Watanzania kunufaika zaidi na Gesi Asilia
![](http://1.bp.blogspot.com/-FuyxV5Eh4jI/VT6gjrmldtI/AAAAAAAC3rg/E-Zyq7h5BoQ/s72-c/Dr%2BAbel%2BKinyondo%2B%26%2BInvited%2BExpert%2BInnocent%2BBash%2Bfrom%2BTEITI%2Baddressing%2Bthe%2Bmedia%2B.jpg)
· Iwapo kutakuwepo ushirikishwaji wa wananchi· Wataalamu nao watoa yao ya moyoni
KUTOKANA na kugundulika kwa hazina kubwa ya gesi nchini ambayo inategemewa kukuza pato la taifa zaidi ya mara 15 ya sasa, kiasi cha kuiwezesha Tanzania kuwa miongoni mwa nchi zenye uchumi wa kati kufikia mwaka 2025.
Hata hivyo, dhana ya kwamba Rais ajaye baada ya uongozi wa Mheshimiwa Rais Jakaya Kikwete kumaliza muda wake, anaweza akaikuta Tanzania ikiwa ni nchi tajiri tayari kutokana na rasilimali...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi24 Sep
Gesi asilia inavyofungua njia kwa Watanzania kuagana na umaskini
10 years ago
Vijimambo28 Oct
Wabunge wacharukia mikataba ya gesi asilia
![](http://www.ippmedia.com/media/picture/large/Zitto-Kabwe-October28-2014.jpg)
Usiri katika mikataba 26 ya utafiti na uchimbaji wa gesi umezidi kuigubika nchi, baada ya menejimenti ya Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) kukaidi maagizo ya Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) na hivyo kuzua mvutano mkubwa kati yake na kamati hiyo kikaoni.
Maagizo hayo ambayo yalitolewa na PAC mwaka jana, yaliitaka menejimenti ya TPDC kuwasilisha taarifa ya mapitio ya mikataba hiyo pamoja na mikataba...
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-VBVX8fvu9bU/VnACjuZo61I/AAAAAAAIMjg/5SLSef5wXyg/s72-c/0dd85f74-335b-451e-a793-8a1050952f29.jpeg)
TPDC: Gesi asilia ipo na ziada
Dk. Mataragio ameongeza kuwa mchanganuo huo wa uzalishaji wa gesi unazidi mahitaji yetu kwa sasa na hivyo...
10 years ago
Habarileo09 Jan
Bomba la gesi asilia litaokoa trilioni 1.6/-
MRADI wa ujenzi wa bomba la gesi asilia, utaleta manufaa makubwa kwa taifa na wananchi wake, ikiwemo utekelezaji wa Dira ya Maendeleo ya Taifa ya mwaka 2015 na utasaidia kuokoa Sh trilioni 1.6 kwa mwaka.
11 years ago
Mwananchi27 Mar
Umeme gesi asilia sasa kutumika Desemba
9 years ago
Habarileo22 Sep
Lowassa: Nitaunda tume ya mikataba ya gesi asilia
MGOMBEA urais kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), anayeungwa mkono na vyama vya upinzani vinavyounda Ukawa, Edward Lowassa amewaahidi wakazi wa Mtwara kuwa endapo atachaguliwa kuwa rais, ataunda tume maalumu kuchunguza mikataba ya gesi asilia.
10 years ago
Michuzi13 Oct
10 years ago
MichuziTPDC YAOMBA TOZO EWURA KUSAFIRISHA GESI ASILIA
GESI asilia ni bidhaa muhimu kwa maendeleo ya wananchi na uchumi wa nchi yeyote ikiwemo Tanzania.
Hayo yamesemwa leo na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mhe. Said Meck Sadick wakati wa ufunguzi wa taftishi juu ya maombi la Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) kuhusu mapendekezo ya tozo ya uchakataji na usafirishaji wa Gesi asilia uliofanyika.
Mhe. Sadick amesema kuwa, Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) ilipokea maombi ya Shirika la...
10 years ago
MichuziUMEME WA GESI ASILIA KUANZA KUTUMIKA HIVI KARIBUNI