Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kampuni ya Kaimu yawezesha wananchi kununua na kuuza vitu mtandaoni Tanzania

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

UNATAKA AU UMEFUNGUA KAMPUNI, JE WAJUA NAMNA YA KUNUNUA, KUUZA HISA


Na  Bashir  Yakub

Katika adhima ya  ya mwendelezo wa makala za namna ya kuendesha kampuni leo tena tuangalie  kuhusu hisa na hasa namna ya kuhamisha hisa.
HISA NININI.

Kwa maana ambayo inaweza kueleweka kwa wepesi zaidi  ni kusema kuwa hisa  ni aina ya maslahi ya mtu ya katika kampuni.Natumia neno aina kwakuwa maslahi katika kampuni ni mengi si hisa tu isipokuwa hisa ni mojawapo ya maslahi. Hivyo kile ambacho mtu anamiliki katika kampuni  ndio hisa zake. Hisa hutofautiana kutokana na uwezo wa...

 

10 years ago

Michuzi

MAKALA SHERIA: UNATAKA AU UMEFUNGUA KAMPUNI, JE WAJUA NAMNA YA KUNUNUA, KUUZA HISA

Na  Bashir  YakubKatika adhima ya  ya mwendelezo wa makala za namna ya kuendesha kampuni leo tena tuangalie  kuhusu hisa na hasa namna ya kuhamisha hisa. 
HISA NININI.Kwa maana ambayo inaweza kueleweka kwa wepesi zaidi  ni kusema kuwa hisa  ni aina ya maslahi ya mtu ya katika kampuni.Natumia neno aina kwakuwa maslahi katika kampuni ni mengi si hisa tu isipokuwa hisa ni mojawapo ya maslahi. Hivyo kile ambacho mtu anamiliki katika kampuni  ndio hisa zake. Hisa hutofautiana kutokana na uwezo wa...

 

10 years ago

Habarileo

Wananchi waunga mkono kampuni kununua kahawa

WANANCHI wa Wilaya wa Ngara, mkoani Kagera wameiomba Serikali kuendelea kuunga mkono juhudi zinazofanywa na Kampuni ya Arab Globe International wilayani humo, kununua na kusindika kahawa ya unga kwani imekuwa msaada mkubwa kwao.

 

10 years ago

Mtanzania

Jamii yaaswa kununua bidhaa mtandaoni

Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam
JAMII imetakiwa kuendelea kuwa na imani na wafanyabiashara wanaouza bidhaa kupitia mitandao kwa kuwa ni moja ya njia rahisi ya kuwafikia wateja waliokuwa katika maeneo mbalimbali.
Akizungumza Dar es Salaam jana katika warsha ya wauzaji wa magari kutoka Tanzania Bara na Zanzibar, Meneja wa Masoko wa Mtandao wa Cheki kuwakutanisha wafanyabiashara wa magari Tanzania, Mori Bencus, alisema wananchi wana tatizo kubwa la kutowaamini wafanyabiashara wa mitandao na...

 

10 years ago

Bongo5

Makampuni ya simu Tanzania kuanza kuuza hisa kwa wananchi mwakani

Tanzania inatarajia kuanza kuona makampuni ya simu yakiweka hisa zake kwenye soko la hisa kupitia sheria ya lazima inayolenga kuwasaidia wananchi wake kumiliki sehemu ya moja viwanda vinavyokua kwa kasi zaidi barani Afrika. Naibu waziri wa mawasiliano, sayansi na teknolojia, January Makamba yupo kwenye hatua za mwisho ya kuhakikisha makampuni ya simu yanaweka hisa zake […]

 

10 years ago

Michuzi

Viongozi acheni kuuza utajiri na kununua umasikini - Mh. Lowassa

 Waziri Mkuu wa Mstaafu na Mbunge wa Monduli,Mh. Edward Lowassa amewanyooshea vidole viongozi wa kimila wa kabila la wamasai (malaigwanani),viongozi wa vijiji na wale wa CCM wilayani humo, kuwa wanalaumiwa kwa kushiriki katika uuzaji ardhi kinyume na sheria.
 Akifungua semina ya siku mbili ya juu ya maswala ya ardhi kwenye ukumbi wa hoteli ya Emanyata mjini Monduli,Mh. Lowassa amesema  shutuma hizo zimekuwa nyingi kwa viongozi hao kwa kuuza utajiri (ardhi) na kununua umasikini.
"Walikuja pale...

 

9 years ago

BBCSwahili

Mwanamke anayedaiwa kuuza mtoto mtandaoni ashtakiwa

Mwanamke mmoja mwenye umri wa miaka 20 nchini Afrika Kusini amefikishwa mahakamani leo akidaiwa kujaribu kumuuza mwanawe.

 

10 years ago

Bongo5

Weusi kuuza album yao mtandaoni kukwepa maharamia

Licha ya kukithiri kwa tatizo la wizi wa kazi za sanaa Tanzania, kundi la muziki la Weusi lina mpango wa kuuza album yao kwa njia ya watu kudownload mtandaoni. Msemaji wa kundi hilo, rapper Nikki Wa Pili amesema kuwa wanaamini kwamba hiyo ni njia itakayowapunguza nguvu maharamia wa kazi za wasanii. “Plan yetu ni kuweka […]

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani