Foleni ya Ikulu: Mwandosya, Muhongo kutangaza nia wiki ijayo
>Ni dhahiri sasa kuwa hatua ya vikao vya juu vya CCM kuwafungulia makada wake waliokuwa wamefungiwa kwa kuanza kampeni mapema na kutangaza tarehe za kuanza kuchukua fomu, vimechochea harakati za kusaka urais na kuongeza urefu wa foleni ya wanaotaka kuelekea Ikulu kumrithi Rais Jakaya Kikwete.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo28 May
Mwandosya kutangaza nia ya urais Jumatatu.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, (Kazi Maalum), Profesa Mark Mwandosya, anatarajia kutangaza nia ya kugombea urais Juni Mosi na kuchukua fomu Juni tatu mwaka huu.
Mwandosya ambaye tayari ametangaza kuacha kuwani ubunge katika jimbo la Rungwe Mashariki, anakusudia kuchukua fomu siku hiyo kuwania mbio za urais.
Profesa Mwandosya alisema sababu zilizomsukuma kuwania urais, atazitaja Juni Mosi atakapotangaza nia mkoani Mbeya.
Alisema...
10 years ago
MichuziPof.Muhongo kutangaza nia leo.
10 years ago
Habarileo02 Jun
Muhongo kutangaza nia kuwania urais leo
WAKATI makada watano wakiwa wamejitokeza kutangaza nia ya kuwania urais kwa tiketi ya chama tawala, CCM, leo ni zamu ya Waziri wa Nishati na Madini aliyejiuzulu, Profesa Sospter Muhongo.
10 years ago
VijimamboPROF. MARK JAMES MWANDOSYA AWASHUKURU WOTE WALIOMUUNGA MKONO KABLA NA BAADA YA KUTANGAZA NIA.
Hiki ndio kipindi tunachopita sasa kama Taifa. Kwa maneno hayo napenda, kwa unyenyekevu mkubwa, kuwashukuru, na kwa dhati kabisa, wale wote mliotuunga mkono kabla na baada ya kutangaza nia, wakati wa na baada ya kuchukua...
10 years ago
VijimamboProfesa Sospeter Muhongo kutangaza nia ya kuombwa kugombea urais wa Jamahuri ya Muungano
Leo ni zamu ya Profesa Sospeter Muhongo kutangaza nia ya kuombwa kugombea urais wa Jamahuri ya Muungano wa Tanzania, kurithi mikoba ya Rais Jakaya Mrisho Kikwete. Profesa Muhongo anatangaza nia yake leo Mjini Musoma, kwenye Ukumbi wa Open University Hall, kuanzia saa 10 jioni.
10 years ago
Michuzi
10 years ago
Vijimambo
MEMBE KUTANGAZA NIA YA URAIS JUMAMOSI WIKI HII

Membe amesema, amepanga kutangaza nia hiyo, Juni 6, mwaka huu, na kuwaomba wananchi wamsikilize kwa makini siku hiyo kwakuwa ataeleza kwa kina nini anataka kufanya nchi iweze kuondoka ilipo ikiwemo kuendelea kudumisha amani na utulivu uliopo.
Waziri Membe ambaye hajatangaza...
11 years ago
Michuzi.jpg)
Wachina waonesha nia kuwekeza sekta ya madini, wakutana na Muhongo, Maswi, muhongo asisitiza hakuna kusafirisha madini ghafi
10 years ago
Habarileo25 Jan
Ngeleja akanusha kutangaza nia
MBUNGE wa Sengerema mkoani Mwanza, William Ngeleja, amesema kamwe hajawahi kutangaza nia ya kuingia kwenye kinyang’anyiro cha urais katika uchaguzi mkuu utakaofanyika baadaye mwaka huu.