Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mashindano ya FEASSSA yaanza kutimua vumbi

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mhe. Bernard K. Membe akitoa hotuba kwa niaba ya Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakati wa uzinduzi wa mashindano ya Michezo ya shule za Sekondari za Afrika Mashariki yajulikanayo kama FEASSSA (Federation of East Africa Secondary Schools Sports Association), jana katika Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam. Waziri wa Nchi ofisi ya Waziri Mkuu, (Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa) Mhe. Hawa Ghasia akiwakaribisha wanamichezo...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

MASHINDANO YA BASEBALL KUANZA KUTIMUA VUMBI IJUMAA WIKI HII JIJINI DAR.

Na Nyakongo Manyama- MAELEZO.MASHINDANO ya Kitaifa ya Awamu ya Tatu ya Mchezo wa Baseball yanatarajiwa kuanza Ijumaa ya wiki hii jijini Dar es salaam.
Kauli hiyo imetolewa na Katibu Mkuu wa Chama cha Mchezo wa Baseball nchini Alpherio Nchimbi leo jijini Dar es salaam wakati wa mkutano na waandishi wa habari.
Amesema kuwa mashindano yatashirikisha timu tisa kutoka Tanzania bara na Visiwani na yanatarajiwa kufunguliwa na Balozi wa Japani nchini Tanzania Mhe. Masaharu Yoshida.
Kwa mujibu wa Katibu...

 

11 years ago

Michuzi

MASHINDANO YA NSSF MEDIA CUP YAANZA KUTIMUA MBIO

MASHINDANO ya Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii inayowahusisha waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali vya habari (NSSF Media Cup) yameanza kutimua vumbi katika uwanja wa TCC, Chang'ombe jijini Dar es Salaam.
Akifungua mashindano hayo, Waziri wa Kazi na Ajira, Gaudencia Kabaka, amewataka wanahabari nchini kuhakikisha wanajiunga na Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), ili kujihakikishia maisha ya amani na utulivu baada ya kustaafu.
Alisema kuwa, wanahabari wanapaswa kwenda...

 

10 years ago

BBCSwahili

AFCON kutimua vumbi Jan.17

Fainali za michuano ya kombe la Mataifa ya afrika inatarajiwa kuanza kutimua vumbi nchini Guinea kesho January 17,2015 .

 

10 years ago

Michuzi

Fainali za Dance100% kutimua vumbi Jumamosi

Meneja wa Uhusiano wa Umma wa Vodacom Tanzania, Matina Nkurlu (kulia) akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana juu ya fainali ya mashindano hayo yatakayofanyika jumamosi Don Bosco Oysterbay jijini. Kulia ni Mratibu wa shindano hilo la Dance 100%, Happy Shame. Mratibu wa shindano la Dance 100%, Happy Shame ( kushoto) akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana juu ya fainali ya shindano hilo litakalofanyika jumamosi Don Bosco Oysterbay jijini Dar es...

 

9 years ago

Michuzi

VPL KUANZA KUTIMUA VUMBI JUMAMOSI

Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania bara msimu wa 2015/2016 inatazamiwa kuanza kutimua vumbi jumamosi Septemba 12, 2015 kwa michezo saba kuchezwa katika viwanja tofauti nchini.
Ndanda FC ya Mtwara watakua wenyeji wa Mgambo Shooting katika uwanja wa Nagwanda Sijaona mjini Mtwara, Wana kimanumanu African Sports watawakaribisha Simba SC katika uwanja wa Mkwakwani jijini Tanga, huku Wana Lizombe Majimaji wakiwa wenyeji wa maafande wa JKT Ruvu katika uwanja wa Majimaji mjini Songea.
Azam FC...

 

10 years ago

BBCSwahili

Diamond league kutimua vumbi Doha

Michuano maarufu ya riadha duniani ya Diamond League inaanza Doha,Qatar mwishoni mwa wiki hii,

 

10 years ago

BBCSwahili

Michuano ya Kagame kuanza kutimua vumbi

Michuano ya klabu bingwa Afrika Mashariki na Kati jumamosi wiki hii inaanza kutimua vumbi mjini Dar es Salaam Tanzania.

 

10 years ago

BBCSwahili

EPL kuendea kutimua vumbi leo

Ligi ya England itaendelea tena leo kwa nyasi za viwanja saba kuwaka moto katika michezo ya mzunguko wa raundi ya 26.

 

10 years ago

Tanzania Daima

Fainali za Dance100% kutimua vumbi kesho

FAINALI za shindano la kucheza muziki maarufu kama Dance 100% linalofanyika chini ya uratibu wa Kituo cha East Africa Television ltd na kudhaminiwa na kampuni ya mawasiliano ya Vodacom Tanzania,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani