Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


‘Zanzibar haitaruhusu mafuta, gesi’

KATIBU Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad, amesema Zanzibar haiwezi kuruhusu kuchimbwa mafuta na gesi asilia kabla haijawa na sheria na sera juu ya mafuta hayo....

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Vijimambo

MAALIM SEIF AAHIDI MAFUTA, GESI NDANI YA SIKU 100 ZANZIBAR

Mgombea urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CUF,Zanzibar. Mgombea urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CUF, Maalim Seif Sharif Hamad amesema kuwa siku 100 za uongozi wake, atahakikisha anaingia mikataba na kampuni za mafuta na gesi asilia ili zianze uchimbaji katika ardhi ya Zanzibar.

Maalim Seif alisema hayo juzi kwenye viwanja vya Tibirinzi mkoani Kusini Pemba alipokuwa akizungumza na wananchi na wafuasi wa vyama vinavyounda Ukawa.

Aliwaomba wananchi wa Unguja na Pemba wampe ridhaa ya kuongoza visiwa vya Zanzibar ili aweze kuwaletea maendeleo...

 

9 years ago

Mwananchi

Maalim Seif aahidi mafuta, gesi ndani ya siku 100 Zanzibar

Mgombea urais wa Zanzibar kwa tiketi ya CUF, Maalim Seif Sharif Hamad amesema kuwa siku 100 za uongozi wake, atahakikisha anaingia mikataba na kampuni za mafuta na gesi asilia ili zianze uchimbaji katika ardhi ya Zanzibar.

 

10 years ago

Dewji Blog

Planet Core yaangalia fursa ya uwekezaji sekta ya elimu, mafuta na gesi Zanzibar

458

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akizungumza na Ujumbe wa Taasisi ya Kimataifa ya Uwekezaji ya Planet Core ya Nchini India hapo Nyumbani kwake Mazizini nje kidogo ya Mji wa Zanzibar.Kati kati ni Mwenyekiti wa Timu ya Uongozi wa Planet Core Bwana Deepak Balaji na Kulia ni Rais wa Taasisi hiyo Bwana Dilip Kulmarni.

Na Othman Khamis Ame

Taasisi ya Kimataifa inayojihusisha na Miundo mbinu ya Elimu, Madini, mafuta na Gesi, nishati na mawasiliano ya Planet Core kutoka...

 

11 years ago

Mwananchi

Mawakili kusomea gesi, mafuta

Mawakili 20 kutoka katika mikoa mbalimbali wanatarajiwa kupelekwa nchini Marekani kupata mafunzo ya sheria kuhusu mafuta na gesi kwa vitendo, ili waweze kuielimisha jamii na kuiwezesha kunufaika.

 

11 years ago

Mwananchi

Gesi kuathiri soko la mafuta

Katibu Mkuu mstaafu wa Wizara ya Nishati na Madini kuanzia mwaka 1972 hadi 1974, Dk Ben Moshi amekiri kwamba ujio wa matumizi ya gesi katika huduma mbalimbali nchini, unaweza kuathiri kampuni nyingi za mafuta zinazofanya biashara nchini.

 

11 years ago

Uhuru Newspaper

‘Ruksa kununua hisa mafuta na gesi’


NA RACHEL KYALA
SERIKALI kwa mara ya kwanza imetoa fursa kwa wananchi ya kuwekeza kwa kununua hisa katika sekta ya mafuta na gesi.
Hatua hiyo imekuja kufuatia serikali kutoa kibali kwa Kampuni ya Mafuta na Gesi ya Swala, kuwa ya kwanza kuuza hisa Afrika Mashariki na kumilikiwa na wazawa.
Mkurugenzi Mtendaji wa Swala, David Ridge, akizungumza jijini Dar es Salaam jana wakati wa uzinduzi wa uuzaji wa hisa, aliwataka watanzania kuchangamkia fursa hiyo ili kuinua uchumi wao na wa taifa kwa...

 

10 years ago

Mwananchi

Bei ya mafuta kuathiri utafutaji wa gesi Tz

Anguko la bei ya mafuta ghafi katika soko la dunia huenda likaifanya Serikali kupitia upya baadhi ya mikataba ya utafutaji wa mafuta na gesi ili kuwavutia wawekezaji wengi zaidi.

 

10 years ago

Mwananchi

Someni ili mnufaike na gesi, mafuta

Wakati Waziri Mkuu Mizengo Pinda akiwa anaendelea na ziara yake ya siku tatu nchini Qatar na kazi kubwa ni kutafuta wawekezaji katika sekta ya mafuta na gesi wananchi mkoani lindi wamehimizwa kusoma ili waweze kuzitumia vyema fursa zitakazotokana na rasilimali hizo.

 

11 years ago

Mwananchi

Watanzania wanaamini gesi, mafuta vitawanufaisha

Utafiti uliofanywa na Taasisi ya Twaweza unaonyesha kuwa watu wengi wanaamini kuwa mafuta na gesi ni rasilimali zitakazowanufaisha wao na nchi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani