band Aneth Kushaba AK47 (wa pili kulia) akiongoza vijana wake kutoa burudani kwa mashabiki wa bendi hiyo Ijumaa iliyopita ndani ya kiota cha Thai Village Masaki jijini Dar. Kutoka kushoto ni mwimbaji Baby, Ashura Kitenge pamoja na Sam Mapenzi. Ijumaa hii Skylight Band hawatopiga Thai Village watakua njiani wakitokea nchini Oman, wanaomba radhi kwa usumubufu wowote utakaojitokeza kwa wateja wao. Ila siku ya...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog13 Feb
Baada ya Oman, Skylight Band kunogesha Valentine’s day ndani ya Thai Village Jumamosi hii..Usikose
Meneja wa Skylight Band Aneth Kushaba AK47 (wa pili kulia) akiongoza vijana wake kutoa burudani kwa mashabiki wa bendi hiyo Ijumaa iliyopita ndani ya kiota cha Thai Village Masaki jijini Dar. Kutoka kushoto ni mwimbaji Baby, Ashura Kitenge pamoja na Sam Mapenzi.
Ijumaa hii Skylight Band hawatopiga Thai Village watakua njiani wakitokea nchini Oman, wanaomba radhi kwa usumubufu wowote utakaojitokeza kwa wateja wao.
Ila siku ya Jumamosi siku ya wapendanao (Valentine’s Day) Skylight Band...
11 years ago
GPL![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/02/DSC_0416.jpg?width=640)
HIVI NDIVYO ILIVYOKUWA USIKU WA VALENTINE'S DAY NA SKYLIGHT BAND NDANI THAI VILLAGE
10 years ago
Dewji Blog20 Feb
Skylight Band ilivyowabamba mashabiki wake ‘Valentines’s day’ ndani ya Thai Village
Mwanadada mrembo akipozi kwenye eneo maalum kukaribisha mashabiki wa Skylight Band kwa shots za Zappa na Tequila pamoja na ua aina ya Rose maalum kuonyesha upendo kwa wapenzi wao katika usiku maalum wa wapendanao uliofanyika jumamosi iliyopita ndani ya kiota cha maraha cha Thai Village….Skylight Band itaendelea kusambaza upendo Ijumaa ya leo, baada kurejea nyumbani salama wakitokea nchini Oman….Muda ule ule… uchakavu ule ule… mahali ni pale pale….Karibuni.
Mkali wa R & B Skylight Band,...
11 years ago
Dewji Blog06 Jun
Skylight Band yazidi kuwapa shangwe mashabiki ndani ya kiota cha Thai Village, tukutane tena Ijumaa hii
Digna Mbepera (katikati) akiongoza Divas wenzake wa Skylight Band Aneth Kushaba AK 47 na Winfrida Richard (kulia) kutoa burudani kwa mashabiki wao Ijumaa iliyopita ndani ya kiota cha Thai Village Masaki jijini Dar. Ijumaa ya leo pia sio ya kukosa mwendo ni ule ule ma-style mapya kibao yatachezeka!
Amsha amsha ikianza taratibu….hakuna kama Skylight Band ndio habari ya mujini…!
Majembe ya Skylight Band…Kutoka kushoto ni Joniko Flower, Sony Masamba na Sam Mapenzi wakifanya yao jukwaani.
11 years ago
Dewji Blog01 Aug
Baada ya kuporomosha burudani ya nguvu Eid Mosi, leo Skylight Band kama kawaida ndani ya Thai Village njoo usikosee!
Digna Mbepera (wa kwanza kushoto)akiimba kwa hisia kaliiiii ndani ya kiota cha maraha na burudani Thai Village Masaki,Kulia kwake ni Aneth Kushaba akimpa sapoti ya ukweli.Kila ijumaa Skylight Band wanakuwa Thai Village wakitoa burudani ya nguvu yenye kukonga roho yako kwa muziki mzuri na uliopangiliwa sawa sawa, Ijumaa ya leo kama kawaida njoo ufurahi na ukutane na marafiki wapya.
Mary Lucos mwadada mwenye sauti tamu na nyororo akiimba kwa raha zake kuwapa burudani mashabiki wake.
Aneth...
11 years ago
GPLBAADA YA KUPOROMOSHA BURUDANI YA NGUVU EID MOSI, LEO SKYLIGHT BAND KAMA KAWAIDA NDANI YA THAI VILLAGE NJOO USIKOSEE!
11 years ago
GPL![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/01/DSC_00123.jpg)
TASWIRA ZA SKYLIGHT BAND NDANI YA THAI VILLAGE
11 years ago
Dewji Blog30 May
Skylight Band waleta homa ya burudani ndani ya Jiji la Dar, njoo utibiwe Thai Village Ijumaa hii kwa burudani ya nguvu
Sam Mapenzi akiamsha amsha Taratibuuuuuuu ndani ya Thai Village.
Winfrida Richard akiimba kwa sauti nyororooooo kabisaaaa amsha amsha kwa mashabiki ndani ya Thai Village Ijumaa iliyopita.
Sam Mapenzi kushoto akiwa na Winfrida Richard wakitoa vocal za ukweli kuwapa raha mashabiki wao ndani ya Thai Village.
Aneth Kushaba AK47 toka kulia akiongoza makamuzi ndani ya Thai Village Ijumaa iliyopita.
Joniko Flower kushoto akiongoza makamuzi ya sebene kaliii akipewa sapoti na Sony Masamba.
10 years ago
GPL![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/12/DSC_00011.jpg)
SKYLIGHT BAND INAKUKARIBISHA THAI VILLAGE IJUMAA HII