Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wanafunzi 10 wadhaminiwa kusomea gesi Uingereza

Wanafunzi 10 waliofanya vizuri katika masomo ya sayansi wamepata udhamini wa elimu ya juu katika ngazi ya shahada ya uzamili kwenye vyuo mbalimbali vya nje ya nchi, imeelezwa.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Mawakili kusomea gesi, mafuta

Mawakili 20 kutoka katika mikoa mbalimbali wanatarajiwa kupelekwa nchini Marekani kupata mafunzo ya sheria kuhusu mafuta na gesi kwa vitendo, ili waweze kuielimisha jamii na kuiwezesha kunufaika.

 

11 years ago

Uhuru Newspaper

Vijana 10 kusomea mafuta na gesi China


NA SELINA WILSON
VIJANA 10 wa Kitanzania waliopata ufadhili wa kusomea shahada ya uzamili na uzamivu katika masuala ya gesi na mafuta, wamekabidhiwa nyaraka muhimu ikiwemo viza.
Hatua hiyo ni mwendelezo wa serikali kuhakikisha inazalisha wataalamu wazawa wa kutosha katika sekta ya mafuta na gesi, ambao watashiriki kikamilifu.
Nafasi hizo zilitolewa na serikali ya China baada ya kuombwa na Tanzania, ikiwa ni mkakati wa kutimiza lengo hilo la kuwa na wataalamu wazawa wa kutosha.
Akizungumza kabla...

 

11 years ago

Habarileo

Mawakili kusomea sheria za gesi, mafuta Marekani

CHAMA cha Wanasheria Tanganyika (TLS) wakishirikiana na The Colom Foundation INC na Nashera Hotel wanakusudia kuwapeleka mawakili 20 wa Tanzania katika Chuo Kikuu cha Mississippi nchini Marekani kujifunza zaidi juu ya elimu ya nadharia na vitendo katika sheria, hususan ya gesi na mafuta.

 

10 years ago

Michuzi

Vijana Saba kusomea mafuta na Gesi nchini Brazili Mwakani

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Nishati na Madini, Mhandisi Ngosi Mwihava (katikati) akimkabidhi cheti cha kuhitimu mafunzo ya lugha ya Kireno Zahoro Athmani mmoja kati ya wanafunzi 15, waliohitimu mafunzo hayo, ambapo 7 kati yao tayari wamepata ufadhili wa masomo ya Shahada za Uzamili na Uzamivu katika fani za mafuta na gesi nchini Brazili. Kulia ni Balozi wa Brazili nchini, Fransisco Carlos Luiz, akimpongeza mwanafunzi huyo. Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Nishati na Madini Mhandisi...

 

11 years ago

Mwananchi

Waziri wa Uingereza atoa angalizo la gesi

Dar es Salaam.Tanzania imeshauriwa kutotishwa na migogoro mbalimbali barani Afrika inayotokana na rasilimali za gesi na mafuta, badala yake ifuate mipango yake iliyojiwekea ili kuwanufaisha wananchi wote.

 

9 years ago

Mwananchi

Lowassa: Mapato ya gesi yatasomesha wanafunzi bure

Mgombea urais wa Chadema kwa mwavuli wa Ukawa, Edward Lowassa amesema akichaguliwa kuwa rais wa awamu ya tano atatumia fedha itakayopatikana katika uzalishaji wa gesi kama sehemu ya kutekeleza ahadi ya elimu bure kuanzia shule ya msingi hadi Chuo Kikuu ambayo ipo katika ilani ya uchaguzi ya Ukawa, huku akisisitza, “Msiogope.”

 

5 years ago

BBCSwahili

Marufuku yawekwa ya uhusiano wa mapenzi kati ya wafanyakazi na wanafunzi, Uingereza

Wachambuzi wamefurahishwa na marufuku ya uhusiano wa mapenzi kati ya wafanyakazi na wanafunzi katika chuo kimoja

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mradi wa ‘Sasa Naweza’ wadhaminiwa

KAMPUNI ya Promasidar imedhamini mradi wa ‘Sasa Naweza’ wenye lengo la kuinua kiwango cha ufaulu kwa watoto wa kike hapa nchini kuanzia Halmashauri ya Wilaya ya Temeke, Dar es Salaam....

 

11 years ago

Habarileo

Moravian waliopigana hadharani wadhaminiwa

WAUMINI 29 wa Kanisa la Moravian Kinondoni, wanaokabiliwa na kesi ya kupigana hadharani walipatiwa dhamana jana katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kinondoni.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani