Vijana Saba kusomea mafuta na Gesi nchini Brazili Mwakani
.jpg)
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Nishati na Madini, Mhandisi Ngosi Mwihava (katikati) akimkabidhi cheti cha kuhitimu mafunzo ya lugha ya Kireno Zahoro Athmani mmoja kati ya wanafunzi 15, waliohitimu mafunzo hayo, ambapo 7 kati yao tayari wamepata ufadhili wa masomo ya Shahada za Uzamili na Uzamivu katika fani za mafuta na gesi nchini Brazili. Kulia ni Balozi wa Brazili nchini, Fransisco Carlos Luiz, akimpongeza mwanafunzi huyo.
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Nishati na Madini Mhandisi...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Uhuru Newspaper13 Aug
Vijana 10 kusomea mafuta na gesi China
NA SELINA WILSON
VIJANA 10 wa Kitanzania waliopata ufadhili wa kusomea shahada ya uzamili na uzamivu katika masuala ya gesi na mafuta, wamekabidhiwa nyaraka muhimu ikiwemo viza.
Hatua hiyo ni mwendelezo wa serikali kuhakikisha inazalisha wataalamu wazawa wa kutosha katika sekta ya mafuta na gesi, ambao watashiriki kikamilifu.
Nafasi hizo zilitolewa na serikali ya China baada ya kuombwa na Tanzania, ikiwa ni mkakati wa kutimiza lengo hilo la kuwa na wataalamu wazawa wa kutosha.
Akizungumza kabla...
11 years ago
Mwananchi26 Jul
Mawakili kusomea gesi, mafuta
11 years ago
Habarileo27 Jul
Mawakili kusomea sheria za gesi, mafuta Marekani
CHAMA cha Wanasheria Tanganyika (TLS) wakishirikiana na The Colom Foundation INC na Nashera Hotel wanakusudia kuwapeleka mawakili 20 wa Tanzania katika Chuo Kikuu cha Mississippi nchini Marekani kujifunza zaidi juu ya elimu ya nadharia na vitendo katika sheria, hususan ya gesi na mafuta.
10 years ago
Habarileo22 Nov
Membe ahimiza vijana wengi kujifunza mafuta na gesi
WAZIRI wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe amesema ni jukumu la Serikali kuhakikisha nchi inapoelekea katika uchumi wa mafuta na gesi inasomesha vijana wengi zaidi katika sekta hiyo.
11 years ago
Michuzi
11 years ago
Michuzi04 Mar
10 years ago
Vijimambo
SIMBACHAWENE AKABIDHI NYARAKA ZA UFADHILI KWA WATANZANIA 22 KUSOMA MAFUTA, GESI NCHINI CHINA



11 years ago
Michuzi.jpg)
Viongozi wa Dini Mikoa ya Lindi na Mtwara kuhudhuria mafunzo ya gesi asilia na mafuta nchini Thailand
Jumla ya Viongozi 19 wa Dini kutoka Mikoa ya Lindi na Mtwara wanatarajia kwenda nchini Thailand kuanzia tarehe 26 Aprili mwaka huu kwa ajili ya ziara ya mafunzo katika masuala ya gesi asilia na mafuta.
Ziara hiyo inatokana na juhudi za serikali katika kuhakisha elimu kuhusu masuala ya gesi asilia na mafuta inatolewa kwa wananchi wa kada mbalimbali ili waweze kufahamu mchakato mzima wa upatikanaji wa gesi asilia na mafuta, faida zake katika nyanja za ...