Wanyarwanda Waunga Mkono Mabadiliko ya Katiba
Rais wa Rwanda, Paul Kagame.
Wanyarwanda wameunga mkono kwa wingi marekebisho ya katiba ambayo yatamruhusu Rais Paul Kagame kuendelea kuongoza, matokeo ya awali ya kura ya maoni ya mabadiliko ya katiba iliyopigwa jana nchini humo yanaonesha hivyo.
Raia akipiga kura.
Kwa mujibu wa taarifa ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi nchini Rwanda inasema, asilimia 98 ya wapiga kura wameunga mkono marekebisho hayo ya katiba ambayo yatamruhusu Rais Paul Kagame kuwania kwa muhula mwingine mwaka 2017, baada yake...
Global Publishers
Habari Zinazoendana
10 years ago
Uhuru Newspaper27 Aug
Mzumbe waunga mkono Bunge la Katiba
NA WAANDISHI WETU
WANAFUNZI wa Chuo Kikuu Mzumbe, wameunga mkono mchakato wa Bunge Maalumu la Katiba, wakisema wanaridhishwa na hatua iliyofikiwa katika mwenendo mzima wa Bunge hilo.
Pia wamesema mwafaka unawezekana kuhusu vipengele viliyobakia na kupatikana kwa theluthi mbili za kupitisha Katiba Mpya.
Wanafunzi hao walieleza msimamo wao juzi jioni chuoni hapo kwenye risala ambayo waliisoma mbele ya Rais Jakaya Kikwete. Rais alitembelea chuo hicho ikiwa sehemu ya ziara yake mkoani...
10 years ago
Mwananchi27 Aug
Chuo Kikuu Mzumbe waunga mkono Bunge la Katiba
10 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-ZdZJVnJIVY0/VDP5Qv3c5qI/AAAAAAAAX4Y/Q2dE2qDeAuk/s72-c/IMG_5939.jpg)
SHIRIKISHO LA MUZIKI TANZANIA (TMF) LAUNGA MKONO MABADILIKO YA RASIMU YA KATIBA
![](http://1.bp.blogspot.com/-ZdZJVnJIVY0/VDP5Qv3c5qI/AAAAAAAAX4Y/Q2dE2qDeAuk/s1600/IMG_5939.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-EqZ3S04fNH0/VDP5SfnnTQI/AAAAAAAAX4g/L9DRojo5DWU/s1600/IMG_5958.jpg)
Shirikisho la Muziki Tanzania (TMF), limeunga mkono rasimu ya mabadiliko ya katiba kwa kile walichodai kuwa kimegusa maslahi yao hivyo wataipigania kwa nguvu zote...
10 years ago
Habarileo11 May
UN waunga mkono kazi ya Kikwete
JUMUIYA ya Kimataifa katika makao makuu ya Umoja wa Mataifa (UN) jijini hapa, imeelezea msimamo wake thabiti wa kuunga mkono kwa dhati na kwa kila hali kazi na jukumu ya Jopo la Watu Mashuhuri Duniani la Kukabiliana na Majanga Duniani linaloongozwa na Rais Jakaya Kikwete.
9 years ago
BBCSwahili19 Dec
Wanyarwanda waidhinisha marekebisho ya katiba
9 years ago
Mwananchi23 Dec
Uruwa waunga mkono juhudi za Dk Magufuli
10 years ago
BBCSwahili03 Jun
Wadhamini waunga mkono hatua ya Blatter
11 years ago
Mwananchi22 Apr
Waunga mkono kauli za viongozi wa dini