Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


HIVI NDIVYO ILIVYOKUWA USIKU WA VALENTINE'S DAY NA SKYLIGHT BAND NDANI THAI VILLAGE

Lubea wa Skylight Band alitega mingo lango kuu la kuingilia na kugawa Shots za Tequila pamoja na Sambuka bure kwa wapenzi wa Skylight Band. Mashabiki wa Skylight Band wakipata shots za Tequila bure kwenye usiku maalum wa wapendanao uliofana Ijumaa iliyopita ndani ya kiota cha Thai Village Masaki jijini Dar.…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Baada ya Oman, Skylight Band kunogesha Valentine’s day ndani ya Thai Village Jumamosi hii..Usikose

IMG-20150210-WA0115

DSC_0002

Meneja wa Skylight Band Aneth Kushaba AK47 (wa pili kulia) akiongoza vijana wake kutoa burudani kwa mashabiki wa bendi hiyo Ijumaa iliyopita ndani ya kiota cha Thai Village Masaki jijini Dar. Kutoka kushoto ni mwimbaji Baby, Ashura Kitenge pamoja na Sam Mapenzi.

Ijumaa hii Skylight Band hawatopiga Thai Village watakua njiani wakitokea nchini Oman, wanaomba radhi kwa usumubufu wowote utakaojitokeza kwa wateja wao.

Ila siku ya Jumamosi siku ya wapendanao (Valentine’s Day) Skylight Band...

 

10 years ago

GPL

BAADA YA OMAN, SKYLIGHT BAND KUNOGESHA VALENTINE’S DAY NDANI YA THAI VILLAGE JUMAMOSI HII

Meneja wa Skylight Band Aneth Kushaba AK47 (wa pili kulia) akiongoza vijana wake kutoa burudani kwa mashabiki wa bendi hiyo Ijumaa iliyopita ndani ya kiota cha Thai Village Masaki jijini Dar. Kutoka kushoto ni mwimbaji Baby, Ashura Kitenge pamoja na Sam Mapenzi. Ijumaa hii Skylight Band hawatopiga Thai Village watakua njiani wakitokea nchini Oman, wanaomba radhi kwa usumubufu wowote utakaojitokeza kwa wateja wao. Ila siku ya...

 

10 years ago

Dewji Blog

Skylight Band ilivyowabamba mashabiki wake ‘Valentines’s day’ ndani ya Thai Village

DSC_0346

Mwanadada mrembo akipozi kwenye eneo maalum kukaribisha mashabiki wa Skylight Band kwa shots za Zappa na Tequila pamoja na ua aina ya Rose maalum kuonyesha upendo kwa wapenzi wao katika usiku maalum wa wapendanao uliofanyika jumamosi iliyopita ndani ya kiota cha maraha cha Thai Village….Skylight Band itaendelea kusambaza upendo Ijumaa ya leo, baada kurejea nyumbani salama wakitokea nchini Oman….Muda ule ule… uchakavu ule ule… mahali ni pale pale….Karibuni.

DSC_0334

Mkali wa R & B Skylight Band,...

 

10 years ago

GPL

NJOO UPUNGUZE 'STRESS' ZA WIKI NZIMA KWA BURUDANI YA 'LIVE MUSIC' NA SKYLIGHT BAND LEO, THAI VILLAGE-MASAKI‏

John Music (katikati) akitoa burudani kwa wapenzi na mashabiki wa Skylight Band (hawapo pichani) Ijumaa iliyopita huku akipewa sapoti ya Back vocal na Ashura Kitenge (kushoto) pamoja na Sam Mapenzi. It's Friday and its on #TGIF, Skylight friday, wadau na wapenzi wa muziki wa live na wa kiwango cha juu,wote tunakutana Thai village Masaki, jioni hii kwa burudani safii toka kwa wakali wa town vijana wa Skylight Band, Karibuni sana...

 

11 years ago

GPL

TASWIRA ZA SKYLIGHT BAND NDANI YA THAI VILLAGE

Divas wa Skylight Band wakiongozwa na Meneja wa Bendi Aneth Kushaba AK47 (katikati) kutoa burudani kwa mashabiki wa bendi hiyo Ijumaa iliyopita ndani ya kiota cha Thai Village Masaki jijini Dar ambapo leo pia watakuwa pale pale kwenye uwanja wao wa nyumbani. Kulia ni Digna Mbepera na kushoto ni Winfrida Richard. Sony Masamba a.k.a Fally Ipupa wa Bongo (kulia) akitoa burudani kwa mashabiki wa Skylight Band huku akisindikizwa...

 

10 years ago

Dewji Blog

It’s Friday and its on ‪#‎TGIF‬, Skylight Band kukinukisha Thai Village usiku wa leo

Wadau na wapenzi wa muziki wa live na wa kiwango cha juu, wote wanakutana Thai village Masaki, jioni hii kwa burudani safii toka kwa wakali wa town vijana wa Skylight Band.

Karibuni sana tuanze weekend yetu na burudani ya muziki wa Live

Come and experience good music from our young talented singers ‪#‎Aneth‬Kushaba ‪#‎John‬ music & ‪#‎Ashura‬ ‪#‎Sony‬ Masamba ‪#‎Sam‬ Mapenzi bila kumsahau baba lao Joniko Flower mkongwe kwenye burudani ya muziki wa Live…ni balaaaaa na si ya kukosaa.. Hii ni...

 

10 years ago

Vijimambo

IT'S FRIDAY AND ITS ON ‪#‎TGIF‬, SKYLIGHT BAND KUKINUKISHA THAI VILLAGE USIKU WA LEO

Wadau na wapenzi wa muziki wa live na wa kiwango cha juu, wote wanakutana Thai village Masaki, jioni hii kwa burudani safii toka kwa wakali wa town vijana wa Skylight Band.Karibuni sana tuanze weekend yetu na burudani ya muziki wa LiveCome and experience good music from our young talented singers ‪#‎Aneth‬Kushaba ‪#‎John‬ music & ‪#‎Ashura‬ ‪#‎Sony‬ Masamba ‪#‎Sam‬ Mapenzi bila kumsahau baba lao Joniko Flower mkongwe kwenye burudani ya muziki wa Live...ni balaaaaa na si ya kukosaa.. Hii ni...

 

11 years ago

GPL

SKYLIGHT BAND IJUMAA YA KWANZA NDANI YA KIOTA CHA THAI VILLAGE‏

Digna Mbepera akiwaimbia kwa hisia mashabiki wa Skylight Band Ijumaa ya kwanza kwa mwaka 2014 ndani ya kiota cha Thai Village Masaki jijini Dar huku akisindikizwa na Mary Lucos pamoja na Winnie. Meneja wa Skylight Band Aneth Kushaba AK47 akifanya yake jukwaani huku akisindikizwa na Rappa Joniko Flower sambamba na Winnie.…

 

10 years ago

Dewji Blog

Skylight Band yaendelea kuwabamba mashabiki wake ndani ya kiota cha Thai Village

Binti mwenye sauti ya kumtoa Nyoka pangoni, Ashura Kitenge akitoa burudani kwa mashabiki wa Skylight Band (hawapo pichani) ndani ya kiota cha Thai Village, Masaki jijini Dar es Salaam Ijumaa iliyopita huku akipewa sapoti na Meneja wa Skylight Band, Aneth Kushaba AK47 pamoja na Kisura mwingine wa Skylight Band anayefamika kwa jina la Baby.

Tukutane baadae tupunguze stress za wiki nzima kwa burudani iliyoenda shule na sehemu ya watu wastaarabu kama kawaida na mtonyo wetu ule ule getini.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani