Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Viongozi wa Dini Mikoa ya Lindi na Mtwara kuhudhuria mafunzo ya gesi asilia na mafuta nchini Thailand

Na Teresia Mhagama

Jumla ya Viongozi 19 wa Dini kutoka Mikoa ya Lindi na Mtwara wanatarajia kwenda nchini Thailand kuanzia tarehe 26 Aprili mwaka huu kwa ajili ya ziara ya mafunzo katika masuala ya gesi asilia na mafuta.
Ziara hiyo inatokana na juhudi za serikali katika kuhakisha elimu kuhusu masuala ya gesi asilia na mafuta inatolewa kwa wananchi wa kada mbalimbali ili waweze kufahamu mchakato mzima wa upatikanaji wa gesi asilia na mafuta, faida zake katika nyanja za ...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

Katibu Mkuu Nishati akagua uzalishaji wa gesi asilia Lindi na Mtwara

Meneja Mkuu wa Kampuni ya Gesi (GASCO) ambayo ni Kampuni Tanzu ya Shirika la Maendeleo ya Petroli nchini( TPDC) Mhandisi Baltazar Mroso( katikati) akitoa maelezo ya namna ya gesi inavyosafirishwa kwa Katibu Mkuu Wizara ya Nishati, Mhandisi Zena Said( mwenye ushungi) wakati wa ziara ya Katibu Mkuu huo ya kutembelea mradi wa gesi asilia katika Mkoa wa Lindi na Mtwara, Mei 30- Juni 01,2020.
Katibu Mkuu Wizara ya Nishati, Mhandisi Zena Said( mwenye wa pili kulia) akitoa maelekezo kwa msimamizi...

 

10 years ago

Vijimambo

Maafisa waandamizi wakiwa China katika mafunzo ya muda mfupi ya maendeleo ya mafuta na gesi asilia.

Maafisa Waandamizi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar wakiwa katika picha ya pamoja nchini China wanakohudhuria mafunzo ya muda mfupi ya maendeleo ya mafuta na gesi asilia.  Mkurugenzi wa Mipango na Sera na Utafiti Wizara ya Ardhi, Makaazi Maji ujenzi na Nishati, Salhina Mwita Ameir akieleza jambo wakati wa mafunzo ya mafuta na gesi asilia katika Chuo cha Biashara za Kimataifa Beijing China. Wanaomtazama kutoka kushoto ni Mhandisi Mwalimu Ali Mwalimu na Farhat Ali Mbarouk.(Picha na Juma...

 

10 years ago

Michuzi

WANACHI WA LINDI NA MTWARA WAJADILIANA UWAZI KATIKA SEKTA YA MAFUTA NA GESI

Mkuu wa Wilaya ya Mtwara Fatma Salum Ally akizungumza na baadhi ya wananchi wa Wilya ya Lindi na Mtwara kuhusiana na matarajio makubwa katika sekta ya Mafuta na Gesi pamoja na uundwaji wa mikakati ya mawasiliano katika mkutano uliofanyika katika hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam leo.Katibu Tawala wa Mkoa wa Mtwara Alfred Luanda  ambaye alikuwa mgeni rasmi akimwakilisha Waziri wa Nishati na Madini, George Simbachawene akizungumza katika mkutano uliokutanisha baadhi ya wananchi wa Wilaya...

 

11 years ago

Michuzi

VIONGOZI WA DINI WAWASILI KUTOKA NCHINI THAILAND

Baadhi ya viongozi wa dini kutoka katika Mikoa ya Lindi na Mtwara wakiwasili katika Uwanja wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere (JNIA) kutokea nchini Thailand. Viongozi hao walifanya ziara nchini humo kwa ajili ya kujifunza na kupata uzoefu wa uendelezaji wa sekta ya gesi. Viongozi wa dini wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kuwasili Uwanja wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere (JNIA) kutokea nchini Thailand. Mkuu wa Wilaya ya Kilwa Mhe. Abdallah Hamis Ulega akizungumza na waandishi wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani