Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Gesi asilia inavyofungua njia kwa Watanzania kuagana na umaskini

Kwa muda mrefu Tanzania imekuwa haina chanzo cha uhakika cha nishati ya umeme, jambo ambalo limekuwa likiirudisha nchi nyuma kimaendeleo.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Watanzania kunufaika zaidi na Gesi Asilia

·       Iwapo kutakuwepo ushirikishwaji wa wananchi·       Wataalamu nao watoa yao ya moyoni
KUTOKANA na kugundulika kwa hazina kubwa ya gesi nchini  ambayo inategemewa kukuza pato la taifa zaidi ya mara 15 ya sasa, kiasi cha kuiwezesha Tanzania kuwa miongoni mwa nchi zenye uchumi wa kati kufikia mwaka 2025.
Hata hivyo, dhana ya kwamba Rais ajaye baada ya uongozi wa Mheshimiwa Rais Jakaya Kikwete kumaliza muda wake, anaweza akaikuta Tanzania ikiwa ni nchi tajiri tayari kutokana na rasilimali...

 

10 years ago

Michuzi

Watanzania waishio Uholanzi wafurahia kukutana na kuagana na JK jijini the Hague

 Sehemu ya Watanzania lukuki waishio Uholanzi waliojitokeza kumuona na kumaga Rais Jakaya Mrisho Kikwete katika ukumbi wa hoteli ya Crowne Plaza jijini The Hague wakiwa na furaha kwa kupata fursa hiyo adimu Rais Kikwete akisalimiana na Watanzania lukuki waishio Uholanzi waliojitokeza kumuona na kumaga JK katika ukumbi wa hoteli ya Crowne Plaza jijini The Hague  Wakubwa kwa wadogo walikuwepo
 Hongera sana mkuu...Tutakumiss sana mhishimiwa....Kwa picha zaidi BOFYA HAPA

 

10 years ago

Habarileo

Bomba la gesi asilia litaokoa trilioni 1.6/-

MRADI wa ujenzi wa bomba la gesi asilia, utaleta manufaa makubwa kwa taifa na wananchi wake, ikiwemo utekelezaji wa Dira ya Maendeleo ya Taifa ya mwaka 2015 na utasaidia kuokoa Sh trilioni 1.6 kwa mwaka.

 

9 years ago

Michuzi

TPDC: Gesi asilia ipo na ziada

Mkurungezi wa Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania, Dkt. James Mataragio, amesema hali ya uzalishaji wa gesi asilia nchini ni nzuri, alieleza kuwa mitambo ya kuchakata gesi asilia kule Madimba Mkoani Mtwara na Songo Songo Mkoani Lindi inao uwezo wa kuzalisha futi za ujazo milioni 240 za gesi asilia, huku gesi anayo tumika ikiwa futi za ujazo milioni 146 za gesi asilia. 
Dk. Mataragio ameongeza kuwa mchanganuo huo wa uzalishaji wa gesi unazidi mahitaji yetu kwa sasa na hivyo...

 

10 years ago

Vijimambo

Wabunge wacharukia mikataba ya gesi asilia

Ni baada ya TPDC kugoma kuiwasilishaMwenyekiti wa PAC, Zitto Kabwe
Usiri katika mikataba 26 ya utafiti na uchimbaji wa gesi umezidi kuigubika nchi, baada ya menejimenti ya Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) kukaidi maagizo ya Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) na hivyo kuzua mvutano mkubwa kati yake na kamati hiyo kikaoni.

Maagizo hayo ambayo yalitolewa na PAC mwaka jana, yaliitaka menejimenti ya TPDC kuwasilisha taarifa ya mapitio ya mikataba hiyo pamoja na mikataba...

 

11 years ago

Mwananchi

Umeme gesi asilia sasa kutumika Desemba

Wizara ya Nishati na Madini inatarajia kuanza kutumia umeme wa gesi asilia kutoka kwenye moja ya mitambo yake iliyopo Kinyerezi jijini Dar es Salaam, ifikapo Desemba mwaka huu.

 

9 years ago

Habarileo

Lowassa: Nitaunda tume ya mikataba ya gesi asilia

MGOMBEA urais kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), anayeungwa mkono na vyama vya upinzani vinavyounda Ukawa, Edward Lowassa amewaahidi wakazi wa Mtwara kuwa endapo atachaguliwa kuwa rais, ataunda tume maalumu kuchunguza mikataba ya gesi asilia.

 

9 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE KUZINDUZUA MIUNDOMBINU YA GESI ASILIA MTWARA

 Mkurugenzi Mtendaji TPDC, Dkt. James Mataragio akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu uzinduzi wa miundombinu gesi asilia, Miundombinu hiyo inatarajiwa kuzinduliwa rasmi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete katika eneo la Madimba Mkoani Mtwara tarehe 10 Oktoba 2015. Sehemu ya Kiwanda cha kuchakata gesi asilia kilichopo eneo la Madimba Mkoani Mtwara, eneo ambalo uzinduzi rasmi unatarajia kufanyika tarehe 10 Oktoba 2015.Sehemu ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani