Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


VIONGOZI WA DINI WAWASILI KUTOKA NCHINI THAILAND

Baadhi ya viongozi wa dini kutoka katika Mikoa ya Lindi na Mtwara wakiwasili katika Uwanja wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere (JNIA) kutokea nchini Thailand. Viongozi hao walifanya ziara nchini humo kwa ajili ya kujifunza na kupata uzoefu wa uendelezaji wa sekta ya gesi. Viongozi wa dini wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kuwasili Uwanja wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere (JNIA) kutokea nchini Thailand. Mkuu wa Wilaya ya Kilwa Mhe. Abdallah Hamis Ulega akizungumza na waandishi wa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Viongozi wa Dini Mikoa ya Lindi na Mtwara kuhudhuria mafunzo ya gesi asilia na mafuta nchini Thailand

Na Teresia Mhagama

Jumla ya Viongozi 19 wa Dini kutoka Mikoa ya Lindi na Mtwara wanatarajia kwenda nchini Thailand kuanzia tarehe 26 Aprili mwaka huu kwa ajili ya ziara ya mafunzo katika masuala ya gesi asilia na mafuta.
Ziara hiyo inatokana na juhudi za serikali katika kuhakisha elimu kuhusu masuala ya gesi asilia na mafuta inatolewa kwa wananchi wa kada mbalimbali ili waweze kufahamu mchakato mzima wa upatikanaji wa gesi asilia na mafuta, faida zake katika nyanja za ...

 

11 years ago

Michuzi

Washiriki wa kliniki ya Airtel Rising Stars kutoka nchini Sierra Leone wawasili nchini

Meneja Uhusiano Airtel Tanzania Jackson Mmbando akiongea kwenye Uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Julius mara ya kupokea timu ya Airtel Rising Stars kutoka Sierra Leone ambao watahudhuria kliniki ya soka ya kimataifa ya Manchester United itayoanza Jumatano, 23-27 kwenye Uwanja wa Azam Complex, Dar es Salaam. Mchezaji Fatmata Mansaray wa timu ya Airtel Rising Stars chini ya miaka 17 kutoka Sierra Leone, akiongea na waandishi wa habari baada ya kufika Dar es Salaam kuhudhuria kliniki ya...

 

10 years ago

Michuzi

WAZIRI MEMBE ATOA RAI KWA VIONGOZI WA DINI ZOTE NA SERIKALI KUHIMIZA VIJANA WAIPENDE DINI KUDUMISHA AMANI,UTULIVU NA UADILIFU NCHINI

  Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard Membe akionyesha tuzo yake mbele ya umati wa watu (hawapo pichani),aliyotunukiwa kwa mchango wake mkubwa kwa shughuli mbalimbali za kijamii,katika tamasha la pasaka.  Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mhe. Bernard Membe ambaye alikuwa mgeni rasmi akiongea katika tamasha la 15 la Pasaka lililofanyika katika Uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam, Jumapili 5, 2015. Pembeni ni Mkurugenzi wa Msama Promotion, Alex...

 

11 years ago

Mwananchi

Viongozi wa dini nchini wahubiri amani

>Viongozi wa dini katika makanisa mbalimbali nchini, wametumia Sikukuu ya Krismasi kuhubiri amani, kulaani ubinafsi huku wakiitaka Serikali kuhakikisha inawang’oa viongozi mizigo ambao ndio chanzo cha umaskini nchini.

 

9 years ago

Michuzi

Viongozi wawasili nchini Kushuhudia Uapisho wa Rais Mteule Mhe. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mh. Bernard Membe (katikati chini) akimsubiria Rais wa Zimbabwe Mhe. Robert Mugabe (katikati juu kwenye ngazi) alipokuwa akiteremka kwenye Ndege, Rais Mugabe amewasili nchini kwaajili ya kuhudhuria Sherehe za uapisho wa Rais Mteule Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli zitakazofanyika hapo kesho katika Uwanja wa Uhuru jijini Dar es Salaam. Waziri Membe akimpokea Rais Mugabe (mwenye Ua Mkononi) mara tu baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa...

 

10 years ago

Michuzi

Mwili wa marehemu Dkt William Shija wawasili nchini leo kutoka London, Uingereza

 Mwili wa aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Mabunge ya Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Madola Dkt William Shija aliyefariki dunia tarehe 4 Oktoba 2014 umewasili nchini leo. Ndugu, jamaa na marafiki wakimfariji mama Getrude Shija mara alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Julius Nyerere Dar Es salaam.  Ndugu, jamaa na marafiki wakimfariji mama Getrude Shija mara alipowasili kwenye uwanja wa ndege wa Julius Nyerere Dar Es salaam.Msalaba Sehemu ya waombolezaji. Kwa picha zaidi BOFYA...

 

9 years ago

Michuzi

Waziri Mkuu Awapa Somo Viongozi Wa Dini Nchini


kwa Habari zaidi BOFYA HAPA

 

10 years ago

Dewji Blog

JK awataka viongozi wa dini kusaidiana katika kukomesha mauaji ya Albino nchini

unnamed (13)

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akitoa salamu zake za pongezi muda mfupi baada ya kumalizika kwa ibada ya kumweka wakfu askofu mpya wa Jimbo Katoliki Shinyanga Mhashamu Liberatus Sangu katika Kanisa Kuu Parokia ya Mama Mwenye Huruma Ngokolo Mjini Shinyanga.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amesema kuwa hajaletewa majina ya watu 16 waliohukumiwa kifo kutokana na mauaji ya maalbino nchini kwa sababu safari ya kisheria ya majina hayo kufikishwa kwake ni...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani