Mawakili kusomea gesi, mafuta
Mawakili 20 kutoka katika mikoa mbalimbali wanatarajiwa kupelekwa nchini Marekani kupata mafunzo ya sheria kuhusu mafuta na gesi kwa vitendo, ili waweze kuielimisha jamii na kuiwezesha kunufaika.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo27 Jul
Mawakili kusomea sheria za gesi, mafuta Marekani
CHAMA cha Wanasheria Tanganyika (TLS) wakishirikiana na The Colom Foundation INC na Nashera Hotel wanakusudia kuwapeleka mawakili 20 wa Tanzania katika Chuo Kikuu cha Mississippi nchini Marekani kujifunza zaidi juu ya elimu ya nadharia na vitendo katika sheria, hususan ya gesi na mafuta.
11 years ago
Uhuru Newspaper13 Aug
Vijana 10 kusomea mafuta na gesi China
NA SELINA WILSON
VIJANA 10 wa Kitanzania waliopata ufadhili wa kusomea shahada ya uzamili na uzamivu katika masuala ya gesi na mafuta, wamekabidhiwa nyaraka muhimu ikiwemo viza.
Hatua hiyo ni mwendelezo wa serikali kuhakikisha inazalisha wataalamu wazawa wa kutosha katika sekta ya mafuta na gesi, ambao watashiriki kikamilifu.
Nafasi hizo zilitolewa na serikali ya China baada ya kuombwa na Tanzania, ikiwa ni mkakati wa kutimiza lengo hilo la kuwa na wataalamu wazawa wa kutosha.
Akizungumza kabla...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-MDuCGCyMDPc/VBs7Jsd92BI/AAAAAAAGkWY/BK2xeJx9gv4/s72-c/unnamed%2B(47).jpg)
Vijana Saba kusomea mafuta na Gesi nchini Brazili Mwakani
![](http://2.bp.blogspot.com/-MDuCGCyMDPc/VBs7Jsd92BI/AAAAAAAGkWY/BK2xeJx9gv4/s1600/unnamed%2B(47).jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-Yzw0ue38lGA/VBs7K5a381I/AAAAAAAGkWg/4ZI97d0rti4/s1600/unnamed%2B(48).jpg)
9 years ago
Mwananchi26 Aug
Wanafunzi 10 wadhaminiwa kusomea gesi Uingereza
11 years ago
Mwananchi21 May
Gesi kuathiri soko la mafuta
10 years ago
Tanzania Daima21 Oct
‘Zanzibar haitaruhusu mafuta, gesi’
KATIBU Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad, amesema Zanzibar haiwezi kuruhusu kuchimbwa mafuta na gesi asilia kabla haijawa na sheria na sera juu ya mafuta hayo....
9 years ago
Raia Mwema02 Sep
Gesi na mafuta yatasaidia uchaguzi huru?
MADOLA ya Magharibi yanauangaza kwa makini mchakato mzima wa kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25
Ahmed Rajab
11 years ago
Mwananchi04 Jul
MAFUTA NA GESI: 'Watanzania wanaweza kuwekeza'
11 years ago
Habarileo17 Jul
Watanzania kujifunza gesi, mafuta Canada
SERIKALI ya Tanzania inatarajia kutuma wataalamu kwenda Canada katika Kamisheni ya Mafuta na Gesi ya jimbo la British Columbia (BC Oil& Gas Commission), kujifunza udhibiti wa mafuta na gesi.