Mamia ya wana Iringa waendelea kumchangia Mwanahabari Kibiki achukue fomu ya Ubunge Iringa mjini
![](http://2.bp.blogspot.com/-YLuC-Ax2HFo/VZuXdCm30TI/AAAAAAAABv4/FNaD3LbWPjU/s72-c/20150601_161420.jpg)
Na Fredy Mgunda,Iringa WAKATI joto la uchaguzi likiendelea kupanda katika jimbo la Iringa mjini, mamia ya vijana, wanawake, walemavu na wazee katika jimbo hilo wanaendelea kuchangishana fedha ili kumuwezesha mwanahabari Frank Kibiki kuchukua fomu ya kuomba ateuliwe kupeperusha bendera ya CCM, kwenye jimbo hilo.Zoezi hilo linaloendeshwa na baadhi ya vijana waliomtaka Kibiki ambaye ni Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM taifa, kutotoa rushwa badala yake atumie hoja kuelezea sera zake, walisema...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-FNLyoeQ8W7M/VJVRkOFCFZI/AAAAAAAG4m0/puAAh11yKrk/s72-c/unnamed%2B(30).jpg)
Mwanahabari Kibiki atangaza kuwania Ubunge jimbo la Iringa mjini
![](http://3.bp.blogspot.com/-FNLyoeQ8W7M/VJVRkOFCFZI/AAAAAAAG4m0/puAAh11yKrk/s1600/unnamed%2B(30).jpg)
MJUMBE wa Mkutano Mkuu wa CCM Taifa, Frank Kibiki, ametangaza nia ya kuwania ubunge wa jimbo la Iringa mjini, kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Akizungumza na waandishi wa Habari leo ofisini kwake, Kibiki amesema ni wakati wa vijana kushika hatamu kwa kuwania nafasi mbali mbali, ndani ya CCM na hatimaye kwenye umma wa watanzania.
Kibiki ambaye ni Katibu mwandamizi wa Umoja wa Vijana, katika wilaya mbali mbali nchini amesema ameamua kuomba kupitishwa nafasi...
10 years ago
Dewji Blog26 Jan
Wasanii mkoani Iringa wamemtungia wimbo mgombea ubunge jimbo la Iringa Mjini Frank Kibiki
MSANII wa muziki wa kizazi, kipya mjini Iringa, ONE LEE akitoa zawadi ya ngoma kwa mwandishi wa Habari Frank Kibiki kwa niaba ya wasanii wenzake, ambaye hivi karibuni alitangaza nia ya kugombea ubunge katika jimbo la Iringa mjini.
Akizungumza na waandishi wa habari mjini Iringa, wasanii hao walisema wameamua kutengeneza wimbo huo kutokana na mchango mkubwa wa mwanahabari huyo, katika fani yao.
Msanii huyo Richard Kayombo ‘One Lee’ ambaye alikabidhi wimbo kwa niaba ya wasanii wenzake...
10 years ago
MichuziIRINGA KIBIKI CHILDREN CUP KUANZA KUTIMUA VUMBI IRINGA
9 years ago
Vijimambo07 Sep
MWIGULU NCHEMBA ASABABISHA MAFURIKO IRINGA MJINI,WANANCHI WAAHIDI KUMCHAGUA MWAKALEBELA KWA USTAWI WA IRINGA
![](https://scontent-fra3-1.xx.fbcdn.net/hphotos-xfp1/v/t1.0-9/11987063_424257781109789_1218270817209739675_n.jpg?oh=d3b25221b0ee98dc26e39703133fe598&oe=566C9D6B)
![](https://scontent-fra3-1.xx.fbcdn.net/hphotos-xat1/v/t1.0-9/10330376_424257834443117_2590905553608251965_n.jpg?oh=a3f7d44b65f6bae9791174720f3870fa&oe=566E5BB0)
![](https://fbcdn-sphotos-d-a.akamaihd.net/hphotos-ak-xlp1/v/t1.0-9/11954816_424257594443141_5282530544314119712_n.jpg?oh=13d73bee1c57e97dab5fabcceddde988&oe=567BA70F&__gda__=1454089245_9f13f1afb82220720964f12a406934f0)
10 years ago
MichuziVIJANA WA CCM IRINGA WAMPA NGUVU KATIBU WA MKOA HASSAN MTENGA KUKOMBOA JIMBO, LA IRINGA MJINI
KIU ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Manispaa ya Iringa kukomboa jimbo la Iringa Mjini katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba mwaka huu inazidi kuongezeka, baada ya umoja wake wa vijana (UVCCM Manispaa ya Iringa) kuahidi kuongeza nguvu ili kuufanikisha mkakati huo.
CCM ililipoteza jimbo hilo katika Uchaguzi Mkuu wa 2010 kwa Mchungaji Msigwa wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) anayekaribia kumaliza muda wake.
Katika...
10 years ago
MichuziWANA CCM KIBAO WAJITOKEZA KUCHUKUA FOMU ZA KUWANIA UBUNGE JIMBO LA MOSHI MJINI
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-LxvMl_N0rUs/VaNWMT99dnI/AAAAAAAHpQc/a1blBPwPumg/s72-c/unnamed%2B%252824%2529.jpg)
MWENYEKITI WA BAVICHA AMVAA MCHUNGAJI MSIGWA UBUNGE IRINGA MJINI
![](http://2.bp.blogspot.com/-LxvMl_N0rUs/VaNWMT99dnI/AAAAAAAHpQc/a1blBPwPumg/s320/unnamed%2B%252824%2529.jpg)