Umeme wa gesi sasa kuanza mwezi ujao
Waziri wa Nishati na Madini, George Simbachawene amesema umeme wa gesi utaanza kutumika mwezi ujao baada ya ujenzi wa bomba la kupitisha gesi hiyo kukamilika kwa asilimia 100.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi07 Jan
Umeme wa gesi kuanza mwezi ujao
Watanzania waliokuwa wakisubiri kwa hamu kuanza kutumia umeme utokanao na mradi wa gesi asilia wa Kinyerezi, sasa watahitajika kuvuta subira kidogo kutokana na uzalishaji wa nishati hiyo kusogezwa hadi katikati ya mwezi ujao.
11 years ago
GPL![](http://1.bp.blogspot.com/-GvSu1e3kITI/Uv-9NuTQ1NI/AAAAAAAAM5k/x-IZL_dQO2E/s1600/missTanzania.png)
MCHAKATO WA MISS TANZANIA BEAUTY CONTEST USA 2014 SASA KUANZA MWEZI UJAO !
KWA MARA YA KWANZA MSHINDI  KWENDA KUIWAKILISHA USA KWENYE MASHINDANO YA REDD'S MISS TANZANIA  2014 - JIJINI DAR-ES-SALAAM. MSHINDI WA 1,2,3 KILA KANDA KUJA DC KWENYE FINALS AMBAPO MKURUGENZI NA MWAKILISHI WA MISS TANZANIA KUTOKA TANZANIA WATAKUWEPO KUTOA TAJI HILO. MSHIRIKI LAZIMA AWE NA MAKARATASI YA KUSAFIRIA VENUES & REGISTRATION -DROPPING NEXT  … ...
9 years ago
VijimamboFlyover ya TAZARA kuanza kujengwa mwezi ujao
11 years ago
Habarileo16 Feb
Kituo kipya cha daladala Ubungo kuanza mwezi ujao
KITUO kipya cha daladala kilichopo eneo la Migombani jirani na jengo la Mawasiliano kitakachochukua nafasi ya kituo cha Ubungo kinatarajiwa kuanza kutumika mwishoni mwa mwezi huu baada ya kukamilika kwa sehemu kubwa.
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-GvSu1e3kITI/Uv-9NuTQ1NI/AAAAAAAAM5k/x-IZL_dQO2E/s72-c/missTanzania.png)
MCHAKATO WA MISS TANZANIA BEAUTY CONTEST USA 2014 KUANZA MWEZI UJAO
![](http://1.bp.blogspot.com/-GvSu1e3kITI/Uv-9NuTQ1NI/AAAAAAAAM5k/x-IZL_dQO2E/s1600/missTanzania.png)
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/YkTQKvQouupBItq8xL1dee-eJAHvWR2VuigwFnH2qFt8SXIkbae1FQYj2LitHd5JWfthKLxzul83kInvLWQ6y8N6bShvDhg5/Coat_of_arms_of_Tanzania.svg.png?width=650)
WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI KUANZA ZOEZI LA KUHAKIKI VYAMA VYA KIJAMII HAPA NCHINI MWEZI UJAO
Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi kuanzia mwezi ujao, Oktoba 2014, itaanza zoezi la kuvihakiki Vyama vya Kijamii hapa nchini. Pamoja na mambo mengine, zoezi hili linalenga kuvifuta kutoka katika daftari la Msajili vya Vyama vya Kijamii vyama ambavyo vitabainika kuwa havina sifa tena ya kuendelea kuwa katika daftari hilo.
Vigezo ambavyo vinaweza kusababisha chama kufutwa kutoka katika Daftari la Msajili wa Vyamavya Kijamii ni...
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-82roOvJjwwY/VBZo388HrTI/AAAAAAAGjoU/xQ_zWOGHXs4/s72-c/Coat_of_arms_of_Tanzania.svg.png)
NEWS ALERT: WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI KUANZA ZOEZI LA KUHAKIKI VYAMA VYA KIJAMII HAPA NCHINI MWEZI UJAO
![](http://3.bp.blogspot.com/-82roOvJjwwY/VBZo388HrTI/AAAAAAAGjoU/xQ_zWOGHXs4/s1600/Coat_of_arms_of_Tanzania.svg.png)
Pamoja na mambo mengine, zoezi hili linalenga kuvifuta kutoka katika daftari la Msajili vya Vyama vya Kijamii vyama ambavyo vitabainika kuwa havina sifa tena ya kuendelea kuwa katika daftari hilo.
Vigezo ambavyo vinaweza kusababisha chama kufutwa kutoka katika Daftari la Msajili wa Vyama vya Kijamii ni pamoja na kutolipa ada za mwaka kwa wakati na kutowasilisha kwa...
10 years ago
MichuziUMEME WA GESI ASILIA KUANZA KUTUMIKA HIVI KARIBUNI
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania