MAENDELEO: Gesi inaweza kuokoa elimu-Lowassa
>Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa amesema nchi inaweza kutumia rasilimali ya gesi iliyogunduliwa kupunguza kushuka kwa kiwango cha elimu.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Uhuru Newspaper22 Jul
Lowassa: Utajiri wa gesi uboreshe elimu
NA MWANDISHI WETU
MBUNGE wa Monduli, Edward Lowassa, amesema Tanzania inaweza kutumia utajiri mkubwa wa gesi iliyogunduliwa kwa ajili ya kuboresha sekta ya elimu.
Lowassa ambaye aliwahi kuwa Waziri Mkuu, aliyasema hayo jana wakati akitoa salamu katika Mkutano Mkuu wa 23 wa Kanisa la Kiinjili la Kirutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Mashariki Kati mjini Arusha.
Alisema utajiri wa gesi unaweza kutumika kuinusuru elimu kwa kuiboresha zaidi ili kuwakomboa vijana kuondokana na tatizo la...
11 years ago
Tanzania Daima23 Jul
Lowassa: Mapato ya gesi yasaidie elimu
WAZIRI Mkuu aliyejiuzulu, Edward Lowassa, amesema kuwa elimu hapa nchini iko hoi, kwamba unahitajika ushirikiano wa pamoja baina ya wadau pamoja na kutumia mapato ya gesi kuinusuru. Lowassa ameishauri serikali...
5 years ago
BBCSwahili16 Jun
Virusi vya corona: Dawa ya Dexamethasona inaweza kuokoa maisha ya walio katika hatari ya kufariki na Corona
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/--0lcQ_XVf-A/Uu-JO9AFS7I/AAAAAAAFKqo/_bIPbFmvVSU/s72-c/unnamed+(20).jpg)
Mawaziri wa Elimu Tanzania Bara na Zanzibar wakutana na waandishi wa habari kuelezea maendeleo ya Elimu
Mawaziri hao walikutana jana mjini Zanzibar na kuongea na waandishi wa habari kuhusu maendeleo...
9 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-ImhZSIXCWg8/Vin8E_D-I5I/AAAAAAAIB5E/yn6ba38lpx8/s72-c/pix%2B3.jpg)
ELIMU YA STADI ZA MAISHA KUOKOA KUNDI KUBWA LA VIJANA WALIO NJE YA SHULE
![](http://3.bp.blogspot.com/-ImhZSIXCWg8/Vin8E_D-I5I/AAAAAAAIB5E/yn6ba38lpx8/s640/pix%2B3.jpg)
Na: Genofeva Matemu - MaelezoILIGUNDULIKA kuwa ulimwenguni kote na hususan nchini Tanzania, Vijana walio nje ya shule ni miongoni mwa makundi yaliyo katika hatari ya magonjwa yanayoenea kwa njia ya ngono, VVU na UKIMWI kwa kutokuwa na taarifa na...
10 years ago
Dewji Blog08 May
World Lung Foundation yazindua mradi wa elimu kwa mtandao inayosaidia kuokoa maisha ya akina mama na watoto
Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Dk.Seif Rashid, akizindua mradi wa elimu kwa mtandao unaosaidia kuokoa maisha ya mama na mtoto ambao unaendeshwa na kusimamiwa na Shirika la World Lung Foundation (WLF) la hapa nchini, ambapo vituo vya Afya 13 vinanufaika na mradi huo.
Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Dk.Seif Rashid (wapili kulia), akipiga makofi mara baada ya kuzindua mradi wa elimu kwa mtandao unaosaidia kuokoa maisha ya mama na mtoto ambao unaendeshwa na kusimamiwa na Shirika la World...
11 years ago
Mwananchi30 Jan
Gesi iwe neema kwa maendeleo ya watanzania
11 years ago
Uhuru Newspaper01 Jul
Serikali yatakiwa kusimamia gesi kwa maendeleo ya taifa
NA MWANDISHI WETU
SERIKALI imeshauriwa kuwekeza mapato ya rasilimali zake hususan mafuta na gesi ili kuleta maendeleo endelevu kwa manufaa ya kizazi cha sasa na baadaye.
Vile vile imetakiwa kuhaikisha matumizi ya ndani kwenda sambamba na mapato hayo ikiwemo kuongeza tija katika matumizi ya sekta za umma katika ngazi zote.
Mkurugenzi wa kampuni ya Pan African Energy, Patrick Rutabanzibwa, alisema hayo jijini Dar es Salaam jana kwenye mkutano wa kujadili mikakati ya kuhakikisha rasilimali...
9 years ago
StarTV13 Nov
Uwekezaji wa mapato ya mafuta, gesi watakiwa maendeleo ya watanzania
Kuongezeka kwa uwezo wa kiuchumi wa kuzalisha na kuwahudumia watanzania katika sekta ya elimu, afya na maendeleo ya jamii kutategemea uwekezaji wa mapato yanayotokana na rasilimali za mafuta na gesi.
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Adolf Mkenda amesema ili rasilimali hizo ziwe endelevu na zenye manufaa kwa watanzania ni lazima zibadilishwe na kuwekezwa katika mitaji mingine.
Katika mkutano wa wadau wa gasi na mafuta jijini Dar es salaam Adolf Mkenda Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha...