TPDC kuendesha utafiti wa mafuta na gesi kwa ndege
![](http://2.bp.blogspot.com/-kzUCb3C_nXY/VkmOYuDS_mI/AAAAAAAIGIs/SVqkgk3btrg/s72-c/1.jpg)
Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) Dkt. James Mataragio akuzungumza na waandishi wa habari (hapo pichani) kuhusu ujio wa ndege ya utafiti wa awali wa mafuta na gesi asilia kwa kutumia ndege katika Kitalu cha Ziwa Tanganyika Kaskazini, Mkurugenzi wa undelezaji wa mafuta na gesi asilia Dkt. Wellngton Hudson (kulia) mkutano huo ulifanyika makao makuu ya TPDC mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam.
Waandishi wa vyombo mbali mbali vya habari wakimsikiliza...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Habarileo23 Nov
TPDC yaanza utafiti mpya wa mafuta na gesi Eyasi
SHIRIKA la Maendeleo la Petroli Tanzania (TPDC) leo linatarajiwa kuanza utafiti wa awali wa mafuta na gesi kwa kutumia ndege katika eneo la kitalu cha Eyasi, Wembere na Mandawa . Utafiti huu wa awali, unatajwa kwamba utafanyika pia katika mikoa ya Arusha, Singida, Simiyu, Tabora na Lindi.
9 years ago
Habarileo16 Nov
TPDC kuanza utafiti mafuta, gesi wiki hii
SHIRIKA la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC), wiki hii litaanza utafiti wa awali wa mafuta na gesi nchini kwa kutumia ndege katika eneo la kitalu cha Ziwa Tanganyika Kaskazini.
11 years ago
MichuziTPDC YAENDESHA SEMINA KWA WANAHABARI KUHUSU UCHIMBAJI WA GESI NA MAFUTA KATIKA HOTELI YA OCEANIC BAY $ RESORT, BAGAMOYO LEO
10 years ago
MichuziTPDC yakutanisha wadau kujadili sekta ndogo ya Mafuta na Gesi, Bagamoyo
BOFYA HAPA KWA PICHA...
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-8EMnpoABT4A/VCE_EWuYWcI/AAAAAAAGlRo/8ATazVO-8ig/s72-c/Screen%2BShot%2B2014-09-23%2Bat%2B12.32.26%2BPM.png)
10 years ago
Tanzania Daima01 Nov
Utafiti wa Swala kusaidia upatikanaji wa mafuta, gesi
KAMPUNI ya mafuta na gesi ya Swala imetoa ushahidi mafanikio ya utafiti uliofanyika katika bonde la Kilombero wilayani Kilosa ambapo matokeo hayo yatatasaidia kurahisisha kazi ya uchimbaji visima mwaka 2015....
10 years ago
GPL![](http://4.bp.blogspot.com/-lx00DdH3xxw/VKp1P89lIzI/AAAAAAAG7YQ/p56fEYTa1lU/s1600/CSC_0375.jpg)
TPDC YATUMIA DOLA ZA KIMAREKANI BILIONI 1.225 KWA AJILI YA MRADI WA BOMBA LA GESI
9 years ago
StarTV23 Nov
Mafuta Kitalu Cha Eyasi Wembere  Serikali kutumia Sh. Mil. 14 kwa utafiti
Serikali imekusudia kutumia kiasi cha shilingi milioni 14 kufanikisha utafiti wa awali wa mafuta katika eneo la kitalu cha Eyasi Wembere kwenye mikoa ya Arusha, Singida, Shinyanga, Simiyu, Tabora na baadae Mandawa mkoani Lindi.
Tayari utafiti huo utaanza Novovemba 23 mwaka huu chini ya shirika la ndege Kampuni ya C-GG kutoka nchini Canada linalojihusisha na mambo ya utafiti wa mafuta na gesi.
Mkurugenzi Mtendaji wa shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania TPDC Dr. James Mataragio wakati...
9 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-ZkdRfTF7MBs/VdHpTRt4ymI/AAAAAAAHx0s/lBD1k3hldKw/s72-c/PICHA%2BNO.2.jpg)
SIMBACHAWENE AKABIDHI NYARAKA ZA UFADHILI KWA WATANZANIA 22 KUSOMA MAFUTA, GESI CHINA
![](http://4.bp.blogspot.com/-ZkdRfTF7MBs/VdHpTRt4ymI/AAAAAAAHx0s/lBD1k3hldKw/s640/PICHA%2BNO.2.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-H64AoDgmkMA/VdHpThrhvOI/AAAAAAAHx00/rbs7TmTOAUU/s640/PICHA%2BNO.1.jpg)
Waziri wa Nishati na Madini, George Simbachawene, (Kulia) akizungumza na waandishi wa habari, baadhi ya Watumishi wa Wizara na wanafunzi waliopata ufadhili wa masomo katika ngazi za Shahada za Uzamivu (Phd) na Uzamili (Masters), katika masuala ya mafuta na gesi nchini China.
![](http://2.bp.blogspot.com/-yIWBVHymBmw/VdHpTpWEJvI/AAAAAAAHx0w/Px2ya11Zlfw/s640/PICHA%2BNO.3.jpg)