Baraza la Mawaziri ni sheikh yule yule katika kanzu mpya!
WASWAHILI watakuambia ni sheikh yule yule ndani ya kanzu mpya. Wazungu watakuambia ni mvinyo ule ule kwenye chupa mpya. Naam, hilo ndilo Baraza la Mawaziri lililorekebishwa. Watu walikuwa macho wazi...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo![](http://img.youtube.com/vi/lx7J7UEjPT0/default.jpg)
PNC SHINO Yule yule 2015 Tanzanian Music Official video
Singer Name:- Pnc
Song Name:- Yule Yule
Country;- Tanzania
Genre;- Bongo Flavour
Director:- Saimako
10 years ago
GPL12 Apr
10 years ago
Michuzi17 May
10 years ago
Bongo506 Mar
New Music: P N C — Yule Yule
10 years ago
GPL16 May
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-IE4iyuflJpw/U6oVSi_NrmI/AAAAAAAAHJc/i_5W089ZG0Q/s72-c/Nuru.jpg)
Katika "HUYU NA YULE" ya NJE-NDANI wiki hii...
![](http://1.bp.blogspot.com/-IE4iyuflJpw/U6oVSi_NrmI/AAAAAAAAHJc/i_5W089ZG0Q/s1600/Nuru.jpg)
10 years ago
Mwananchi01 Jun
Sikiliza wasia unaokuhusu wewe na yule katika jamii
11 years ago
CloudsFM29 May
YULE MTOTO ALIYEFUNGIWA KWENYE BOKSI MOROGORO HUYU HAPA AKIWA KATIKA HOSPITALI YA MUHIMBILI
Mtoto aliyekuwa amefichwa kwenye boksi mkoani Morogoro, Nasra Mvungi ambaye alikuwa amelazwa katika Hospitali ya Mkoa wa Morogoro, amehamishiwa Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), kwa uchunguzi zaidi.
Mganga Mkuu wa Hospitali ya Morogoro, Dk Godfrey Mtei alisema Nasra alipelekwa Muhimbili juzi usiku baada ya hali yake kutoridhisha.
Alisema afya ya Nasra ilibadilika ghafla juzi asubuhi na kushindwa kupumua vizuri, jambo lililowalazimu madaktari kumpeleka Muhimbili kwa gari maalumu la wagonjwa...
9 years ago
Dewji Blog08 Nov
Njoo wewe na yule katika ‘Skylight Sunday Bonanza’‬ kiota cha Escape One leo jioni
Rapa Mkongwe wa muziki wa dansi wa Skylight Band, Joniko Flower akiwasebenesha sehemu ya mashabiki wao sambamba na Sony Masamba jumapili iliyopita kwenye Skylight Sunday Bonanza kiota cha Escape One Mikocheni jijini Dar es Salaam na hivi leo mwendo ni ule ule na speed 120.(Picha na Geofrey Adroph wa pamoja blog).
Rapa Joniko Flower akichuana na mmoja wa shabiki wa Skylight Band staili mbalimbali za sebene huku mashabiki wengine wakiangalia na kuiga miondoko hiyo.
Msanii Em Evans...