Lowassa: Utajiri wa gesi uboreshe elimu
NA MWANDISHI WETU
MBUNGE wa Monduli, Edward Lowassa, amesema Tanzania inaweza kutumia utajiri mkubwa wa gesi iliyogunduliwa kwa ajili ya kuboresha sekta ya elimu.
Lowassa ambaye aliwahi kuwa Waziri Mkuu, aliyasema hayo jana wakati akitoa salamu katika Mkutano Mkuu wa 23 wa Kanisa la Kiinjili la Kirutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Mashariki Kati mjini Arusha.
Alisema utajiri wa gesi unaweza kutumika kuinusuru elimu kwa kuiboresha zaidi ili kuwakomboa vijana kuondokana na tatizo la...
Uhuru Newspaper
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima23 Jul
Lowassa: Mapato ya gesi yasaidie elimu
WAZIRI Mkuu aliyejiuzulu, Edward Lowassa, amesema kuwa elimu hapa nchini iko hoi, kwamba unahitajika ushirikiano wa pamoja baina ya wadau pamoja na kutumia mapato ya gesi kuinusuru. Lowassa ameishauri serikali...
11 years ago
Mwananchi23 Jul
MAENDELEO: Gesi inaweza kuokoa elimu-Lowassa
11 years ago
Habarileo08 Jul
Majirani kushiriki utajiri wa gesi
UTAFITI zaidi wa mafuta na gesi unaoendelea nchini, unaweza kuilazimu nchi kuingia katika makubaliano ya uzalishaji wa pamoja wa sehemu ya nishati hiyo na nchi za jirani. Taarifa ya Hali ya Uchumi wa Taifa iliyowekwa hivi karibuni katika Tovuti ya Ofisi ya Takwimu ya Taifa, imefafanua kwa undani historia ya mafanikio ya sekta hiyo muhimu kwa maisha ya kiuchumi ya Watanzania na uwezekano huo katika siku za hivi karibuni. Kwa mujibu wa taarifa hiyo, kuna baadhi ya miamba inayozalisha gesi...
10 years ago
Habarileo03 Oct
‘Mipango mizuri utajiri wa gesi utaepusha na laana’
WATANZANIA wameshauriwa kuweka mipango mizuri ili kuhakikisha kwamba rasilimali ya gesi iliyogunduliwa nchini inakuwa yenye manufaa kwa taifa badala ya laana kama ilivyotokea katika baadhi ya nchi barani Afrika.
10 years ago
Habarileo04 Oct
‘Mipango madhubuti utajiri wa gesi utaepusha laana zake’
WATANZANIA wameshauriwa kuweka mipango mizuri ili kuhakikisha kwamba rasilimali ya gesi iliyogunduliwa nchini inakuwa yenye manufaa kwa taifa badala ya laana kama ilivyotokea katika baadhi ya nchi barani Afrika.
11 years ago
Mwananchi11 Feb
Wadau: Utajiri wa lugha ya Kiswahili ni zaidi ya gesi na madini
11 years ago
Mwananchi02 Jul
Lowassa aweka wazi utajiri wake
10 years ago
MichuziViongozi acheni kuuza utajiri na kununua umasikini - Mh. Lowassa
Akifungua semina ya siku mbili ya juu ya maswala ya ardhi kwenye ukumbi wa hoteli ya Emanyata mjini Monduli,Mh. Lowassa amesema shutuma hizo zimekuwa nyingi kwa viongozi hao kwa kuuza utajiri (ardhi) na kununua umasikini.
"Walikuja pale...
11 years ago
Mwananchi25 Apr
Utalii Mikindani umo ndani utajiri wa gesi Mikindani