Viongozi acheni kuuza utajiri na kununua umasikini - Mh. Lowassa
Waziri Mkuu wa Mstaafu na Mbunge wa Monduli,Mh. Edward Lowassa amewanyooshea vidole viongozi wa kimila wa kabila la wamasai (malaigwanani),viongozi wa vijiji na wale wa CCM wilayani humo, kuwa wanalaumiwa kwa kushiriki katika uuzaji ardhi kinyume na sheria.
Akifungua semina ya siku mbili ya juu ya maswala ya ardhi kwenye ukumbi wa hoteli ya Emanyata mjini Monduli,Mh. Lowassa amesema shutuma hizo zimekuwa nyingi kwa viongozi hao kwa kuuza utajiri (ardhi) na kununua umasikini.
"Walikuja pale...
Michuzi
Habari Zinazoendana
12 years ago
BBCSwahili11 Aug
Umasikini ndani ya utajiri Kiambu
10 years ago
Mwananchi29 Sep
TBS: Wananchi acheni kununua nguo mitumba
10 years ago
Mwananchi25 Jun
Pinda anatafuta utajiri kwa kuuza embe, wewe unafanya nini? — (1)
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-gtauucLz9Ks/VKJWWj29IdI/AAAAAAAG6jk/0hkbgehM7NA/s72-c/images.jpg)
UNATAKA AU UMEFUNGUA KAMPUNI, JE WAJUA NAMNA YA KUNUNUA, KUUZA HISA
![](http://3.bp.blogspot.com/-gtauucLz9Ks/VKJWWj29IdI/AAAAAAAG6jk/0hkbgehM7NA/s1600/images.jpg)
Na Bashir YakubKatika adhima ya ya mwendelezo wa makala za namna ya kuendesha kampuni leo tena tuangalie kuhusu hisa na hasa namna ya kuhamisha hisa.
HISA NININI.Kwa maana ambayo inaweza kueleweka kwa wepesi zaidi ni kusema kuwa hisa ni aina ya maslahi ya mtu ya katika kampuni.Natumia neno aina kwakuwa maslahi katika kampuni ni mengi si hisa tu isipokuwa hisa ni mojawapo ya maslahi. Hivyo kile ambacho mtu anamiliki katika kampuni ndio hisa zake. Hisa hutofautiana kutokana na uwezo wa...
10 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/Ej0P31VEbKk/default.jpg)
10 years ago
Michuzi29 Dec
MAKALA SHERIA: UNATAKA AU UMEFUNGUA KAMPUNI, JE WAJUA NAMNA YA KUNUNUA, KUUZA HISA
HISA NININI.Kwa maana ambayo inaweza kueleweka kwa wepesi zaidi ni kusema kuwa hisa ni aina ya maslahi ya mtu ya katika kampuni.Natumia neno aina kwakuwa maslahi katika kampuni ni mengi si hisa tu isipokuwa hisa ni mojawapo ya maslahi. Hivyo kile ambacho mtu anamiliki katika kampuni ndio hisa zake. Hisa hutofautiana kutokana na uwezo wa...
10 years ago
Mtanzania11 Aug
Lowassa: Serikali ya JK imeongeza umasikini
NA WAANDISHI WETU, DAR ES SALAAM
MGOMBEA urais wa Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, ameanza kuishambulia Serikali ya awamu ya nne kwa kushindwa kuinua uchumi.
Akizungumza mbele ya maelfu ya wananchi waliofurika Makao Makuu ya Chadema, muda mfupi baada ya kutoka kuchukua fomu ya uteuzi katika ofisi ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Lowassa alisema Rais Jakaya Kikwete, aliyemuita rafiki yake,...
11 years ago
Mwananchi02 Jul
Lowassa aweka wazi utajiri wake
11 years ago
Uhuru Newspaper22 Jul
Lowassa: Utajiri wa gesi uboreshe elimu
NA MWANDISHI WETU
MBUNGE wa Monduli, Edward Lowassa, amesema Tanzania inaweza kutumia utajiri mkubwa wa gesi iliyogunduliwa kwa ajili ya kuboresha sekta ya elimu.
Lowassa ambaye aliwahi kuwa Waziri Mkuu, aliyasema hayo jana wakati akitoa salamu katika Mkutano Mkuu wa 23 wa Kanisa la Kiinjili la Kirutheri Tanzania (KKKT), Dayosisi ya Mashariki Kati mjini Arusha.
Alisema utajiri wa gesi unaweza kutumika kuinusuru elimu kwa kuiboresha zaidi ili kuwakomboa vijana kuondokana na tatizo la...