Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MASHINDANO YA BASEBALL KUANZA KUTIMUA VUMBI IJUMAA WIKI HII JIJINI DAR.

Na Nyakongo Manyama- MAELEZO.MASHINDANO ya Kitaifa ya Awamu ya Tatu ya Mchezo wa Baseball yanatarajiwa kuanza Ijumaa ya wiki hii jijini Dar es salaam.
Kauli hiyo imetolewa na Katibu Mkuu wa Chama cha Mchezo wa Baseball nchini Alpherio Nchimbi leo jijini Dar es salaam wakati wa mkutano na waandishi wa habari.
Amesema kuwa mashindano yatashirikisha timu tisa kutoka Tanzania bara na Visiwani na yanatarajiwa kufunguliwa na Balozi wa Japani nchini Tanzania Mhe. Masaharu Yoshida.
Kwa mujibu wa Katibu...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

MICHUANO YA Dr Mwaka Sports Extra Ndondo Cup KUANZA KUTIMUA VUMBI IJUMAA

Viongozi na wawakilishi wa timu shiriki za Dr Mwaka Sports Extra Ndondo Cup wakizionesha jezi watakazozitumia katika michano hiy, inayotarajiwa kuanza kutimua vumbi keshokutwa Ijumaa kwenye Uwanja wa Makurumla, Magomeni jijini Dar es Salaam. Dr Mwaka (kulia), Dauda wakimkabidhi mwakilishi wa timu shiriki za Dr Mwaka Sports Extra Ndondo Cup jezi.Mdhamini Mkuu wa michuano ya  Dr Mwaka Sports Extra Ndondo Cup ,Dr Mwaka akifafanua jambo mbele ya wanahabari kuhusiana na michuano hiyo...

 

10 years ago

Vijimambo

MICHUANO YA Dr Mwaka Sports Extra Ndondo Cup KUANZA KUTIMUA VUMBI IJUMAA

Viongozi na wawakilishi wa timu shiriki za Dr Mwaka Sports Extra Ndondo Cup wakizionesha jezi watakazozitumia katika michano hiy, inayotarajiwa kuanza kutimua vumbi keshokutwa Ijumaa kwenye Uwanja wa Makurumla, Magomeni jijini Dar es Salaam. Dr Mwaka (kulia), Dauda wakimkabidhi mwakilishi wa timu shiriki za Dr Mwaka Sports Extra Ndondo Cup jezi.Mdhamini Mkuu wa michuano ya  Dr Mwaka Sports Extra Ndondo Cup ,Dr Mwaka akifafanua jambo mbele ya wanahabari kuhusiana na michuano hiyo...

 

10 years ago

Michuzi

Mashindano ya FEASSSA yaanza kutimua vumbi

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe. Bernard K. Membe akitoa hotuba kwa niaba ya Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakati wa uzinduzi wa mashindano ya Michezo ya shule za Sekondari za Afrika Mashariki yajulikanayo kama FEASSSA (Federation of East Africa Secondary Schools Sports Association), jana katika Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam. Waziri wa Nchi ofisi ya Waziri Mkuu, (Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa) Mhe. Hawa Ghasia akiwakaribisha wanamichezo...

 

11 years ago

Michuzi

KAGASHEKI CUP 2014: HATUA YA ROBO FAINALI KUANZA KUTIMUA VUMBI LEO KATIKA UWANJA WA KAITABA, MABINGWA WATETEZI BILELE FC KUANZA NA KAHORORO FC

Na Faustine Ruta, BukobaTimu nane zilizosonga mbele kwenye hatua ya Robo Fainali KAGASHEKI CUP 2014 leo zinaanza kuonyeshana ubabe kati ya Mabingwa Watetezi Bilele Fc na Kahororo Fc kwenye uwanja wa Kaitaba Bukoba mjini. Kwa ajili ya kuwania nafasi nne za kuingia hatua ya nusu fainali ya Ligi ya KAGASHEKI CUP Inayotarajiwa kuanza  wiki ijayo.  Timu ya Bakoba Fc ilipoteza na kutupwa nje kwenye Mashindano baada ya matokeo ya timu ya Kitendaguro kwenda vibaya katika hatua ya Makundi mtanange wa...

 

10 years ago

BBCSwahili

Michuano ya Kagame kuanza kutimua vumbi

Michuano ya klabu bingwa Afrika Mashariki na Kati jumamosi wiki hii inaanza kutimua vumbi mjini Dar es Salaam Tanzania.

 

9 years ago

Michuzi

VPL KUANZA KUTIMUA VUMBI JUMAMOSI

Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania bara msimu wa 2015/2016 inatazamiwa kuanza kutimua vumbi jumamosi Septemba 12, 2015 kwa michezo saba kuchezwa katika viwanja tofauti nchini.
Ndanda FC ya Mtwara watakua wenyeji wa Mgambo Shooting katika uwanja wa Nagwanda Sijaona mjini Mtwara, Wana kimanumanu African Sports watawakaribisha Simba SC katika uwanja wa Mkwakwani jijini Tanga, huku Wana Lizombe Majimaji wakiwa wenyeji wa maafande wa JKT Ruvu katika uwanja wa Majimaji mjini Songea.
Azam FC...

 

10 years ago

BBCSwahili

Ligi kuu England kuanza kutimua vumbi

Mabingwa wa ligi kuu ya England, Chelsea wanatarajia kuivaa Arsenal katika mechi ya ufunguzi wa michuano hiyo inayotarajiwa kuanza kutimua vumbi hivi karibuni.

 

11 years ago

Michuzi

NSSF MEDIA CUP KUANZA KUTIMUA VUMBI MACHI 29

Meneja Kiongozi Idara ya Uhusiano na Huduma kwa Wateja wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Eunice Chiume akizungumza wakati swa hafla ya kukabidhi vifaa kwa timu zinazoshiriki mashindano ya NSSF Media Cup yanayotarajiwa kuanza rasmi Machi 29.   Meneja Kiongozi Idara ya Uhusiano na Huduma kwa Wateja wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Eunice Chiume akizungumza wakati swa hafla ya kukabidhi vifaa kwa timu zinazoshiriki mashindano ya NSSF Media Cup yanayotarajiwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani