It’s Friday and its on ‪#‎TGIF‬, Skylight Band kukinukisha Thai Village usiku wa leo
Wadau na wapenzi wa muziki wa live na wa kiwango cha juu, wote wanakutana Thai village Masaki, jioni hii kwa burudani safii toka kwa wakali wa town vijana wa Skylight Band.
Karibuni sana tuanze weekend yetu na burudani ya muziki wa Live
Come and experience good music from our young talented singers #AnethKushaba #John music & #Ashura #Sony Masamba #Sam Mapenzi bila kumsahau baba lao Joniko Flower mkongwe kwenye burudani ya muziki wa Live…ni balaaaaa na si ya kukosaa.. Hii ni...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo13 Mar
IT'S FRIDAY AND ITS ON #TGIF, SKYLIGHT BAND KUKINUKISHA THAI VILLAGE USIKU WA LEO
11 years ago
GPL![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/02/DSC_0416.jpg?width=640)
HIVI NDIVYO ILIVYOKUWA USIKU WA VALENTINE'S DAY NA SKYLIGHT BAND NDANI THAI VILLAGE
11 years ago
Dewji Blog02 May
Skylight Band yazidi kuwakuna mashabiki wake, tukutane Thai Village leo
Picha juu na chini Aneth Kushaba AK47 akiongoza Divas wa Skylight Band kuwapa raha mashabiki wao Ijumaa iliyopita ndani ya kiota cha Thai Village, Masaki jijini Dar. Usikose jioni yale ucheze Kariakoo na style kibao mpya za Skylight Band ikiwemo “Kikuku huyo Kwiyo Kwiyo”
Winfrida Richard akiwapa raha mashabiki wa Skylight Band sambamba na Aneth Kushaba AK47.
Hashim Donode na Winfrida Richard wakitoa burudani huku wakisindikizwa na Digna Mbepera.
Mashabiki wa Skylight Band wakifanya...
10 years ago
Dewji Blog03 Apr
Skylight Band inakukaribisha leo Thai Village kabla ya kuelekea jijini Arusha Jumapili hii
John Music (katikati) akitoa burudani kwa wapenzi na mashabiki wa Skylight Band (hawapo pichani) Ijumaa iliyopita huku akipewa sapoti ya Back vocal na Ashura Kitenge (kushoto) pamoja na Meneja wa Skylight Band Aneth Kushaba AK 47 (kulia)
Meneja wa Skylight Band Aneth Kushaba AK 47(katikati) akiimba na wenzake ambao ni Sam Mapenzi(kulia) pamoja na Ashura Kitenge (kushoto)
Aneth Kushaba AK 47 akiimba kwa hisia kubwa mbele ya mashabiki wake (hawapo pichani) kwenye kiota cha Thai Village,...
10 years ago
Dewji Blog10 Apr
Skylight Band yazidi kupasua anga na muziki wa Live, njoo ushuhudie leo Thai Village
Aneth Kushaba AK 47(katikati) akiimba na waimbaji wenzake wa bendi ya Skylight ambao ni Ashura Kitenge(kushoto) na kulia ni John Music kwenye kiota cha Thai Village Masaki jijini Dar.
Rapa mkongwe kwenye muziki wa Live Joniko Flower akiimba na kucheza moja ya Sebene la Kikongo pamoja Sony Masamba.
Sony Masamba ambaye ni mmoja wa waimbaji wa Skylight akiendelea kutoa burudani huku akisindikizwa na waimbaji wenzake kulia ni Sam Mapenzi na kushoto ni Joniko Flower
Waimbaji wa Skylight Band...
11 years ago
Dewji Blog13 Jun
Njoo tucheze “Kikuku” style zingine kibao na Skylight Band ndani ya Thai Village leo
Vijana watanashati wa Skylight Band: Kutoka kushoto ni Joniko Flower, Sony Masamba na Sam Mapenzi wakitoa burudani kwa mashabiki wa bendi hiyo Ijumaa iliyopita kwenye uwanja wao wa nyumbani Thai Village -Masaki jijini Dar. LEO PIA SIO YA KUKOSA ITAKUWA ZAIDI YA JANA..!
Maman nangayi e napeli moto…maman nanga a napeli moto (x2)…Sony Masamba a.k.a Fally Ipupa wa Bongo sambamba na Aneth Kushaba AK 47 wakiwapa raha mashabiki wa Skylight Band.
Aneth Kushaba AK47 kwenye hisia kali.
Nani kama...
10 years ago
Dewji Blog22 Aug
Skylight Band ndio habari ya mujini kwa sasa, karibu Thai Village tusebeneke pamoja leo
Kikosi kazi cha Skylight Band kikiwajibika jukwaani Ijumaa iliyopita kwenye show zake za kila siku ya Ijumaa ndani ya kiota cha Thai Village Masaki jijini Dar…..Kutoka kushoto ni Joniko Flower, Aneth Kushaba AK47, Sony Masamba, Mary Lucos na Sam Mapenzi.
Mary Lucos na Hashim Donode wakisebeneka huku Joniko Flower akipiga vocal kwenye show ya aina yake iliyowabamba mashabiki wa Skylight Band Ijumaa iliyopita ndani ya kiota cha Thai Village Masaki jijini Dar.
Joniko Flower na Digna Mbepera...
10 years ago
Dewji Blog17 Oct
Skylight Band yaendelea kubamba na muziki wa laivu jijini Dar, tukutane Thai Village jioni ya leo
Kikosi kazi cha Skylight Band kikiongozwa na mkongwe wa muziki wa Live Joniko Flower, Meneja wa Band Aneth Kushaba AK47, Sam Mapenzi na Sony Masamba kwa pamoja wakiwapa raha mashabiki wa bendi hiyo (hawapo pichani) kwenye kiota cha maraha cha Thai Village Masaki jijini Dar Ijumaa iliyopita ambapo leo wataendelea kutoa kuwaburudisha mashabiki wake kama kawaida kuanzia saa tatu usiku.
Wanaume wa shoka wa Skylight Band kutoka kushoto ni Joniko Flower, Sony Masamba na Digna Mbepera wakionyesha...
10 years ago
GPL![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/08/DSC_0274.jpg)
SKYLIGHT BAND NDIO HABARI YA MUJINI KWA SASA, KARIBU THAI VILLAGE TUSEBENEKE PAMOJA LEO