IRINGA KIBIKI CHILDREN CUP KUANZA KUTIMUA VUMBI IRINGA
MRATIBU WA KIBIKI CUP HARUNA SALEH AKIWA NA MDAU WA SOKA FRANK KIBIKI
MRATIBU WA KIBIKI CUP HARUNA SALEH AKIWA NA MDAU WA SOKA FRANK KIBIKI na wanahabari---------------------------------LIGI inayoshirikisha watoto walio chini ya umri wa miaka 16, inaloitwa Iringa Kibiki Childrens Cup 2015 yenye lengo la kupinga mauaji ya walemavu wa ngozi (Albino) inatarajia kuanza kutimua vumbi jumamosi ikishirikisha timu nane za manispaa ya Iringa.
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
MichuziNSSF MEDIA CUP KUANZA KUTIMUA VUMBI MACHI 29
11 years ago
Michuzi26 Jul
KAGASHEKI CUP 2014: HATUA YA ROBO FAINALI KUANZA KUTIMUA VUMBI LEO KATIKA UWANJA WA KAITABA, MABINGWA WATETEZI BILELE FC KUANZA NA KAHORORO FC
10 years ago
Dewji Blog26 Jan
Wasanii mkoani Iringa wamemtungia wimbo mgombea ubunge jimbo la Iringa Mjini Frank Kibiki
MSANII wa muziki wa kizazi, kipya mjini Iringa, ONE LEE akitoa zawadi ya ngoma kwa mwandishi wa Habari Frank Kibiki kwa niaba ya wasanii wenzake, ambaye hivi karibuni alitangaza nia ya kugombea ubunge katika jimbo la Iringa mjini.
Akizungumza na waandishi wa habari mjini Iringa, wasanii hao walisema wameamua kutengeneza wimbo huo kutokana na mchango mkubwa wa mwanahabari huyo, katika fani yao.
Msanii huyo Richard Kayombo ‘One Lee’ ambaye alikabidhi wimbo kwa niaba ya wasanii wenzake...
10 years ago
Michuzi
Mamia ya wana Iringa waendelea kumchangia Mwanahabari Kibiki achukue fomu ya Ubunge Iringa mjini

11 years ago
MichuziNSSF MEDIA CUP 2014 KUANZA KUTIMUA VUMBI JUMAMOSI MACHI 29
11 years ago
Michuzi
MICHUANO YA Dr Mwaka Sports Extra Ndondo Cup KUANZA KUTIMUA VUMBI IJUMAA



11 years ago
Vijimambo
MICHUANO YA Dr Mwaka Sports Extra Ndondo Cup KUANZA KUTIMUA VUMBI IJUMAA



10 years ago
Michuzi08 Sep
VPL KUANZA KUTIMUA VUMBI JUMAMOSI

Ndanda FC ya Mtwara watakua wenyeji wa Mgambo Shooting katika uwanja wa Nagwanda Sijaona mjini Mtwara, Wana kimanumanu African Sports watawakaribisha Simba SC katika uwanja wa Mkwakwani jijini Tanga, huku Wana Lizombe Majimaji wakiwa wenyeji wa maafande wa JKT Ruvu katika uwanja wa Majimaji mjini Songea.
Azam FC...
10 years ago
BBCSwahili14 Jul
Michuano ya Kagame kuanza kutimua vumbi