Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mawakili kusomea sheria za gesi, mafuta Marekani

CHAMA cha Wanasheria Tanganyika (TLS) wakishirikiana na The Colom Foundation INC na Nashera Hotel wanakusudia kuwapeleka mawakili 20 wa Tanzania katika Chuo Kikuu cha Mississippi nchini Marekani kujifunza zaidi juu ya elimu ya nadharia na vitendo katika sheria, hususan ya gesi na mafuta.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Mawakili kusomea gesi, mafuta

Mawakili 20 kutoka katika mikoa mbalimbali wanatarajiwa kupelekwa nchini Marekani kupata mafunzo ya sheria kuhusu mafuta na gesi kwa vitendo, ili waweze kuielimisha jamii na kuiwezesha kunufaika.

 

11 years ago

Uhuru Newspaper

Vijana 10 kusomea mafuta na gesi China


NA SELINA WILSON
VIJANA 10 wa Kitanzania waliopata ufadhili wa kusomea shahada ya uzamili na uzamivu katika masuala ya gesi na mafuta, wamekabidhiwa nyaraka muhimu ikiwemo viza.
Hatua hiyo ni mwendelezo wa serikali kuhakikisha inazalisha wataalamu wazawa wa kutosha katika sekta ya mafuta na gesi, ambao watashiriki kikamilifu.
Nafasi hizo zilitolewa na serikali ya China baada ya kuombwa na Tanzania, ikiwa ni mkakati wa kutimiza lengo hilo la kuwa na wataalamu wazawa wa kutosha.
Akizungumza kabla...

 

10 years ago

Michuzi

Vijana Saba kusomea mafuta na Gesi nchini Brazili Mwakani

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Nishati na Madini, Mhandisi Ngosi Mwihava (katikati) akimkabidhi cheti cha kuhitimu mafunzo ya lugha ya Kireno Zahoro Athmani mmoja kati ya wanafunzi 15, waliohitimu mafunzo hayo, ambapo 7 kati yao tayari wamepata ufadhili wa masomo ya Shahada za Uzamili na Uzamivu katika fani za mafuta na gesi nchini Brazili. Kulia ni Balozi wa Brazili nchini, Fransisco Carlos Luiz, akimpongeza mwanafunzi huyo. Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Nishati na Madini Mhandisi...

 

9 years ago

Mwananchi

Wanafunzi 10 wadhaminiwa kusomea gesi Uingereza

Wanafunzi 10 waliofanya vizuri katika masomo ya sayansi wamepata udhamini wa elimu ya juu katika ngazi ya shahada ya uzamili kwenye vyuo mbalimbali vya nje ya nchi, imeelezwa.

 

9 years ago

Michuzi

MAWAKILI ZINGATIENI MAADILI YA TAALUMA YA SHERIA – JAJI MKUU

Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Othman Chande amewataka Mawakili kote nchini kufanya kazi zao kwa kuzingatia weledi na maadili ya taaluma ya Sheria na kwamba wasisite kuwaeleza ukweli wateja wao wanaopeleka mashauri Mahakamani ili kuepuka kupoteza muda na gharama katika masuala yanayoweza kupatiwa ufumbuzi nje ya Mahakama.  Akizungumza na Mawakili wapya 104 waliohitimu Shule ya Sheria kwa mwaka 2015 wakati wa hafla ya 53 ya kuwapokea na kuwaapisha iliyofanyika katika viwanja vya Karimjee leo...

 

10 years ago

Mwananchi

Mawakili kesi ya Sheikh Ponda wavutana kuhusu sheria ya ushahidi

Shahidi watatu katika kesi inayomkabili Kiongozi wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu nchini, Sheikh Ponda Issa Ponda ametoa ushahidi wake katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Morogoro huku mawakili wa upande wa mashtaka na wa utetezi wakisigana kwenye kifungu cha 150 hadi 152 cha sheria ya ushahidi.

 

9 years ago

Dewji Blog

Mawakili zingatieni maadil ya taaluma ya Sheria-Jaji Mkuu Mh. Othman Chande!!

Picha na 3

Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Othman Chande akizungumza na Mawakili 104 walioapishwa  jana Desemba 15, jijini Dar es salaam. Mhe. Chande amewataka Mawakili hao kufanya kazi zao kwa kuzingatia weledi na maadili ya taaluma yao.

Na. Aron Msigwa –MAELEZO

Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Othman Chande amewataka Mawakili kote nchini kufanya kazi zao kwa kuzingatia weledi na maadili ya taaluma ya Sheria na kwamba wasisite kuwaeleza ukweli wateja wao wanaopeleka mashauri Mahakamani ili kuepuka kupoteza muda...

 

9 years ago

Dewji Blog

Mawakili zingatieni maadili ya taaluma ya Sheria-Jaji Mkuu Mh. Othman Chande!!

Picha na 3

Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Othman Chande akizungumza na Mawakili 104 walioapishwa  jana Desemba 15, jijini Dar es salaam. Mhe. Chande amewataka Mawakili hao kufanya kazi zao kwa kuzingatia weledi na maadili ya taaluma yao.

Na. Aron Msigwa –MAELEZO

Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Othman Chande amewataka Mawakili kote nchini kufanya kazi zao kwa kuzingatia weledi na maadili ya taaluma ya Sheria na kwamba wasisite kuwaeleza ukweli wateja wao wanaopeleka mashauri Mahakamani ili kuepuka kupoteza muda...

 

10 years ago

Tanzania Daima

‘Zanzibar haitaruhusu mafuta, gesi’

KATIBU Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad, amesema Zanzibar haiwezi kuruhusu kuchimbwa mafuta na gesi asilia kabla haijawa na sheria na sera juu ya mafuta hayo....

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani