KAGASHEKI CUP 2014: HATUA YA ROBO FAINALI KUANZA KUTIMUA VUMBI LEO KATIKA UWANJA WA KAITABA, MABINGWA WATETEZI BILELE FC KUANZA NA KAHORORO FC
Na Faustine Ruta, BukobaTimu nane zilizosonga mbele kwenye hatua ya Robo Fainali KAGASHEKI CUP 2014 leo zinaanza kuonyeshana ubabe kati ya Mabingwa Watetezi Bilele Fc na Kahororo Fc kwenye uwanja wa Kaitaba Bukoba mjini. Kwa ajili ya kuwania nafasi nne za kuingia hatua ya nusu fainali ya Ligi ya KAGASHEKI CUP Inayotarajiwa kuanza wiki ijayo. Timu ya Bakoba Fc ilipoteza na kutupwa nje kwenye Mashindano baada ya matokeo ya timu ya Kitendaguro kwenda vibaya katika hatua ya Makundi mtanange wa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
MichuziNSSF MEDIA CUP 2014 KUANZA KUTIMUA VUMBI JUMAMOSI MACHI 29
11 years ago
Michuzi30 Jul
KAGASHEKI CUP 2014: MIEMBENI FC WATINGA FAINALI BAADA YA KUIFUNGA BAO 2-1 BILELE FC KWA DAKIKA 120!
Mabingwa watetezi wa kombe la KAGASHEKI, Bilele Fc, wamefungwa leo na Timu ya Miembeni Fc bao 2-1 kwenye mtanange uliopigwa dakika 120, dakika 90 za mchezo huo zilimalizika kwa kutoshana nguvu kwa bao 1-1 katika uwanja wa Kaitaba mjini Bukoba.Timu ya Bilele Fc ndio walianza kupata bao la mkwaju...
11 years ago
MichuziNSSF MEDIA CUP KUANZA KUTIMUA VUMBI MACHI 29
11 years ago
Michuzi
MICHUANO YA Dr Mwaka Sports Extra Ndondo Cup KUANZA KUTIMUA VUMBI IJUMAA



11 years ago
Vijimambo
MICHUANO YA Dr Mwaka Sports Extra Ndondo Cup KUANZA KUTIMUA VUMBI IJUMAA



11 years ago
Michuzi30 Jul
KAGASHEKI CUP 2014: PENATI ZAPIGWA TENA LEO KAITABA, KITENDAGURO FC YAIBUKA BINGWA NA KUSONGA NUSU FAINALI KWA PENATI 6-5 DHIDI YA TIMU YA RWAMISHENYE FC





10 years ago
MichuziIRINGA KIBIKI CHILDREN CUP KUANZA KUTIMUA VUMBI IRINGA
10 years ago
BBCSwahili28 Jul
Robo fainali Kagame kuanza leo
9 years ago
BBCSwahili30 Nov
Robo fainali CECAFA kuanza leo