WANANCHI WANAAMINI GESI IMELETA NEEMA TANZANIA JAPO WANA WASIWASI KUWA SERIKALI, MATAJIRI WATAFAIDIKA ZAIDI

Juni 3, 2014, Dar es Salaam: Wananchi wanne kati ya watano wanaamini kuwa mafuta na gesi yatawanufaisha wao, watoto wao na nchi yao kwa ujumla. Wakati huo huo, wananchi wanne kati ya kumi (37%) wanaamini kuwa viongozi wa Serikali na matajiri ndio wataofaidika zaidi. Pia, zaidi ya nusu (55%)Â wangependa baadhi ya mapato ya mafuta na gesi wapewe wananchi moja kwa moja kama fedha taslimu. Matokeo haya yametolewa na Twaweza katika...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Dewji Blog06 Jun
Wananchi wengi wanaamini kuwa gesi imeleta neema nchini Tanzania, lakini wengi wana wasiwasi kuwa Serikali na matajiri watafaidika zaidi
Mabomba ya kusafirisha gesi kutoka Mtwara kwenda Dar es Salaam.
Wananchi wanne kati ya watano wanaamini kuwa mafuta na gesi yatawanufaisha wao, watoto wao na nchi yao kwa ujumla. Wakati huo huo, wananchi wanne kati ya kumi (37%) wanaamini kuwa viongozi wa Serikali na matajiri ndio wataofaidika zaidi. Pia, zaidi ya nusu (55%) wangependa baadhi ya mapato ya mafuta na gesi wapewe wananchi moja kwa moja kama fedha taslimu.
Matokeo haya yametolewa na Twaweza katika muhtasari wa utafiti wenye...
11 years ago
Michuzi
Wananchi wengi wanaamini kuwa gesi imeleta neema nchini Tanzania

Wananchi wanne kati ya watano wanaamini kuwa mafuta na gesi yatawanufaisha wao, watoto wao na nchi yao kwa ujumla. Wakati huo huo, wananchi wanne kati ya kumi (37%) wanaamini kuwa viongozi wa Serikali na matajiri ndio wataofaidika zaidi. Pia, zaidi ya nusu (55%) wangependa baadhi ya mapato ya mafuta na gesi wapewe wananchi moja kwa moja kama fedha taslimu.
Matokeo haya yametolewa na Twaweza katika muhtasari wa utafiti wenye jina la Kusimamia Maliasili: Wananchi wanasemaje? Utafiti huu...
11 years ago
Mwananchi04 Jun
Watanzania wanaamini gesi, mafuta vitawanufaisha
5 years ago
BBCSwahili14 May
Virusi vy corona: Tanzania yasema hakuna haja ya kuwa na wasiwasi
9 years ago
BBCSwahili17 Dec
Utafiti: Watanzania wana wasiwasi kuhusu mashambulizi
10 years ago
Michuzi29 Jan
11 years ago
Bongo519 Aug
Tunda Man adai kuwa na mipango ya kugombea ubunge, japo si 2015
10 years ago
Habarileo11 Oct
Neema ya gesi sasa ni dhahiri
RAIS Jakaya Kikwete jana alizindua miundombinu ya kuchakata na kusafirisha gesi asilia kutoka Mtwara na Songo Songo hadi Dar es Salaam kupitia Somanga.
5 years ago
Michuzi
SERIKALI YA AWAMU YA TANO IMELETA MAENDELEO PWANI- MHANDISI NDIKILO
Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mhandisi Evarist Ndikilo amesema ndani ya miaka mitano chini ya serikali ya awamu ya tano inayoongozwa na Dkt John Pombe Magufuli imepata maendeleo makubwa sana.
Ndikilo amesema, toka kupata kwa Uhuru mji wa Kisarawe haujawahi kupata maji safi na kupitia Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam DAWASA wamefanikisha kukamilika kwa mradi huo.
Mradi wa maji wa Kisarawe umeuzindulia leo na Rais Dkt John Pombe Magufuli, tunafurahi...