Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SHIRIKISHO LA MUZIKI TANZANIA (TMF) LAUNGA MKONO MABADILIKO YA RASIMU YA KATIBA

Mwanamuziki mkongwe wa muziki wa dansi nchini, Kasimu Mapili (kulia), akiimba wakati Rais wa Shirikisho la Muziki Tanzania (TMF), Addo Novembar (kushoto), alipozungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana, wakati akilipongeza Bunge la Katiba kwa kuingiza katika katiba vipengele vitatu vinavyolinda maslahi ya wanamuziki.
Shirikisho la Muziki Tanzania (TMF), limeunga mkono rasimu ya mabadiliko ya katiba kwa kile walichodai kuwa kimegusa maslahi yao hivyo wataipigania kwa nguvu zote...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Shirikisho la Muziki Tanzania latoa pongezi kwa Bunge Maalum la Katiba kwa kazi nzuri

2

Rais wa Shirikisho la Muziki Tanzania (TMF), Addo November (katikati) akizungumza na waandishi wa habari, wakati akilipongeza Bunge Maalum la Katiba kwa kuingiza katika vipengele vitatu vinavyolinda maslahi ya wanamuziki. Kulia ni Mwanamuziki Kasim Mapili na Samatta Rajabu.

Na Anitha Jonas –Maelezo.

SHIRIKISHO la Muziki Tanzania limetoa pongezi za dhati kwa Bunge Maalum  la Katiba lililokuwa likiongozwa na Mwenyekiti wa Bunge hilo Mhe. Samuel Sitta kwa kuingiza Ibara tatu katika Rasimu ya...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Wenye ulemavu bado wanahitaji mabadiliko rasimu ya Katiba mpya

HIVI karibuni Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph Warioba, aliwakabidhi rasimu ya pili ya Katiba mpya Rais Jakaya Kikwete na Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar,...

 

10 years ago

BBCSwahili

Bunge launga mkono mapendekezo Ugiriki

Bunge la Ugiriki limeunga mkono mapendekezo ya hivi punde ya serikali yenye lengo la kumaliza tatizo la deni la nchi hiyo

 

10 years ago

BBCSwahili

Bunge la Iraq launga mkono marekebisho

Bunge la Iraq limepiga kura kwa wingi ili kuunga mkono mapendekezo yaliotolewa na waziri mkuu Haider al Abadi ,kwa lengo la kukabiliana na ufisadi pamoja na kupunguza matumizi ya serikali.

 

9 years ago

Global Publishers

Wanyarwanda Waunga Mkono Mabadiliko ya Katiba

rwanda (5)Rais wa Rwanda, Paul Kagame.

Wanyarwanda wameunga mkono kwa wingi marekebisho ya katiba ambayo yatamruhusu Rais Paul Kagame kuendelea kuongoza, matokeo ya awali ya kura ya maoni ya mabadiliko ya katiba iliyopigwa jana nchini humo yanaonesha hivyo.

rwanda (1)Raia akipiga kura.

Kwa mujibu wa taarifa ya Tume ya Taifa ya Uchaguzi nchini Rwanda inasema, asilimia 98 ya wapiga kura wameunga mkono marekebisho hayo ya katiba ambayo yatamruhusu Rais Paul Kagame kuwania kwa muhula mwingine mwaka 2017, baada yake...

 

9 years ago

Bongo5

Shirikisho la muziki Tanzania lampongeza Magufuli

November

Shirikisho la muziki nchini limempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk John Pombe Magufuli kwa kasi ya utendaji aliyoanza nayo tangu aingie madarakani.

November
Rais wa shirikisho la muziki Tanzania, Addo November Mwasongwe

Katika taarifa yake kwa waandishi wa habari Alhamis hii, rais wa shirikisho hilo, Addo November Mwasongwe amesema Magufuli hajaonesha kuwa rais anayefaa tu bali pia amekuwa mtetezi wa wanyonge.

“Ndugu wanahabari ziara za ghafla za ndugu Magufuli sio za kubezwa, ni za...

 

10 years ago

Michuzi

Rais wa Shirikisho la Muziki Tanzania Addo November ajitosa mbio za ubunge Iringa mjini

Rais wa Shirikisho la Muziki Tanzania, Addo November Ndugu wanahabari leo tarehe 21 Juni 2015 nimekuiteni kuwaeleza juu ya Nia yangu ya kugombea Ubunge Iringa Mjini kwa ticket ya CCM. Sababu ninayo Nia ninayo na uwezo ninao kwa wananchi wangu wa Iringa na Tanzania kwa ujumla. Natambua ya kua uongoZi ni Mzigo... Uongozi ni kipaji na uongoZi ni kubeba Majukumu ya kuwaongoza wengine na siyo Ubwana au Ubwanyenye Kama dhana hii inavyoharibiwa na wengi.Ndugu wana Habari Uongozi ni Wito... Mimi...

 

10 years ago

Michuzi

TMF yalipongeza Bunge Maalum la Katiba kwa kuingiza katika Katiba vipengele vitatu vinavyolinda maslahi ya wanamuziki

Rais wa Shirikisho la Muziki Tanzania (TMF), Addo Novembar (katikati) akizungumza na wanahabari (hawapo pichani) wakati akilipongeza Bunge Maalum la Katiba kwa kuingiza katika Katiba vipengele vitatu vinavyolinda maslahi ya wanamuziki. Mwanamuziki mkongwe wa muziki wa dansi nchini, Kasimu Mapili (kulia), akiimba na kupiga gitaa lake wakati Rais wa Shirikisho la Muziki Tanzania (TMF), Addo Novembar (katikati), alipozungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam leo kuhusu kulipongeza Bunge la...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani