MEMBE KUTANGAZA NIA YA URAIS JUMAMOSI WIKI HII
![](http://1.bp.blogspot.com/-0oMe_lQFSSA/VWwgqrAlPMI/AAAAAAAAuZA/Oij93FDBIlY/s72-c/membe%2B2.jpg)
Na theNkoromo Blog WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe, amewaomba Watanzania kusubiri kwa hamu siku ya kutangaza nia ya kuwania urais kwa tiketi ya CCM, katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu.
Membe amesema, amepanga kutangaza nia hiyo, Juni 6, mwaka huu, na kuwaomba wananchi wamsikilize kwa makini siku hiyo kwakuwa ataeleza kwa kina nini anataka kufanya nchi iweze kuondoka ilipo ikiwemo kuendelea kudumisha amani na utulivu uliopo.
Waziri Membe ambaye hajatangaza...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog02 Jun
Membe: Watanzania subirini kwa hamu siku yangu ya kutangaza nia ya kuwania Urais
Na theNkoromo Blog
WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe, amewaomba Watanzania kusubiri kwa hamu siku ya kutangaza nia ya kuwania urais kwa tiketi ya CCM, katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu.
Membe amesema, amepanga kutangaza nia hiyo, Juni 6, mwaka huu, na kuwaomba wananchi wamsikilize kwa makini siku hiyo kwakuwa ataeleza kwa kina nini anataka kufanya nchi iweze kuondoka ilipo ikiwemo kuendelea kudumisha amani na utulivu uliopo.
Waziri Membe ambaye...
10 years ago
Vijimambo29 May
MWIGULU NCHEMBA KUTANGAZA NIA JUMAPILI HII YA KUWANIA URAIS,TANZANIA ITASIMAMA KWA MASAA 3 PALE DODOMA
![](http://api.ning.com/files/LWw0InctTwlR6kkyGUlVXhaUcgbpKMmsY7Tf9fXMdGz37vCWox1iPrxWH*LF*kK9BFeXrCpArhXyx3Iiye0mfeuQhFx3uEsG/315407_114564585412445_342326531_n.jpg)
10 years ago
Mwananchi27 May
Foleni ya Ikulu: Mwandosya, Muhongo kutangaza nia wiki ijayo
10 years ago
Vijimambo28 May
Mwandosya kutangaza nia ya urais Jumatatu.
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/Prof.Mark-28May2015.jpg)
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, (Kazi Maalum), Profesa Mark Mwandosya, anatarajia kutangaza nia ya kugombea urais Juni Mosi na kuchukua fomu Juni tatu mwaka huu.
Mwandosya ambaye tayari ametangaza kuacha kuwani ubunge katika jimbo la Rungwe Mashariki, anakusudia kuchukua fomu siku hiyo kuwania mbio za urais.
Profesa Mwandosya alisema sababu zilizomsukuma kuwania urais, atazitaja Juni Mosi atakapotangaza nia mkoani Mbeya.
Alisema...
10 years ago
Habarileo02 Jun
Muhongo kutangaza nia kuwania urais leo
WAKATI makada watano wakiwa wamejitokeza kutangaza nia ya kuwania urais kwa tiketi ya chama tawala, CCM, leo ni zamu ya Waziri wa Nishati na Madini aliyejiuzulu, Profesa Sospter Muhongo.
11 years ago
Tanzania Daima16 Jul
Kutangaza nia ya kutaka urais sasa ni ‘fasheni’
HIVI sasa Tanzania inakabiliwa na changamoto mbalimbali za kimaendeleo, ambazo zinawagusa moja kwa moja Watanzania zaidi ya milioni 40. Baadhi ya changamoto hizo ambazo muda mrefu Watanzania wamekuwa wakizipigia kelele...
11 years ago
Uhuru Newspaper23 Jul
CCM: Marufuku kutangaza nia ya kugombea urais
Na Ally Ndota, Zanzibar
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimeonya viongozi na watendaji wake kuacha tabia ya kuwabeba wana-CCM wanaotangaza nia ya kugombea nafasi za uongozi katika uchaguzi mkuu ujao, kwani kufanya hivyo ni kukiuka kanuni na miongozo ya Chama.
Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Zanzibar), Vuai Ali Vuai ametoa onyo hilo alipokuwa akizungumza na wajumbe wa Kamati za Siasa za Mkoa na Wilaya za Kichama za Mjini na Amani, ikiwa ni mfululizo wa ziara ya wajumbe wa Sekretarieti ya Kamati Kuu ya NEC,...
10 years ago
Dewji Blog23 Mar
Lowassa azidi kuhamasika juu ya kutangaza nia ya kugombea urais
![](http://1.bp.blogspot.com/-FWhS5528qhI/VQ7Ejxct8KI/AAAAAAAAb_U/TOi94DX3bdI/s1600/1.jpg)
Mbunge wa Monduli na Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa akiwasalimia mamia ya wanafunzi wa vyuo vya elimu ya juu mkoa wa Dodoma, waendesha boda boda na wamachinga wa mkoa huo walioandamana hii leo hadi nyumbani kwake Area D mjini Dodoma kumuomba pindi wakati ukifika kwa mujibu wa taratibu za chama cha Mapinduzi (CCM) asisite kuchukua fomu ya kugombea nafasi ya Urais.
Lowassa amesema anazidi kuhamasika kufuatia maombi ya...