Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Lowassa: Mapato ya gesi yatasomesha wanafunzi bure

Mgombea urais wa Chadema kwa mwavuli wa Ukawa, Edward Lowassa amesema akichaguliwa kuwa rais wa awamu ya tano atatumia fedha itakayopatikana katika uzalishaji wa gesi kama sehemu ya kutekeleza ahadi ya elimu bure kuanzia shule ya msingi hadi Chuo Kikuu ambayo ipo katika ilani ya uchaguzi ya Ukawa, huku akisisitza, “Msiogope.”

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Tanzania Daima

Lowassa: Mapato ya gesi yasaidie elimu

WAZIRI Mkuu aliyejiuzulu, Edward Lowassa, amesema kuwa elimu hapa nchini iko hoi, kwamba unahitajika ushirikiano wa pamoja baina ya wadau pamoja na kutumia mapato ya gesi kuinusuru. Lowassa ameishauri serikali...

 

9 years ago

Habarileo

Mapato ya gesi sasa hadharani

WAKATI eneo la kujenga kiwanda cha kuchakata gesi itakayovunwa baharini likitangazwa kupatikana wiki hii, uvunaji utakapoanza Serikali itapata mapato makubwa kutokana na mikataba minono iliyoingiwa.

 

9 years ago

Habarileo

‘Mapato ya gesi yatumike kuimarisha kilimo’

MJUMBE wa Baraza la Wajuzi kutoka Baraza la Habari (MCT) Jenerali Twaha Ulimwengu ameshauri serikali kuwekeza kwenye miradi ya uzalishaji kwa kutumia fedha zinazotokana mauzo ya gesi asilia na mafuta.

 

9 years ago

StarTV

Uwekezaji wa mapato ya mafuta, gesi watakiwa maendeleo ya watanzania

Kuongezeka kwa uwezo wa kiuchumi wa kuzalisha na kuwahudumia watanzania katika sekta ya elimu, afya na maendeleo ya jamii kutategemea uwekezaji wa mapato yanayotokana na rasilimali za mafuta na gesi.

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Adolf Mkenda amesema ili rasilimali hizo ziwe endelevu na zenye manufaa kwa watanzania ni lazima zibadilishwe na kuwekezwa katika mitaji mingine.

Katika mkutano wa wadau wa gasi na mafuta jijini Dar es salaam Adolf Mkenda Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha...

 

5 years ago

Michuzi

MATUMIZI YA GESI ASILIA MAJUMBANI WATEJA WA AWALI KUUNGANISHWA BURE

Waziri wa Nishati Dkt. Medard Kalemani,(katikati)akipata maelezo ya namna mita ya kupima gesi asilia kwa matumizi ya nyumbani, inayofanya kazi, kutoka kwa mmoja wa wafanyakazi wa shirika la Maendeleo ya Petroli nchini( TPDC)( kulia), katika hafla ya uzinduzi wa ujenzi wa miundombinu ya usambazaji gesi asilia kwa matumizi ya majumbani katika eneo la Mnazi Mmoja Mkoani Lindi

Baadhi ya nyumba zikiwa zimefungiwa mita ya za kupima matumizi ya gesi asilia kwa kwa ajili ya kupikia,Waziri wa...

 

9 years ago

Michuzi

WANAFUNZI WA VYUO KUFURAHIA HUDUMA YA KUPIGIANA SIMU BURE

Kampuni ya simu za mkononi ya Tigo imezindua kifurushi maalum kinacho wawezesha wanafunzi, ambao ni wateja wa Tigo, kuweza kupigiana simu bure.
Huduma hii imeboreshwa zaidi baada ya kifurushi hicho kwa jina maarufu kama Tigo Uni Pack kuzinduliwa mwaka jana, ukilinganisha na kifurushi cha zamani, kifurushi hichi kipya cha wiki kitawapatia wanafunzi wepesi wa kujiunga wakiwa popote ndani ya nchi, hii ni kwa mujibu wa taarifa iliyotumwa kwa vyombo vya habari na kampuni ya Tigo...

 

9 years ago

Mwananchi

Lowassa: Polisi msitutafutie sababu bure

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimelaani hatua ya Jeshi la Polisi kuzuia kuagwa kwa mwili wa aliyekuwa Mwenyekiti wa mkoa wa Geita, Alphonce Mawazo na leo kimepanga kufungua kesi katika Mahakama ya Kuu Kanda ya Ziwa jijini Mwanza, kutaka kupewa ufafanuzi wa suala hilo.

 

9 years ago

Dewji Blog

Wanafunzi wa vyuo kufurahia huduma ya kupigiana simu bure toka TIGO

Meneja Mauzo wa mkoa wa Tanga kutoka Tigo Bw.Daniel Mainoya akiongea na waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali, kuhusu uzinduzi wa kifurushi kilichoboreshwa cha University Pack kutoka Tigo katika Uwanja wa chuo cha Utumishi wa Umma, Kange, mjini Tanga. Mwanafunzi kutoka chuo cha Utumishi wa Umma, Kange,mjini Tanga, Bi.Stella Mwakiliku akiongea na waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali  kuhusu vipi wanafunzi wamekikubali kifurushi hicho kilichoboreshwa cha University Pack kutoka...

 

9 years ago

Mwananchi

Wanafunzi 10 wadhaminiwa kusomea gesi Uingereza

Wanafunzi 10 waliofanya vizuri katika masomo ya sayansi wamepata udhamini wa elimu ya juu katika ngazi ya shahada ya uzamili kwenye vyuo mbalimbali vya nje ya nchi, imeelezwa.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani