Rais wa Shirikisho la Muziki Tanzania Addo November ajitosa mbio za ubunge Iringa mjini
![](http://3.bp.blogspot.com/-YIaD6DiSOkw/VYZgnehdtvI/AAAAAAAHiEM/8pwvH02T4O4/s72-c/blogger-image-2124429571.jpg)
Rais wa Shirikisho la Muziki Tanzania, Addo November Ndugu wanahabari leo tarehe 21 Juni 2015 nimekuiteni kuwaeleza juu ya Nia yangu ya kugombea Ubunge Iringa Mjini kwa ticket ya CCM. Sababu ninayo Nia ninayo na uwezo ninao kwa wananchi wangu wa Iringa na Tanzania kwa ujumla. Natambua ya kua uongoZi ni Mzigo... Uongozi ni kipaji na uongoZi ni kubeba Majukumu ya kuwaongoza wengine na siyo Ubwana au Ubwanyenye Kama dhana hii inavyoharibiwa na wengi.Ndugu wana Habari Uongozi ni Wito... Mimi...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-WjDOX9MX92E/VCPtJSEH_aI/AAAAAAACroE/BOflTxq8BiI/s72-c/IMG-20140924-WA003%2B(1).jpg)
MZEE KASSIM MAPILI ALAZWA MUHIMBILI , RAIS WA SHIRIKISHO LA MUZIKI ADDO NOVEMBER AMTEMBELEA
![](http://3.bp.blogspot.com/-WjDOX9MX92E/VCPtJSEH_aI/AAAAAAACroE/BOflTxq8BiI/s1600/IMG-20140924-WA003%2B(1).jpg)
NA BONGOWEEKEND BLOGSPOT.COM
HALI ya mwanamuziki nguli Kassim Mapili aliyelazwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili katika kitengo cha moyo inaendelea vizuri imehafamika.Mapili ambaye awali alilazwa katika Hopitali ya Mwananyamala...
10 years ago
VijimamboMWANDISHI WA HABARI KALULUNGA AJITOSA MBIO ZA UBUNGE MBEYA VIJIJINIâ€
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-YLuC-Ax2HFo/VZuXdCm30TI/AAAAAAAABv4/FNaD3LbWPjU/s72-c/20150601_161420.jpg)
Mamia ya wana Iringa waendelea kumchangia Mwanahabari Kibiki achukue fomu ya Ubunge Iringa mjini
![](http://2.bp.blogspot.com/-YLuC-Ax2HFo/VZuXdCm30TI/AAAAAAAABv4/FNaD3LbWPjU/s400/20150601_161420.jpg)
10 years ago
Dewji Blog26 Jan
Wasanii mkoani Iringa wamemtungia wimbo mgombea ubunge jimbo la Iringa Mjini Frank Kibiki
MSANII wa muziki wa kizazi, kipya mjini Iringa, ONE LEE akitoa zawadi ya ngoma kwa mwandishi wa Habari Frank Kibiki kwa niaba ya wasanii wenzake, ambaye hivi karibuni alitangaza nia ya kugombea ubunge katika jimbo la Iringa mjini.
Akizungumza na waandishi wa habari mjini Iringa, wasanii hao walisema wameamua kutengeneza wimbo huo kutokana na mchango mkubwa wa mwanahabari huyo, katika fani yao.
Msanii huyo Richard Kayombo ‘One Lee’ ambaye alikabidhi wimbo kwa niaba ya wasanii wenzake...
10 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-zKXFe75aiM4/VP09kACb-_I/AAAAAAAHIyo/Z4Fmf8Out5k/s72-c/unnamed%2B(35).jpg)
Mdau Abdulaziz Ahmed ajitosa kuwania Ubunge Jimbo la Lindi Mjini
![](http://2.bp.blogspot.com/-zKXFe75aiM4/VP09kACb-_I/AAAAAAAHIyo/Z4Fmf8Out5k/s1600/unnamed%2B(35).jpg)
Kuelekea uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika mwezi oktoba mwaka huu,Mwandishi wa habari wa kituo cha televisheni cha Channel ten,Abdulaziz Ahmed leo Ametangaza nia yake ya kugombea ubunge katika jimbo la Lindi mjini katika uchaguzi mkuu ujao kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM).
Akizungumza na waandishi wa habari mjini hapa,Abdulaziz ambae pia ni Mwenyekiti wa Klabu ya Waandishi wa Habari Mkoani Lindi alisema kuwa amefikia uamuzi huo baada ya kujitathimini na kugundua...
10 years ago
Dewji Blog13 Jul
Priscus Tarimo ajitosa kinyang’anyiro cha ubunge jimbo la Moshi mjini
![](http://4.bp.blogspot.com/-MVXLfAJ027o/VaASvwY0U-I/AAAAAAAASCI/DXD3clkQjvM/s640/E86A3313%2B%25281280x853%2529.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-ZPKfFJRPpHY/VaATDOE-leI/AAAAAAAASC4/bJXodYf58Mg/s640/E86A3332%2B%25281280x853%2529.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-l2SV4E0u1rM/VaASxoRCAVI/AAAAAAAASCU/m_02qqQ5sJQ/s640/E86A3314%2B%25281280x853%2529.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-Lgia4_BwHRw/VaASw0bX7WI/AAAAAAAASCQ/8Ps0cJ22BeY/s640/E86A3317%2B%25281280x853%2529.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-LqvMIcxLRpw/VaAS8l7KQEI/AAAAAAAASCg/YJgauaskc34/s640/E86A3319%2B%25281280x853%2529.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-Ijehi4B4kSM/VaAS_9zjcWI/AAAAAAAASCo/pDpfBMHdB_4/s640/E86A3321%2B%25281280x853%2529.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-Sp67A9aav6A/VaATAPm2AqI/AAAAAAAASCs/JvH-N-cO0JA/s640/E86A3323%2B%25281280x853%2529.jpg)
10 years ago
GPLBALOZI MAHIGA AJITOSA MBIO KUWANIA URAIS WA TANZANIA
10 years ago
Dewji Blog23 Jul
Wandili wa SEMA ajitosa kuwania ubunge jimbo la Singida mjini kwa tiketi ya ACT
Mfanyakazi wa shirika lisilo la kiserikali la SEMA mkoani Singida, Jeremiah Paul Wandili, (katikati) akitangaza nia ya kugombea ubunge jimbo la Singida mjini kupitia tiketi ya ACT Wazalendo. Kulia ni Mwakilishi wa mwenyekiti wa ACT Wazalendo mkoa wa Singida, Peter Mkenyi na kushoto ni Mratibu wa harakati za Wandili za kugombea jimbo Peter Lisu.(Picha na Nathaniel Limu).
Na Nathaniel Limu, Singida
KIJANA mfanyakazi wa Shirika lisilo la kiserikali la SEMA Singida Mjini, Jeremiah Paul Wandili...
10 years ago
Dewji Blog20 Jun
Mustafa Panju kuingia katika mbio za ubunge Arusha mjini
Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Bushbucks Safaris iliyopo jijini Arusha, Mustafa Panju akiongea na vyombo mbalimbali vya habari ofisini kwake akitangaza rasmi kuwania kiti cha ubunge jimbo la Arusha mjini kupitia tiketi ya Chama cha Mapinduzi CCM.
Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya Bushbucks Safaris iliyopo jijini Arusha, Mustafa Panju akiongea na vyombo mbalimbali vya habari ofisini kwake ,akitangaza rasmi kuwania kiti cha ubunge jimbo la Arusha mjini kupitia tiketi ya Chama cha...