Shirikisho la muziki Tanzania lampongeza Magufuli
Shirikisho la muziki nchini limempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk John Pombe Magufuli kwa kasi ya utendaji aliyoanza nayo tangu aingie madarakani.
Rais wa shirikisho la muziki Tanzania, Addo November Mwasongwe
Katika taarifa yake kwa waandishi wa habari Alhamis hii, rais wa shirikisho hilo, Addo November Mwasongwe amesema Magufuli hajaonesha kuwa rais anayefaa tu bali pia amekuwa mtetezi wa wanyonge.
“Ndugu wanahabari ziara za ghafla za ndugu Magufuli sio za kubezwa, ni za...
Bongo5
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo![](http://1.bp.blogspot.com/-ZdZJVnJIVY0/VDP5Qv3c5qI/AAAAAAAAX4Y/Q2dE2qDeAuk/s72-c/IMG_5939.jpg)
SHIRIKISHO LA MUZIKI TANZANIA (TMF) LAUNGA MKONO MABADILIKO YA RASIMU YA KATIBA
![](http://1.bp.blogspot.com/-ZdZJVnJIVY0/VDP5Qv3c5qI/AAAAAAAAX4Y/Q2dE2qDeAuk/s1600/IMG_5939.jpg)
![](http://2.bp.blogspot.com/-EqZ3S04fNH0/VDP5SfnnTQI/AAAAAAAAX4g/L9DRojo5DWU/s1600/IMG_5958.jpg)
Shirikisho la Muziki Tanzania (TMF), limeunga mkono rasimu ya mabadiliko ya katiba kwa kile walichodai kuwa kimegusa maslahi yao hivyo wataipigania kwa nguvu zote...
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-YIaD6DiSOkw/VYZgnehdtvI/AAAAAAAHiEM/8pwvH02T4O4/s72-c/blogger-image-2124429571.jpg)
Rais wa Shirikisho la Muziki Tanzania Addo November ajitosa mbio za ubunge Iringa mjini
![](http://3.bp.blogspot.com/-YIaD6DiSOkw/VYZgnehdtvI/AAAAAAAHiEM/8pwvH02T4O4/s640/blogger-image-2124429571.jpg)
9 years ago
CCM BlogBARAZA LA WAZEE DAR LAMPONGEZA DK MAGUFULI KWA USHINDI
10 years ago
Dewji Blog08 Oct
Shirikisho la Muziki Tanzania latoa pongezi kwa Bunge Maalum la Katiba kwa kazi nzuri
Rais wa Shirikisho la Muziki Tanzania (TMF), Addo November (katikati) akizungumza na waandishi wa habari, wakati akilipongeza Bunge Maalum la Katiba kwa kuingiza katika vipengele vitatu vinavyolinda maslahi ya wanamuziki. Kulia ni Mwanamuziki Kasim Mapili na Samatta Rajabu.
Na Anitha Jonas –Maelezo.
SHIRIKISHO la Muziki Tanzania limetoa pongezi za dhati kwa Bunge Maalum la Katiba lililokuwa likiongozwa na Mwenyekiti wa Bunge hilo Mhe. Samuel Sitta kwa kuingiza Ibara tatu katika Rasimu ya...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-lZiBRJSbhW8/XuJamBah65I/AAAAAAALtes/rS-wvbr6LqA98dG0FXOOjqtAeWDx86IiACLcBGAsYHQ/s72-c/1.jpg)
KANISA LA EAGT LAMPONGEZA RAIS MAGUFULI KWA KUONGOZA MAPAMBANO YA CORONA, WAMUOMBA ASIYUMBISHWE NA WANAOMBEZA
Charles James, Michuzi TV
UONGOZI bora, uadilifu, utendaji kazi uliotukuka, hofu ya Mungu na mapambano dhidi ya ugonjwa wa Corona ndivyo vitu ambavyo Baraza la Maaskofu la Kanisa la Evangelist Assemblies of God Tanzania (EAGT) vimewavutia na kutoa pongezi maalum kwa Rais Dk John Magufuli.
Pongezi hizo za Kanisa la EAGT nchini zimetolewa leo jijini Dodoma na Askofu Mkuu wa Kanisa hilo, Brown Mwakipesile Katika mkutano mkuu wa Baraza hilo lililojumuisha Maaskofu wa Majimbo 83 na wale wa Kanda...
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-WjDOX9MX92E/VCPtJSEH_aI/AAAAAAACroE/BOflTxq8BiI/s72-c/IMG-20140924-WA003%2B(1).jpg)
MZEE KASSIM MAPILI ALAZWA MUHIMBILI , RAIS WA SHIRIKISHO LA MUZIKI ADDO NOVEMBER AMTEMBELEA
![](http://3.bp.blogspot.com/-WjDOX9MX92E/VCPtJSEH_aI/AAAAAAACroE/BOflTxq8BiI/s1600/IMG-20140924-WA003%2B(1).jpg)
NA BONGOWEEKEND BLOGSPOT.COM
HALI ya mwanamuziki nguli Kassim Mapili aliyelazwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili katika kitengo cha moyo inaendelea vizuri imehafamika.Mapili ambaye awali alilazwa katika Hopitali ya Mwananyamala...
9 years ago
Bongo514 Dec
Beka Ibrozama: Muziki wa biashara usitufanye tuutupe muziki wa asili ya Tanzania
![beka](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/beka-300x194.jpg)
Muimbaji aliyewahi kutamba na wimbo wake ‘Natumaini’, Beka Ibrozama ameonya kuwa kama wasanii watajisahau na kufanya zaidi ule wanaouita muziki wa biashara wenye kukopa vionjo vya nje, muziki wenye asili ya Tanzania utapotea.
Akiongea kwenye kipindi cha Chill na Sky hivi karibuni, Beka alisema pamoja na kufanya nyimbo za kisasa, bado amekuwa akitumia muziki wenye asili ya Tanzania kumpa inspiration.
“Nasikiliza tu jinsi muziki unavyoelekea, naona ni muziki ambako upo wa kukopi sana, watu...
10 years ago
GPLMAGUFULI APONGEZWA NA SHIRIKISHO LA VYUO VYA ELIMU YA JUU
10 years ago
BBCSwahili07 Apr
Shirikisho la ngumi Tanzania lina ukata.