Lowassa: Mapato ya gesi yasaidie elimu
WAZIRI Mkuu aliyejiuzulu, Edward Lowassa, amesema kuwa elimu hapa nchini iko hoi, kwamba unahitajika ushirikiano wa pamoja baina ya wadau pamoja na kutumia mapato ya gesi kuinusuru. Lowassa ameishauri serikali...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi31 Aug
Lowassa: Mapato ya gesi yatasomesha wanafunzi bure
11 years ago
Uhuru Newspaper22 Jul
Lowassa: Utajiri wa gesi uboreshe elimu
NA MWANDISHI WETU
MBUNGE wa Monduli, Edward Lowassa, amesema Tanzania inaweza kutumia utajiri mkubwa wa gesi iliyogunduliwa kwa ajili ya kuboresha sekta ya elimu.
Lowassa ambaye aliwahi kuwa Waziri Mkuu, aliyasema hayo jana wakati akitoa salamu katika Mkutano Mkuu wa 23 wa Kanisa la Kiinjili la Kirutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Mashariki Kati mjini Arusha.
Alisema utajiri wa gesi unaweza kutumika kuinusuru elimu kwa kuiboresha zaidi ili kuwakomboa vijana kuondokana na tatizo la...
11 years ago
Mwananchi23 Jul
MAENDELEO: Gesi inaweza kuokoa elimu-Lowassa
9 years ago
Habarileo27 Dec
Mapato ya gesi sasa hadharani
WAKATI eneo la kujenga kiwanda cha kuchakata gesi itakayovunwa baharini likitangazwa kupatikana wiki hii, uvunaji utakapoanza Serikali itapata mapato makubwa kutokana na mikataba minono iliyoingiwa.
10 years ago
Habarileo31 Aug
‘Mapato ya gesi yatumike kuimarisha kilimo’
MJUMBE wa Baraza la Wajuzi kutoka Baraza la Habari (MCT) Jenerali Twaha Ulimwengu ameshauri serikali kuwekeza kwenye miradi ya uzalishaji kwa kutumia fedha zinazotokana mauzo ya gesi asilia na mafuta.
9 years ago
StarTV13 Nov
Uwekezaji wa mapato ya mafuta, gesi watakiwa maendeleo ya watanzania
Kuongezeka kwa uwezo wa kiuchumi wa kuzalisha na kuwahudumia watanzania katika sekta ya elimu, afya na maendeleo ya jamii kutategemea uwekezaji wa mapato yanayotokana na rasilimali za mafuta na gesi.
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Adolf Mkenda amesema ili rasilimali hizo ziwe endelevu na zenye manufaa kwa watanzania ni lazima zibadilishwe na kuwekezwa katika mitaji mingine.
Katika mkutano wa wadau wa gasi na mafuta jijini Dar es salaam Adolf Mkenda Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha...
10 years ago
Mwananchi15 May
AU, mataifa yasaidie kuzima moto Burundi
10 years ago
Mtanzania22 Sep
Lowassa: Nitapitia mikataba ya gesi
NA FLORENCE SANAWA, MTWARA
MGOMBEA urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) chini ya mwamvuli wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa), Edward Lowassa, amesema kama akichaguliwa kuwa rais, ataunda tume ya kuchunguza na kushughulikia mikataba yote ya gesi.
Akihutubia mamia ya wananchi waliofurika kwenye viwanja vya Mashujaa mkoani Mtwara jana, Lowassa alisema kama wananchi wakimpa ridhaa ya kuongoza Tanzania, atakahakikisha wanapatikana wataalamu kutoka ndani na nje ya nchi...
5 years ago
Michuzi
HOTUBA YA WAZIRI WA ELIMU, SAYANSI NA TEKNOLOJIA YA MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI YA FEDHA KWA MWAKA 2020/21
