IT'S FRIDAY AND ITS ON #TGIF, SKYLIGHT BAND KUKINUKISHA THAI VILLAGE USIKU WA LEO
Wadau na wapenzi wa muziki wa live na wa kiwango cha juu, wote wanakutana Thai village Masaki, jioni hii kwa burudani safii toka kwa wakali wa town vijana wa Skylight Band.Karibuni sana tuanze weekend yetu na burudani ya muziki wa LiveCome and experience good music from our young talented singers #AnethKushaba #John music & #Ashura #Sony Masamba #Sam Mapenzi bila kumsahau baba lao Joniko Flower mkongwe kwenye burudani ya muziki wa Live...ni balaaaaa na si ya kukosaa.. Hii ni...
Vijimambo