Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


New Music: P N C — Yule Yule

Wimbo mpya kutoka kwa msanii PNC baada ya kimya huu ndo ujio wake mpya wimbo unaitwa “Yule Yule” Producer Duppah

Bongo5

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

PNC SHINO Yule yule 2015 Tanzanian Music Official video


Singer Name:- Pnc
 Song Name:- Yule Yule
Country;- Tanzania
Genre;- Bongo Flavour
Director:- Saimako

 

11 years ago

Tanzania Daima

Baraza la Mawaziri ni sheikh yule yule katika kanzu mpya!

WASWAHILI watakuambia ni sheikh yule yule ndani ya kanzu mpya. Wazungu watakuambia ni mvinyo ule ule kwenye chupa mpya. Naam, hilo ndilo Baraza la Mawaziri lililorekebishwa. Watu walikuwa macho wazi...

 

10 years ago

Michuzi

10 years ago

GPL

10 years ago

GPL

10 years ago

Michuzi

HUYU NA YULE........Mahojiano na Dr Talib Ali

Karibu katika kipindi cha HUYU NA YULE ambapo wiki hii tumeongea na Dk Talib AliYeye ni mwanzilishi wa Avatar Dental Care iliyopo Leesburg Virginia.Ameeleza mengi kuhusu kazi zake na mikakati aliyonayo baadae Pia, ametoa punguzo la 50% kwa waTanzania watakaoenda kutiiwa kwake, pamoja na mpango wa malipo ya awamu kuwzesha watu kumudu gharama hizoKaribu Huyu na Yule ni kipindi kinachotayarishwa na Vijimambo Blog na kuzalishwa na Kwanza ProductionKwa mawasiliano, maoni ama ushauri, tafadhali...

 

10 years ago

Vijimambo

Huyu na Yule...........Mahojiano na Dr na Mama Williams

Karibu kwenye mahojiano ya Dr na Mama Williams.
Waasisi wa AHEAD Inc. Taasisi ambayo iliasisiwa mwaka 1985 na inajishughulisha kubadili maisha ya wengi nchini Tanzania kupitia Elimu, Stadi za Maisha, Afya ya Mama na Mtoto na pia kuzisaidia jamii mbalimbali..
Wamezungumzia mengi kuhusu namna walivyofika Tanzania kwa mara ya kwanza 1974. Kilichowapeleka, walivyoamua kubaki huko mpaka sasa, shughuli za Taasisi yao na mengine mengi
Karibu
Huyu na Yule ni kipindi kinachotayarishwa na Vijimambo Blog...

 

10 years ago

Vijimambo

HUYU NA YULE.......Mahojiano na Dr Crispin Semakula

Karibu katika kipindi cha HUYU NA YULE ambapo wiki hii tumeongea na Dr Crispin Semakla.
Daktari wa mahgonjwa ya kisukari, shinikizo la damu na pia Mwalimu wa Afya katika Chuo Kikuu nchini Marekani
Pia ni mwanzilishi wa Access Medical and Dialysis Center iliyopo Dar Es Salaam
Ameeleza mengi kuhusu maradhi anayoshughulika nayo na pia kituo chake.

Huyu na Yule ni kipindi kinachotayarishwa na Vijimambo Blog na kuzalishwa na Kwanza Production
Kwa mawasiliano, maoni ama ushauri, tafadhali wasiliana...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani