Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UMEME WA GESI ASILIA KUANZA KUTUMIKA HIVI KARIBUNI

 Waziri wa nishati na madini George Simbachawene akiwa na wajumbe wa Tanesco akitembelea miradi ya umeme wa gesi alisilia iliyogunduliwa Mtwala, katika kituo lilichojengwa na Kampuni ya mafuta ya Tanzania Petrolium Development Corpolation (TPDC) hii ni sehemu iliyojengwa ni kituo kikubwa cha kutunzia gesi ya kutengenezea umeme katika kituo cha Kinyerezi jijini Dar es Salaam leo. Ikiwa mhandisi wa kituo hicho amesema kuwa kituo hicho kipo tarari kutoa gesi asilia kwa Tanesco ili iweze...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Umeme gesi asilia sasa kutumika Desemba

Wizara ya Nishati na Madini inatarajia kuanza kutumia umeme wa gesi asilia kutoka kwenye moja ya mitambo yake iliyopo Kinyerezi jijini Dar es Salaam, ifikapo Desemba mwaka huu.

 

9 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AZINDUA MRADI WA UMEME GESI ASILIA KINYEREZI

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe na kufunua kitambaa katika jiwe la msingi kuzindua rasmi mtambo wa kufua umeme kutokana na Gesi Asilia huko Kinyerezi jijini Dar es Salaam.Mradi huo umejengwa kwa gharama ya shilingi bilioni 400.Kushoto ni mwakilishi wa benki ya African Development Bank(ADB) Bi Tonia Kandiero na kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa TANESCO Bwana Felchesmi Mramba.Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akitembelea mradi wa kufua umeme kutokana na gesi asilia muda mfupi baada ya...

 

5 years ago

Michuzi

MGALU- VIWANDA VIPYA 50 KUNUFAINIKA NA HUDUMA YA NISHATI YA UMEME WA GESI ASILIA

Naibu Waziri wa Nishati Mh. Subira Mgalu akizungumza jambo kuhusiana na mikakati ya serikali ya awamu ya tano ya kuweka mipango ya kuunganisha nishati ya umeme wa gesi asilia katika viwanda vipya 50 wakati wa ziara ya Kamati ya kudumu ya bunge ya nishati na madini ambayo ilifanya ziara yake ya kikazi ya kutembelea baadhi ya viwanda vilivyopo katika Wilaya ya Mkuaranga.(Picha na Victor Masangu)Baadhi ya wabunge wanaounda kamati ya nishati na madini wakati wanaingia...

 

9 years ago

Michuzi

RELI YA KATI KUANZA KARABATIWA HIVI KARIBUNI

 Waziri wa Uchukuzi Samwel Sitta akizungumza na waandishi wa habari hawapo pichani juu ya kuchukua hatua kubwa kuanza  kufufua reli ya kati muda wowote, ujenzi wa reli hiyo utaanza ili kuongeza kasi ya maendeleo  hapa nchini leo Jiji Dar es Salaam.Waandishi wa habari walio hudhulia  katika mkutano na Waziri wa Uchukuzi Samwel Sitta, wakimsikiliza kwa makini. (Picha na Emmanuel Mssaka.
Na JenikisaNdile –Maelezo

SERIKALI  kwa kushirikiana na kampuni ya reli Asset holding imejizatiti kuimarisha...

 

9 years ago

Michuzi

Mfumo wa kisasa wa kibenki kuanza kufungwa Benki ya Walimu hivi karibuni

Harakati za kuanza rasmi kwa Benki ya Walimu Tanzania (Mwalimu Commercial Bank - MCB) zinapamba moto baada ya uongozi wa benki hiyo kufikia makubaliano ya huduma ya mfumo wa kiteknolojia wa kibenki kutoka kampuni ya Intrasoft International ya nchini Luxembourg. Makubaliano hayo yaliyofikiwa jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki yataiwezesha kampuni hiyo kuanza kufunga mfumo unaojulikana kama ‘Profits’ utakaotumika kwa shughuli mbalimbali za benki hiyo inayotarajiwa kuanza mwezi wa Tano...

 

9 years ago

Bongo5

Facebook kuanza majaribio ya button mpya ya ‘dislike’ hivi karibuni— asema Mark Zuckerberg

Mwanzilishi wa mtandao wa Facebook, Mark Zuckerberg amesema kuwa wanalifanyia kazi ombi la kuongeza button ya ‘dislike’ ambayo imekuwa ikiombwa na watumiaji wengi wa mtandao huo. Mark amesema kuwa muda si mrefu wataanza kuifanyia majaribio button hiyo; “Tumewasikia na tunaifanyia kazi na tutawaletea kitu kitakachokidhi mahitaji ya jamii kubwa. Watu wamekuwa wakiulizia kuhusu button ya […]

 

11 years ago

Michuzi

Najua wajua ya Capt. Gardiner G. Habash kuanza hivi karibuni ndani ya Michuzi TV - kaa chonjo

Hiki ni kipindi kingine tena kitachokujia hivi punde kupitia MICHUZI TV, kama ulivyoambiwa hapo. Usikonde. Show hii na nyingine nyingi za kusisimua utazipata kirahisi sana kiasi utashangaa. Kaa chonjo, mboga ipo jikoni - karibu itaiva. We kaa mkao wa kula tu...

 

10 years ago

Mwananchi

Umeme wa gesi kuanza mwezi ujao

Watanzania waliokuwa wakisubiri kwa hamu kuanza kutumia umeme utokanao na mradi wa gesi asilia wa Kinyerezi, sasa watahitajika kuvuta subira kidogo kutokana na uzalishaji wa nishati hiyo kusogezwa hadi katikati ya mwezi ujao.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani