Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Watanzania wanaamini gesi, mafuta vitawanufaisha

Utafiti uliofanywa na Taasisi ya Twaweza unaonyesha kuwa watu wengi wanaamini kuwa mafuta na gesi ni rasilimali zitakazowanufaisha wao na nchi.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Watanzania kujifunza gesi, mafuta Canada

SERIKALI ya Tanzania inatarajia kutuma wataalamu kwenda Canada katika Kamisheni ya Mafuta na Gesi ya jimbo la British Columbia (BC Oil& Gas Commission), kujifunza udhibiti wa mafuta na gesi.

 

11 years ago

Mwananchi

MAFUTA NA GESI: 'Watanzania wanaweza kuwekeza'

>Mtaalamu wa masuala ya fedha wa Soko la Hisa la Dar es Salaam (DSE), Mshindo Ibrahim amesema Watanzania wana uwezo wa kuwekeza katika ya gesi na mafuta ila ni jukumu  la Serikali kuwapatia fursa.

 

9 years ago

StarTV

Uwekezaji wa mapato ya mafuta, gesi watakiwa maendeleo ya watanzania

Kuongezeka kwa uwezo wa kiuchumi wa kuzalisha na kuwahudumia watanzania katika sekta ya elimu, afya na maendeleo ya jamii kutategemea uwekezaji wa mapato yanayotokana na rasilimali za mafuta na gesi.

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Adolf Mkenda amesema ili rasilimali hizo ziwe endelevu na zenye manufaa kwa watanzania ni lazima zibadilishwe na kuwekezwa katika mitaji mingine.

Katika mkutano wa wadau wa gasi na mafuta jijini Dar es salaam Adolf Mkenda Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha...

 

9 years ago

Michuzi

SIMBACHAWENE AKABIDHI NYARAKA ZA UFADHILI KWA WATANZANIA 22 KUSOMA MAFUTA, GESI CHINA

Waziri wa Nishati na Madini. George Simbachawene, akisisitiza jambo kwa wanafunzi kabla ya kuwakabidhi Nyaraka za Ufadhili kwa ajili ya masomo yao nchini China. 
Waziri wa Nishati na Madini, George Simbachawene, (Kulia) akizungumza na  waandishi wa habari, baadhi ya Watumishi wa Wizara na wanafunzi  waliopata ufadhili wa  masomo katika ngazi za  Shahada za Uzamivu (Phd) na  Uzamili (Masters), katika masuala ya mafuta na gesi nchini China. Baadhi ya wanafunzi 22 waliopata nafasi za masomo ya...

 

9 years ago

Vijimambo

SIMBACHAWENE AKABIDHI NYARAKA ZA UFADHILI KWA WATANZANIA 22 KUSOMA MAFUTA, GESI NCHINI CHINA

Waziri wa Nishati na Madini. George Simbachawene, akisisitiza jambo kwa wanafunzi kabla ya kuwakabidhi Nyaraka za Ufadhili kwa ajili ya masomo yao nchini China. Waziri wa Nishati na Madini, George Simbachawene, (Kulia) akizungumza na  waandishi wa habari, baadhi ya Watumishi wa Wizara na wanafunzi  waliopata ufadhili wa  masomo katika ngazi za  Shahada za Uzamivu (Phd) na  Uzamili (Masters), katika masuala ya mafuta na gesi nchini China.
 Baadhi ya wanafunzi 22 waliopata nafasi za masomo ya...

 

11 years ago

Michuzi

Wananchi wengi wanaamini kuwa gesi imeleta neema nchini Tanzania


 Wananchi wanne kati ya watano wanaamini kuwa mafuta na gesi yatawanufaisha wao, watoto wao na nchi yao kwa ujumla. Wakati huo huo, wananchi wanne kati ya kumi (37%) wanaamini kuwa viongozi wa Serikali na matajiri ndio wataofaidika zaidi. Pia, zaidi ya nusu (55%)  wangependa baadhi ya mapato ya mafuta na gesi wapewe wananchi moja kwa moja kama fedha taslimu.

Matokeo haya yametolewa na Twaweza katika muhtasari wa utafiti wenye jina la Kusimamia Maliasili: Wananchi wanasemaje? Utafiti huu...

 

11 years ago

GPL

WANANCHI WANAAMINI GESI IMELETA NEEMA TANZANIA JAPO WANA WASIWASI KUWA SERIKALI, MATAJIRI WATAFAIDIKA ZAIDI

Juni 3, 2014, Dar es Salaam: Wananchi wanne kati ya watano wanaamini kuwa mafuta na gesi yatawanufaisha wao, watoto wao na nchi yao kwa ujumla. Wakati huo huo, wananchi wanne kati ya kumi (37%) wanaamini kuwa viongozi wa Serikali na matajiri ndio wataofaidika zaidi. Pia, zaidi ya nusu (55%)  wangependa baadhi ya mapato ya mafuta na gesi wapewe wananchi moja kwa moja kama fedha taslimu. Matokeo haya yametolewa na Twaweza katika...

 

11 years ago

Dewji Blog

Wananchi wengi wanaamini kuwa gesi imeleta neema nchini Tanzania, lakini wengi wana wasiwasi kuwa Serikali na matajiri watafaidika zaidi

mabomba ya gesi

Mabomba ya kusafirisha gesi kutoka Mtwara kwenda Dar es Salaam.

Wananchi wanne kati ya watano wanaamini kuwa mafuta na gesi yatawanufaisha wao, watoto wao na nchi yao kwa ujumla. Wakati huo huo, wananchi wanne kati ya kumi (37%) wanaamini kuwa viongozi wa Serikali na matajiri ndio wataofaidika zaidi. Pia, zaidi ya nusu (55%)  wangependa baadhi ya mapato ya mafuta na gesi wapewe wananchi moja kwa moja kama fedha taslimu.

Matokeo haya yametolewa na Twaweza katika muhtasari wa utafiti wenye...

 

10 years ago

Tanzania Daima

‘Zanzibar haitaruhusu mafuta, gesi’

KATIBU Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad, amesema Zanzibar haiwezi kuruhusu kuchimbwa mafuta na gesi asilia kabla haijawa na sheria na sera juu ya mafuta hayo....

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani