Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wananchi waunga mkono ushirikiano wa Jumuiya ya Afrika Mashariki

Wengi wamependelea visa ya pekee ya utalii
uwezo wa kusafiri ndani ya kanda kwa kitambulisho cha taifa
miundombinu ya pamoja na uhuru wa kufanya kazi popote ndani ya Jumuiya.
Oktoba 7, 2014, Dar es Salaam: Wananchi wanane kati ya kumi (80%) wanafikiri kuwa Tanzania inapaswa kubakia ndani ya Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC). Aidha,wananchi tisa kati ya kumi (85%) wanakubali uwepo wa ushirikiano mkubwa zaidi na Kenya na Uganda. Wananchi sita kati ya kumi pia wanauunga mkono upanuzi...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Wananchi waunga mkono kampuni kununua kahawa

WANANCHI wa Wilaya wa Ngara, mkoani Kagera wameiomba Serikali kuendelea kuunga mkono juhudi zinazofanywa na Kampuni ya Arab Globe International wilayani humo, kununua na kusindika kahawa ya unga kwani imekuwa msaada mkubwa kwao.

 

11 years ago

Michuzi

Wananchi Rukwa Waunga mkono Serikali Kutenga Bajeti Maalum Kukabiliana Vifo vya Uzazi

Daktari Mkuu wa Mkoa wa Rukwa, John William Gurisha akitoa takwimu za afya ya Uzazi Mkoani Rukwa katika maadhimisho hayo. Daktari Mkuu wa Mkoa wa Rukwa, John William Gurisha akitoa takwimu za afya ya Uzazi Mkoani Rukwa katika maadhimisho hayo.Washiriki anuai kutoka Mkoa wa Rukwa wakiwa katika picha za matukio. Washiriki anuai kutoka Mkoa wa Rukwa wakiwa katika picha za matukio.Baadhi ya washiriki wa sherehe za maadhimisho hayo ya siku ya Utepe Mweupe. Baadhi ya washiriki wa sherehe za maadhimisho hayo ya siku ya Utepe MweupeMkurugenzi Mkazi wa Shirika la Evidence for Action Tanzania, Craig John Ferla, kupitia kampeni ya Mama Ye akichangia damu.Zaidi ya chupa 970 za damu zilipatikana katika maadhimisho ya wiki ya utepe mweupe. Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la Evidence for Action Tanzania, Craig John Ferla, kupitia kampeni ya Mama Ye akichangia damu.
Zaidi ya chupa 970 za damu zilipatikana katika maadhimisho ya wiki ya utepe mweupe.[/caption] ZAIDI ya...

 

11 years ago

GPL

WANANCHI RUKWA WAUNGA MKONO SERIKALI KUTENGA BAJETI MAALUM KUKABILIANA NA VIFO VYA UZAZI‏

Daktari Mkuu wa Mkoa wa Rukwa, John William Gurisha akitoa takwimu za afya ya uzazi Mkoani Rukwa katika maadhimisho hayo. Washiriki anuai kutoka Mkoa wa Rukwa wakiwa katika picha za matukio. Baadhi ya washiriki wa sherehe za maadhimisho hayo ya siku ya Utepe…

 

11 years ago

BBCSwahili

Uhuru ahimiza ushirikiano Afrika Mashariki

Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya amesisitiza ushirikiano wa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki kama njia ya ukombozi wa kiuchumi

 

11 years ago

Michuzi

SALAMU ZA POLE WIZARA YA USHIRIKIANO WA AFRIKA MASHARIKI

Uongozi na Wafanyakazi wa Wizara ya Ushirikiano wa Afrika Mashariki unatoa pole kwa Katibu Mkuu wake Bi. Joyce K.G. Mapunjokufuatia kifo cha Mume wake Profesa Zakaria Mmbwambo (58) kilichotokea Jumamosi tarehe 19 Julai 2014, Dar es Salaam.Wizara inaungana na ndugu, jamaa na marafiki katika kuipa mkono wa pole familia ya Profesa Mmbwambo katika kipindi hiki kigumu.

Mungu ailaze roho ya Marehemu mahala pema peponi. Bwana ametoa, Bwana ametwaa Jina la Bwana lihimidiwe


Imetolewa na Wizara ya...

 

10 years ago

Michuzi

NAFASI ZA KAZI SEKRETARIETI YA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI

Habari,
Nawatumia nafasi 13 za ajira mbalimbali zilizotangazwa na Sekretarieti ya Jumuiya ya Afrika Mashari. Mjulishe ndugu, jamaa, au rafiki ili anufaike na fursa hizi. Kwa taarifa na maelekezo zaidi tafadhali tembelea http://www.eac.int/index.php?option=com_docman&Itemid=186

 

10 years ago

Michuzi

JK akabidhiwa rasmi Uenyekiti wa Jumuiya ya Afrika mashariki

Tanzania inaunga mkono kwa dhati Ushirikiano wa Kikanda na muumini mkubwa wa Umoja wa Africa na Ushirikiano wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC).  Rais Jakaya Mrisho Kikwete amesema hayo  jijini Nairobi mara baada ya kukabidhiwa uenyekiti wa EAC na Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya ambaye amekua mwenyekiti wa Jumuiya hiyo kwa kipindi cha mwaka mmoja uliopita "Tunaamini kwamba Jumuiya ya Afrika Mashariki iliyogawanyika, haitaweza kuchukua nafasi yake kamili na heshima katika familia ya Mataifa...

 

10 years ago

Michuzi

Tanzania Kuchukua Uenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki

Katibu Mkuu wa Wizara ya Ushirikiano wa
Afrika Mashariki Bi. Joyce Mapunjo Mkutano wa 16 wa Wakuu wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki utafanyika Tarehe 30 Novemba, 2014 Nairobi, Kenya. Kwa mujibu wa Mkakaba Mkutano huu utatanguliwa na Mkutano wa Baraza la Mawaziri la Jumuiya ya Afrika Mashariki utakaofanyika Tarehe 20 – 27 Novemba, 2014 katika  ngazi ya Wataalam, Makatibu Wakuu na Mawaziri. Aidha, katika Mkutano wa Wakuu wa Nchi, Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inatarajiwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani