Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Umeme wa gesi kuanza mwezi ujao

Watanzania waliokuwa wakisubiri kwa hamu kuanza kutumia umeme utokanao na mradi wa gesi asilia wa Kinyerezi, sasa watahitajika kuvuta subira kidogo kutokana na uzalishaji wa nishati hiyo kusogezwa hadi katikati ya mwezi ujao.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Umeme wa gesi sasa kuanza mwezi ujao

Waziri wa Nishati na Madini, George Simbachawene amesema umeme wa gesi utaanza kutumika mwezi ujao baada ya ujenzi wa bomba la kupitisha gesi hiyo kukamilika kwa asilimia 100.

 

9 years ago

Vijimambo

Flyover ya TAZARA kuanza kujengwa mwezi ujao

Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS), Mhandisi Patrick Mfugale (kulia) na Meneja Mkuu wa Kampuni ya SUMITOMO MITSUI, Bw. Ichiro Aok kutoka Japan wakiweka saini Mkataba wa kuanza ujenzi wa barabara ya juu (flyover) katika eneo la TAZARA.  SUMITOMO MITSUI ni kampuni iliyoshinda zabuni ya kujenga barabra hiyo, ambao ujenzi wake unatarajiwa kuanza mwezi Novemba 2015 na kukamilika katika kipindi cha miaka mitatu.  Wengine katika picha waliosimama watatu kutoka  kulia ni ...

 

11 years ago

Habarileo

Kituo kipya cha daladala Ubungo kuanza mwezi ujao

Meya wa Manispaa ya Kinondoni, Yusuph Mwenda KITUO kipya cha daladala kilichopo eneo la Migombani jirani na jengo la Mawasiliano kitakachochukua nafasi ya kituo cha Ubungo kinatarajiwa kuanza kutumika mwishoni mwa mwezi huu baada ya kukamilika kwa sehemu kubwa.

 

11 years ago

Michuzi

MCHAKATO WA MISS TANZANIA BEAUTY CONTEST USA 2014 KUANZA MWEZI UJAO

KWA MARA YA KWANZA MSHINDI  KWENDA KUIWAKILISHA USA KWENYE MASHINDANO YA REDD'S MISS TANZANIA  2014 - JIJINI DAR-ES-SALAAM MSHINDI WA 1,2,3 KILA KANDA KUJA DC KWENYE FINALS AMBAPO  MKURUGENZI NA MWAKILISHI WA MISS TANZANIA KUTOKA TANZANIA WATAKUWEPO KUTOA TAJI HILO. MSHIRIKI LAZIMA AWE NA MAKARATASI YA KUSAFIRIA  VENUES & REGISTRATION -DROPPING NEXT   MAELEZO-TUANDIKIE ## MISSTANZANIA2014@GMAIL.COM

 

11 years ago

GPL

MCHAKATO WA MISS TANZANIA BEAUTY CONTEST USA 2014 SASA KUANZA MWEZI UJAO !‏


KWA MARA YA KWANZA MSHINDI  KWENDA KUIWAKILISHA USA KWENYE MASHINDANO YA REDD'S MISS TANZANIA  2014 - JIJINI DAR-ES-SALAAM. MSHINDI WA 1,2,3 KILA KANDA KUJA DC KWENYE FINALS AMBAPO  MKURUGENZI NA MWAKILISHI WA MISS TANZANIA KUTOKA TANZANIA WATAKUWEPO KUTOA TAJI HILO. MSHIRIKI LAZIMA AWE NA MAKARATASI YA KUSAFIRIA  VENUES & REGISTRATION -DROPPING NEXT  … ...

 

10 years ago

GPL

WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI KUANZA ZOEZI LA KUHAKIKI VYAMA VYA KIJAMII HAPA NCHINI MWEZI UJAO

Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi kuanzia mwezi ujao, Oktoba 2014, itaanza zoezi la kuvihakiki Vyama vya Kijamii hapa nchini. Pamoja na mambo mengine, zoezi hili linalenga kuvifuta kutoka katika daftari la Msajili vya Vyama vya Kijamii vyama ambavyo vitabainika kuwa havina sifa tena ya  kuendelea kuwa katika daftari hilo.
Vigezo ambavyo vinaweza kusababisha chama kufutwa kutoka katika Daftari la Msajili wa Vyamavya Kijamii ni...

 

10 years ago

Michuzi

NEWS ALERT: WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI KUANZA ZOEZI LA KUHAKIKI VYAMA VYA KIJAMII HAPA NCHINI MWEZI UJAO

Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi kuanzia mwezi ujao, Oktoba 2014, itaanza zoezi la kuvihakiki Vyama vya Kijamii hapa nchini.


Pamoja na mambo mengine, zoezi hili linalenga kuvifuta kutoka katika daftari la Msajili vya Vyama vya Kijamii vyama ambavyo vitabainika kuwa havina sifa tena ya  kuendelea kuwa katika daftari hilo.


Vigezo ambavyo vinaweza kusababisha chama kufutwa kutoka katika Daftari la Msajili wa Vyama vya Kijamii ni pamoja na kutolipa ada za mwaka kwa wakati na kutowasilisha kwa...

 

10 years ago

Michuzi

UMEME WA GESI ASILIA KUANZA KUTUMIKA HIVI KARIBUNI

 Waziri wa nishati na madini George Simbachawene akiwa na wajumbe wa Tanesco akitembelea miradi ya umeme wa gesi alisilia iliyogunduliwa Mtwala, katika kituo lilichojengwa na Kampuni ya mafuta ya Tanzania Petrolium Development Corpolation (TPDC) hii ni sehemu iliyojengwa ni kituo kikubwa cha kutunzia gesi ya kutengenezea umeme katika kituo cha Kinyerezi jijini Dar es Salaam leo. Ikiwa mhandisi wa kituo hicho amesema kuwa kituo hicho kipo tarari kutoa gesi asilia kwa Tanesco ili iweze...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani