UKITAKA RAHA NA BURUDANI YA MUZIKI MZURI BASI NI SKYLIGHT BAND PEKEE LEO NDANI YA THAI VILLAGE
![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/09/92.jpg)
Majembe ya kazi wakiwajibika jukwaaani ili kutoa burudani ya nguvu kwa mashabiki wao ndani ya uwanja wao wa nyumbani Thai Village Kutoka kushoto ni Joniko Flower akifuatiwa na Sony Masamba (katikati) pamoja na Sam Mapenzi a.k.a asali ya warembo. Mwambie yule na yule na wale tukutane pale kati kwa uchakavu wa Tshs 5,000 tu getini. Skylight Band Divas wakishirikiana kwa pamoja kutoa vocal tamuuuuuuu ndani ya kiota cha maraha...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog19 Sep
Unaambiwa hiviii, ukitaka raha na burudani ya muziki mzuri basi ni Skylight Band pekee leo ndani ya Thai Village
Majembe ya kazi wakiwajibika jukwaaani ili kutoa burudani ya nguvu kwa mashabiki wao ndani ya uwanja wao wa nyumbani Thai Village Kutoka kushoto ni Joniko Flower akifuatiwa na Sony Masamba (katikati) pamoja na Sam Mapenzi a.k.a asali ya warembo. Mwambie yule na yule na wale tukutane pale kati kwa uchakavu wa Tshs 5,000 tu getini.
Skylight Band Divas wakishirikiana kwa pamoja kutoa vocal tamuuuuuuu ndani ya kiota cha maraha Thai Village. Wa kwanza kushoto ni Mary Luvcos, Digna Mbepera...
11 years ago
Dewji Blog08 Aug
Unaambiwa Hiviii: ukitaka raha na burudani ya muziki mzuri basi ipo Skylight Band pekee ndani ya Thai Village leo
Divas wa Skylight Band Aneth Kushaba (wa kwanza kushoto) na Digna Mbepera(wa pili toka kushoto) wakilianzisha Burudani kwa nguvu zoteee ndani ya Thai Village masaki.Kila ijumaa Bendi yako mahiri na isiyoshikika Skylight Banda wanakuwa Thai Village wakikupa burudani ya nguvuuuu na suprizeee kibaooooo,Usikose Ijumaa Hii.
Divas wa Skylight Band Aneth Kushaba (wa kwanza kushoto) na Digna Mpera(wa pili toka kushoto) wakiimba kwa umakini kabisa ili kuwapa ile kitu roho inapenda mashabiki wao
11 years ago
GPLBAADA YA KUPOROMOSHA BURUDANI YA NGUVU EID MOSI, LEO SKYLIGHT BAND KAMA KAWAIDA NDANI YA THAI VILLAGE NJOO USIKOSEE!
11 years ago
GPL![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2014/07/DSC_0034.jpg)
SKYLIGHT BAND WAENDELEA KUTOA BURUDANI YA KIPEKEE NDANI YA THAI VILLAGE HUKU UKISHUHUDIA MECHI ZA KOMBE LA DUNIA LIVE!
11 years ago
Dewji Blog23 May
Skylight Band wazidi kuwapa raha zisizo na kifani mashabiki wake Jijini Dar, usikose leo ndani ya Thai Village
Sam Mapenzi akiliazisha Taratibuuuuu ndani ya Thai Village Ijumaa iliyopita.
Vijana wa Skylight kwa Taaratibuuu wakiimba kwa hisiaa kali kuwapa burudani mashabiki wao ndani ya kiwanja cha Thai village.
Anaitwa Hashim Donode (mzee wa viduku)akiimba kwa Hisia kaliiiii kabisaaa ndani ya kiwanja cha Thai Village Ijumaaa iliyopita ili kuwapa ile kitu roho inapenda mashabiki wao.
Toka kushoto Digna Mbepera akimpa sapoti ya nguvu kijana machachariiiiii anayejulikana kwa jina la Donode...
11 years ago
Dewji Blog01 Aug
Baada ya kuporomosha burudani ya nguvu Eid Mosi, leo Skylight Band kama kawaida ndani ya Thai Village njoo usikosee!
Digna Mbepera (wa kwanza kushoto)akiimba kwa hisia kaliiiii ndani ya kiota cha maraha na burudani Thai Village Masaki,Kulia kwake ni Aneth Kushaba akimpa sapoti ya ukweli.Kila ijumaa Skylight Band wanakuwa Thai Village wakitoa burudani ya nguvu yenye kukonga roho yako kwa muziki mzuri na uliopangiliwa sawa sawa, Ijumaa ya leo kama kawaida njoo ufurahi na ukutane na marafiki wapya.
Mary Lucos mwadada mwenye sauti tamu na nyororo akiimba kwa raha zake kuwapa burudani mashabiki wake.
Aneth...
11 years ago
Dewji Blog30 May
Skylight Band waleta homa ya burudani ndani ya Jiji la Dar, njoo utibiwe Thai Village Ijumaa hii kwa burudani ya nguvu
Sam Mapenzi akiamsha amsha Taratibuuuuuuu ndani ya Thai Village.
Winfrida Richard akiimba kwa sauti nyororooooo kabisaaaa amsha amsha kwa mashabiki ndani ya Thai Village Ijumaa iliyopita.
Sam Mapenzi kushoto akiwa na Winfrida Richard wakitoa vocal za ukweli kuwapa raha mashabiki wao ndani ya Thai Village.
Aneth Kushaba AK47 toka kulia akiongoza makamuzi ndani ya Thai Village Ijumaa iliyopita.
Joniko Flower kushoto akiongoza makamuzi ya sebene kaliii akipewa sapoti na Sony Masamba.
10 years ago
GPL![](http://dewjiblog.com/wp-content/uploads/2015/03/DSC_0157.jpg)
SKYLIGHT BAND YAENDELEA KUPIGA JALAMBA, NI KILA IJUMAA NDANI YA KIOTA CHA THAI VILLAGE, SIO YA KUKOSA LEO
11 years ago
Dewji Blog11 Jul
Skylight Band waendelea kutoa burudani ya kipekee ndani ya Thai Village huku ukishuhudia mechi za Kombe la Dunia Live!
Meneja wa Bendi Aneth Kushaba AK47 kwenye hisia kali wakati akiwapa raha mashabiki wa Skylight Band ndani ya kiota cha Thai Village Masaki jijini Dar huku Hashim Donode akipiga back vocal. TUKUTANE THAI VILLAGE LEO USIKU KUANZIA SAA TATU BILA KUKOSA.
Digna Mbepera akiimba kwa hisia huku Aneth Kushaba AK47 akimpa sapoti.
Divas watatu wa Skylight Band wakitoa burudani kwa mashabiki wao ndani ya kiota cha Thai Village Masaki jijini Dar Ijumaa iliyopita. Kutoka kushoto ni Digna Mbepera,...