Gesi iwe neema kwa maendeleo ya watanzania
kama ni mchezo wa mpira basi mwamuzi amepuliza filimbi kusitisha mchezo baada ya kuonekana upande wa timu pinzani kuwa na mtazamo sawa na upande wa timu wanayoshindana nayo.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog22 Dec
Watanzania washauriwa kuitumia neema ya gesi kupeleka hifadhi ya jamii kwa kila mtu
Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa,na Mwenyekiti wa mkutano mkubwa wa kimataifa wa hifadhi ya jamii ulioandaliwa na serikali ya Tanzania kupitia Wizara ya Fedha, Mh. Aggrey Mwanri, akiendesha shughuli za mkutano huo uliomalizika hivi karibuni katika kituo cha kimataifa cha mikutano cha Arusha (AICC).(Picha na Zainul Mzige wa modewjiblog).
Na Mwandishi wetu, Arusha
MTAALAMU mmoja wa masuala ya uchumi anayefanyakazi na Shirika la Maendeleo la Umoja wa...
10 years ago
Tanzania Daima30 Aug
‘Sera ya gesi iwe wazi kwa wananchi’
MWENYEKITI wa Chama cha Wananchi (CUF), Prof. Ibrahim Lipumba amewataka wajumbe kutoka taasisi mbalimbali kuwa wawazi kwa wananchi katika utungaji wa sera ya upatikanaji wa gesi asilia na petroli. Prof....
9 years ago
StarTV13 Nov
Uwekezaji wa mapato ya mafuta, gesi watakiwa maendeleo ya watanzania
Kuongezeka kwa uwezo wa kiuchumi wa kuzalisha na kuwahudumia watanzania katika sekta ya elimu, afya na maendeleo ya jamii kutategemea uwekezaji wa mapato yanayotokana na rasilimali za mafuta na gesi.
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Adolf Mkenda amesema ili rasilimali hizo ziwe endelevu na zenye manufaa kwa watanzania ni lazima zibadilishwe na kuwekezwa katika mitaji mingine.
Katika mkutano wa wadau wa gasi na mafuta jijini Dar es salaam Adolf Mkenda Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Fedha...
11 years ago
Tanzania Daima12 Feb
Vita ya CCM neema kwa Watanzania
HAKUNA ubishi. Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimeingiliwa au tuseme kuvamiwa na kansa mbaya. Hakuna kitu kinakitafuna chama hiki kama mdudu wa kupenda madaraka huku wanaoyatafuta wakiwatumia makada wa chama sehemu...
11 years ago
Uhuru Newspaper01 Jul
Serikali yatakiwa kusimamia gesi kwa maendeleo ya taifa
NA MWANDISHI WETU
SERIKALI imeshauriwa kuwekeza mapato ya rasilimali zake hususan mafuta na gesi ili kuleta maendeleo endelevu kwa manufaa ya kizazi cha sasa na baadaye.
Vile vile imetakiwa kuhaikisha matumizi ya ndani kwenda sambamba na mapato hayo ikiwemo kuongeza tija katika matumizi ya sekta za umma katika ngazi zote.
Mkurugenzi wa kampuni ya Pan African Energy, Patrick Rutabanzibwa, alisema hayo jijini Dar es Salaam jana kwenye mkutano wa kujadili mikakati ya kuhakikisha rasilimali...
9 years ago
Habarileo11 Oct
Neema ya gesi sasa ni dhahiri
RAIS Jakaya Kikwete jana alizindua miundombinu ya kuchakata na kusafirisha gesi asilia kutoka Mtwara na Songo Songo hadi Dar es Salaam kupitia Somanga.
9 years ago
Mwananchi24 Sep
Gesi asilia inavyofungua njia kwa Watanzania kuagana na umaskini
11 years ago
MichuziTimka na Boda Boda yaacha Neema kwa Watanzania
Meneja uhusiano wa Nje wa Vodacom Salum Mwalim akiongea na washindi wa promosheni ya Timka na bodaboda iliyomalizka hivi karibuni wakati wa hafla ya makabidhiano iliyofanyika Makako Mkauu ya Vodacom eneo la Mlimani City jijini Dar es...
11 years ago
MichuziWananchi wengi wanaamini kuwa gesi imeleta neema nchini Tanzania
Wananchi wanne kati ya watano wanaamini kuwa mafuta na gesi yatawanufaisha wao, watoto wao na nchi yao kwa ujumla. Wakati huo huo, wananchi wanne kati ya kumi (37%) wanaamini kuwa viongozi wa Serikali na matajiri ndio wataofaidika zaidi. Pia, zaidi ya nusu (55%) wangependa baadhi ya mapato ya mafuta na gesi wapewe wananchi moja kwa moja kama fedha taslimu.
Matokeo haya yametolewa na Twaweza katika muhtasari wa utafiti wenye jina la Kusimamia Maliasili: Wananchi wanasemaje? Utafiti huu...