BALOZI MAHIGA AJITOSA MBIO KUWANIA URAIS WA TANZANIA
Balozi Dr. Augustine Mahiga (kushoto) akiwa na mkewe, Elizabeth Mahiga (katikati) na kada wa CCM Eng. Lucas B.Chogo. Wanahabari wakifuatilia tukio hilo. ALIYEKUWA Balozi wa Kudumu wa Umoja wa Mataifa, Dr. Augustine  Mahiga,   amesema anazo sifa zote za kumfanya kuwa rais bora wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM). Aliyasema hayo hapo jana katika Idara ya Habari (Maelezo) alipokuwa...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo![](http://2.bp.blogspot.com/-yhhd3_k0tSk/VX5rHFEVBLI/AAAAAAAAvww/Cn717LOxw2c/s72-c/migiro.png)
Dk Asha-Rose Migiro Ajitosa Kuwania Urais Kupitia CCM......Samuel Sitta Kurudisha Fomu ya Urais Leo
![](http://2.bp.blogspot.com/-yhhd3_k0tSk/VX5rHFEVBLI/AAAAAAAAvww/Cn717LOxw2c/s640/migiro.png)
![](http://beacon.walmart.com/vm/ttap.gif?id=10694486&channel=WALMART&network=sraxopen_vhct&creative=SAL&destination=MICROSITE&size=728x90&idea=MOM&type=FLASH&device=DESKTOP)
Aidha, taarifa zilizozagaa kwenye mitandao ya kijamii, kuwa Waziri wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Dk Ali Mohammed Shein kuwa atachukua fomu si za kweli kwa mujibu wa chanzo cha habari kutoka ndani ya CCM.Migiro, ambaye atachukua fomu kwenye makao makuu wa CCM mjini Dodoma saa tisa mchana, atakuwa mwanamke wa nne kuchukua fomu...
10 years ago
Mwananchi28 Dec
Nyalandu ajitosa rasmi mbio za Urais kupitia CCM 2015
10 years ago
Mwananchi16 Jun
Hatimaye Dk Migiro ajitosa kuwania urais
10 years ago
Uhuru Newspaper11 Mar
Magige Nyerere naye ajitosa kuwania urais
NA KHADIJA MUSSA MTOTO mwingine wa Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere, Magige Nyerere, amejitokeza na kuonyesha nia ya kuwania urais katika uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba, mwaka huu. Magige ni mtoto wa pili wa Mwalimu Nyerere kuonyesha nia ya kuwania uras baada ya hivi karibuni Makongoro Nyerere, kutajwa kuwa ni miongoni mwa watu wanaowania nafasi hiyo. Mke wa Baba wa Taifa, Maria Nyerere amebariki watoto hao kuwania nafasi hiyo na kusema ni raia halali wa Tanzania na...
10 years ago
Habarileo10 Jun
Balozi Mahiga rasmi urais CCM
MWANADIPLOMASIA maarufu, Balozi Dk Augustine Mahiga ametangaza nia kukiomba Chama Cha Mapinduzi (CCM) kumfikiria na hatimaye kupendekeza ili apate fursa ya kugombea nafasi ya Urais wa Tanzania.
5 years ago
CCM BlogMUSSA ABOUD JUMBE AJITOSA KUCHUKUA FOMU ZA KUWANIA URAIS ZANZIBAR
10 years ago
MichuziBALOZI MAHIGA ATANGAZA NIA YA KUGOMBEA URAIS
ALIYEKUWA Balozi wa Kudumu wa Umoja wa Mataifa,Dk. Augustine Mahiga ametangaza nia ya kugombea urais ndani ya Chama cha Mapinduzi (CCM), jijini Dar es salaam leo.
Akizungumza na waandishi wa habari katika ukumbi wa Idara ya Habari Maelezo jijini Dar es Salaam, Mahiga amesema maadili yamemomonyoka na kufanya kuwepo kwa rushwa na ufisadi.
Mahiga amesema ubadhirifu na ufisadi katika taifa kunahitajika kuwepo kwa mwelekeo katika kuweza kupambana na vitu hivyo ili...
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-sZX9SCxkI0Y/VZqFINMtwrI/AAAAAAADVXg/WxYPG_i8zEs/s72-c/am1.jpg)
Balozi Amina Salum Ali azungumzia matarajio yake endapo atapitishwa na CCM kuwania urais wa Tanzania
![](http://1.bp.blogspot.com/-sZX9SCxkI0Y/VZqFINMtwrI/AAAAAAADVXg/WxYPG_i8zEs/s640/am1.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-NR2vatpdWx4/VZqFGr1y-MI/AAAAAAADVXU/0z7eZpiU6KM/s640/am2.jpg)