SKYLIGHT BAND NDIO HABARI YA MUJINI KWA SASA, KARIBU THAI VILLAGE TUSEBENEKE PAMOJA LEO
![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/08/DSC_0274.jpg)
Kikosi kazi cha Skylight Band kikiwajibika jukwaani Ijumaa iliyopita kwenye show zake za kila siku ya Ijumaa ndani ya kiota cha Thai Village Masaki jijini Dar.....Kutoka kushoto ni Joniko Flower, Aneth Kushaba AK47, Sony Masamba, Mary Lucos na Sam Mapenzi. Mary Lucos na Hashim Donode wakisebeneka huku Joniko Flower akipiga vocal kwenye show ya aina yake iliyowabamba mashabiki wa Skylight Band Ijumaa iliyopita ndani ya kiota...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog22 Aug
Skylight Band ndio habari ya mujini kwa sasa, karibu Thai Village tusebeneke pamoja leo
Kikosi kazi cha Skylight Band kikiwajibika jukwaani Ijumaa iliyopita kwenye show zake za kila siku ya Ijumaa ndani ya kiota cha Thai Village Masaki jijini Dar…..Kutoka kushoto ni Joniko Flower, Aneth Kushaba AK47, Sony Masamba, Mary Lucos na Sam Mapenzi.
Mary Lucos na Hashim Donode wakisebeneka huku Joniko Flower akipiga vocal kwenye show ya aina yake iliyowabamba mashabiki wa Skylight Band Ijumaa iliyopita ndani ya kiota cha Thai Village Masaki jijini Dar.
Joniko Flower na Digna Mbepera...
10 years ago
Dewji Blog29 May
Skylight Band ndio habari ya mujini kwa sasa, Karibuni kiwanja kipya cha Lukas Pub tusebeneke leo
KUNAKO Nigeria Flavour….. Sam Mapenzi akitoa burudani huku akisindikizwa na wanamziki wenzake waliokuwa wakimpa support ya nguvu kwenye...
11 years ago
GPL![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/07/DSC_00782.jpg?width=650)
TUJUMUIKE PAMOJA LEO KUCHEZA WIMBO MPYA WA SKYLIGHT BAND "PASUA TWENDE" KIOTA CHA MARAHA THAI VILLAGE JIJINI DAR
11 years ago
Dewji Blog25 Jul
Tujumuike Pamoja leo kucheza wimbo mpya wa Skylight Band “Pasua Twende” kiota cha maraha Thai Village jijini Dar
Na hii ndio Video ya Skylight Band ya Wimbo mpya “PASUA TWENDE”
Mary Lucos akitoa burudani kwa mashabiki wa Skylight Band (hawapo pichani) huku akipewa sapoti na Hashim Donode sambamba na Digna Mbepera Ijumaa iliypoita kwenye viunga vya Thai Village Masaki jijini Dar.
Vijana wa Skylight Band wakijimwaga na sebene, kutoka kushoto ni Joniko Flower, Sony Masamba na Sam Mapenzi.
Sio kwamba wanaanguka la hasha ni mbewembwe za Majembe ya Skylight Band katika kutoa burudani kwa mashabiki wao.
10 years ago
GPL![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/09/92.jpg)
UKITAKA RAHA NA BURUDANI YA MUZIKI MZURI BASI NI SKYLIGHT BAND PEKEE LEO NDANI YA THAI VILLAGE
11 years ago
GPLSKYLIGHT BAND WAZINDUA WIMBO WAO MPYA KWA KISHINDO,LEO NDANI YA THAI VILLAGE HAPATOSHI NJOO UCHEZE NA KUFURAHI NA STAILI MPYA KIBAOO!!
10 years ago
GPL![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2015/03/DSC_0157.jpg)
SKYLIGHT BAND YAENDELEA KUPIGA JALAMBA, NI KILA IJUMAA NDANI YA KIOTA CHA THAI VILLAGE, SIO YA KUKOSA LEO
11 years ago
GPLBAADA YA KUPOROMOSHA BURUDANI YA NGUVU EID MOSI, LEO SKYLIGHT BAND KAMA KAWAIDA NDANI YA THAI VILLAGE NJOO USIKOSEE!
11 years ago
GPL![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2013/12/DSC_0029.jpg)
BATA LA IJUMAA YA MWISHO KWA MWAKA 2013 NA SKYLIGHT BAND NDANI YA KIOTA CHA THAI VILLAGE
Magazeti ya Leo
-
1
-
2
-
3
-
4
-
5
-
6
-
7
-
8
-
9
-
10