SIMBACHAWENE AKABIDHI NYARAKA ZA UFADHILI KWA WATANZANIA 22 KUSOMA MAFUTA, GESI CHINA
![](http://4.bp.blogspot.com/-ZkdRfTF7MBs/VdHpTRt4ymI/AAAAAAAHx0s/lBD1k3hldKw/s72-c/PICHA%2BNO.2.jpg)
Waziri wa Nishati na Madini. George Simbachawene, akisisitiza jambo kwa wanafunzi kabla ya kuwakabidhi Nyaraka za Ufadhili kwa ajili ya masomo yao nchini China.
Waziri wa Nishati na Madini, George Simbachawene, (Kulia) akizungumza na waandishi wa habari, baadhi ya Watumishi wa Wizara na wanafunzi waliopata ufadhili wa masomo katika ngazi za Shahada za Uzamivu (Phd) na Uzamili (Masters), katika masuala ya mafuta na gesi nchini China. Baadhi ya wanafunzi 22 waliopata nafasi za masomo ya...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Vijimambo![](http://4.bp.blogspot.com/-ZkdRfTF7MBs/VdHpTRt4ymI/AAAAAAAHx0s/lBD1k3hldKw/s72-c/PICHA%2BNO.2.jpg)
SIMBACHAWENE AKABIDHI NYARAKA ZA UFADHILI KWA WATANZANIA 22 KUSOMA MAFUTA, GESI NCHINI CHINA
![](http://4.bp.blogspot.com/-ZkdRfTF7MBs/VdHpTRt4ymI/AAAAAAAHx0s/lBD1k3hldKw/s640/PICHA%2BNO.2.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-H64AoDgmkMA/VdHpThrhvOI/AAAAAAAHx00/rbs7TmTOAUU/s640/PICHA%2BNO.1.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-yIWBVHymBmw/VdHpTpWEJvI/AAAAAAAHx0w/Px2ya11Zlfw/s640/PICHA%2BNO.3.jpg)
11 years ago
Michuzi04 Mar
10 years ago
Mwananchi21 Dec
Lindi wahimizwa kusoma wafaidi gesi, mafuta
11 years ago
Uhuru Newspaper13 Aug
Vijana 10 kusomea mafuta na gesi China
NA SELINA WILSON
VIJANA 10 wa Kitanzania waliopata ufadhili wa kusomea shahada ya uzamili na uzamivu katika masuala ya gesi na mafuta, wamekabidhiwa nyaraka muhimu ikiwemo viza.
Hatua hiyo ni mwendelezo wa serikali kuhakikisha inazalisha wataalamu wazawa wa kutosha katika sekta ya mafuta na gesi, ambao watashiriki kikamilifu.
Nafasi hizo zilitolewa na serikali ya China baada ya kuombwa na Tanzania, ikiwa ni mkakati wa kutimiza lengo hilo la kuwa na wataalamu wazawa wa kutosha.
Akizungumza kabla...
11 years ago
Mwananchi04 Jul
MAFUTA NA GESI: 'Watanzania wanaweza kuwekeza'
11 years ago
Mwananchi04 Jun
Watanzania wanaamini gesi, mafuta vitawanufaisha
11 years ago
Habarileo17 Jul
Watanzania kujifunza gesi, mafuta Canada
SERIKALI ya Tanzania inatarajia kutuma wataalamu kwenda Canada katika Kamisheni ya Mafuta na Gesi ya jimbo la British Columbia (BC Oil& Gas Commission), kujifunza udhibiti wa mafuta na gesi.
9 years ago
StarTV13 Nov
Uwekezaji wa mapato ya mafuta, gesi watakiwa maendeleo ya watanzania
Kuongezeka kwa uwezo wa kiuchumi wa kuzalisha na kuwahudumia watanzania katika sekta ya elimu, afya na maendeleo ya jamii kutategemea uwekezaji wa mapato yanayotokana na rasilimali za mafuta na gesi.
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Adolf Mkenda amesema ili rasilimali hizo ziwe endelevu na zenye manufaa kwa watanzania ni lazima zibadilishwe na kuwekezwa katika mitaji mingine.
Katika mkutano wa wadau wa gasi na mafuta jijini Dar es salaam Adolf Mkenda Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha...
10 years ago
Habarileo01 Feb
Muhongo akabidhi ofisi kwa Simbachawene
ALIYEKUWA Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo amekabidhi rasmi wizara hiyo kwa waziri wa sasa, George Simbachawene, aliyekuwa Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi.