Wananchi waunga mkono kampuni kununua kahawa
WANANCHI wa Wilaya wa Ngara, mkoani Kagera wameiomba Serikali kuendelea kuunga mkono juhudi zinazofanywa na Kampuni ya Arab Globe International wilayani humo, kununua na kusindika kahawa ya unga kwani imekuwa msaada mkubwa kwao.
habarileo
Habari Zinazoendana
9 years ago
Habarileo02 Dec
Waunga mkono fedha za maadhimisho kununua dawa
TAASISI ya Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam inayotoa huduma za kichungaji kwa watu wanaoishi na virusi vya Ukimwi (Pasada), imeunga mkono agizo lililotolewa na Rais John Magufuli la kutaka fedha zilizotengwa kwa ajili ya maadhimisho ya Siku ya Ukimwi kuelekezwa kununua dawa kwa ajili ya waathirika wa ukimwi na vitendanishi.
10 years ago
Vijimambo07 Oct
Wananchi waunga mkono ushirikiano wa Jumuiya ya Afrika Mashariki
uwezo wa kusafiri ndani ya kanda kwa kitambulisho cha taifa
miundombinu ya pamoja na uhuru wa kufanya kazi popote ndani ya Jumuiya.
Oktoba 7, 2014, Dar es Salaam: Wananchi wanane kati ya kumi (80%) wanafikiri kuwa Tanzania inapaswa kubakia ndani ya Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC). Aidha,wananchi tisa kati ya kumi (85%) wanakubali uwepo wa ushirikiano mkubwa zaidi na Kenya na Uganda. Wananchi sita kati ya kumi pia wanauunga mkono upanuzi...
11 years ago
Michuzi17 Mar
Wananchi Rukwa Waunga mkono Serikali Kutenga Bajeti Maalum Kukabiliana Vifo vya Uzazi
![Daktari Mkuu wa Mkoa wa Rukwa, John William Gurisha akitoa takwimu za afya ya Uzazi Mkoani Rukwa katika maadhimisho hayo.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/03/Daktari-Mkuu-wa-Mkoa-wa-Rukwa-Ndg-John-Wiliam-Gurisha-akitoa-takwimu-za-afya-ya-Uzazi-Mkoani-Rukwa.jpg)
![Washiriki anuai kutoka Mkoa wa Rukwa wakiwa katika picha za matukio.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/03/IMG_4189.jpg)
![Baadhi ya washiriki wa sherehe za maadhimisho hayo ya siku ya Utepe Mweupe.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/03/IMG_4157.jpg)
![Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Evidence for Action Tanzania, Craig John Ferla, kupitia kampeni ya Mama Ye akichangia damu.Zaidi ya chupa 970 za damu zilipatikana katika maadhimisho ya wiki ya utepe mweupe.](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/03/Craig-John-Ferla-Mkurugenzi-Mkaazizi-wa-Shirika-la-Evidence-for-Action-Tanzania-kupitia-Kampeni-ya-Mama-Ye-akichangia-damu.Zaidi-ya-chupa-970-za-damu-zilipatikana-katika-maadhimisho-ya-wiki-ya-utepe-mweupe.jpg)
Zaidi ya chupa 970 za damu zilipatikana katika maadhimisho ya wiki ya utepe mweupe.[/caption] ZAIDI ya...
11 years ago
GPL![](http://www.thehabari.com/wp-content/uploads/2014/03/Daktari-Mkuu-wa-Mkoa-wa-Rukwa-Ndg-John-Wiliam-Gurisha-akitoa-takwimu-za-afya-ya-Uzazi-Mkoani-Rukwa.jpg)
WANANCHI RUKWA WAUNGA MKONO SERIKALI KUTENGA BAJETI MAALUM KUKABILIANA NA VIFO VYA UZAZI
10 years ago
Michuzi![](http://img.youtube.com/vi/Ej0P31VEbKk/default.jpg)
10 years ago
Habarileo11 May
UN waunga mkono kazi ya Kikwete
JUMUIYA ya Kimataifa katika makao makuu ya Umoja wa Mataifa (UN) jijini hapa, imeelezea msimamo wake thabiti wa kuunga mkono kwa dhati na kwa kila hali kazi na jukumu ya Jopo la Watu Mashuhuri Duniani la Kukabiliana na Majanga Duniani linaloongozwa na Rais Jakaya Kikwete.
9 years ago
Mwananchi23 Dec
Uruwa waunga mkono juhudi za Dk Magufuli
9 years ago
Global Publishers19 Dec
Wanyarwanda Waunga Mkono Mabadiliko ya Katiba
Rais wa Rwanda, Paul Kagame.
Wanyarwanda wameunga mkono kwa wingi marekebisho ya katiba ambayo yatamruhusu Rais Paul Kagame kuendelea kuongoza, matokeo ya awali ya kura ya maoni ya mabadiliko ya katiba iliyopigwa jana nchini humo yanaonesha hivyo.
Raia akipiga kura.
Kwa mujibu wa taarifa ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi nchini Rwanda inasema, asilimia 98 ya wapiga kura wameunga mkono marekebisho hayo ya katiba ambayo yatamruhusu Rais Paul Kagame kuwania kwa muhula mwingine mwaka 2017, baada yake...
10 years ago
BBCSwahili03 Jun
Wadhamini waunga mkono hatua ya Blatter