Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BARAZA LA WAZEE DAR LAMPONGEZA DK MAGUFULI KWA USHINDI



 Mwenyekiti wa Baraza la Wazee Mkoa wa Dar es Salaam, Hemed Mkali (kulia) akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari, Dar es Salaam leo, kuhusu uamuzi wa baraza hilo wa kumpongeza  Rais Mteule wa Tanzania, Dk. John Magufuli kwa ushindi alioupata katika katika Uchaguzi Mkuu uliofanyika nchini Oktoba 25. Kutoka kushoto ni Katibu Mwenezi wa CCM Mkoa wa mkoa huo, Juma Simba na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam, Ramadhan Madabida ambao walikuwa wajumbe waalikwa. (PICHA ZOTE NA...

CCM Blog

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Dewji Blog

Dkt. Magufuli alipotambulishwa kwa wazee wa Dar ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar

 Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Katibu Mkuu wa CCM Ndg. Abdulrahma Kinana alipokuwa anawasili kwenye hafla ya kumtambulisha mgombea wa Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli katika ukumbi wa Diamond Jubilee jijini Dar es salaam Jumatano Agosti 19, 2015  Mwenyekiti wa CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na Makamu wa Mwenyekiti wa CCM (Bara) Ndg Philip Mangula alipowasili kwenye hafla ya kumtambulisha mgombea wa Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli katika ukumbi...

 

5 years ago

Michuzi

KANISA LA EAGT LAMPONGEZA RAIS MAGUFULI KWA KUONGOZA MAPAMBANO YA CORONA, WAMUOMBA ASIYUMBISHWE NA WANAOMBEZA


Charles James, Michuzi TV

UONGOZI bora, uadilifu, utendaji kazi uliotukuka, hofu ya Mungu na mapambano dhidi ya ugonjwa wa Corona ndivyo vitu ambavyo Baraza la Maaskofu la Kanisa la Evangelist Assemblies of God Tanzania (EAGT) vimewavutia na kutoa pongezi maalum kwa Rais Dk John Magufuli.

Pongezi hizo za Kanisa la EAGT nchini zimetolewa leo jijini Dodoma na Askofu Mkuu wa Kanisa hilo, Brown Mwakipesile Katika mkutano mkuu wa Baraza hilo lililojumuisha Maaskofu wa Majimbo 83 na wale wa Kanda...

 

5 years ago

Michuzi

BARAZA LA MADIWANI NYASA LAMPONGEZA NAIBU WAZIRI MANYANYA

Mbunge wa wa Jimbo la Nyasa Mhandisi Stela Manyanya Amabaye pia ni Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara akiwa katika Baraza la Madiwani lililofanyika katika Ukumbi wa Kepten John Komba Mbamba-bay Wilayani Nyasa.Pamoja na mambo mengine Baraza hilo limempongeza kwa kutekeleza miradi mingi ya Maendeo Wilayani hapa

*********************************

Baraza la Madiwani la Halmashauri ya Wilaya ya Nyasa, limempongeza Mbunge wa jimbo la Nyasa ambaye pia ni Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhandisi...

 

9 years ago

GPL

MAGUFULI ALIPOTAMBULISHWA KWA WAZEE WA DAR, UKUMBI WA DIAMOND JUBILEE

 Mgombea wa Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli akisalimia umati  Mgombea wa Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli akisalimia umati  Pongezi kwa mgombea wa Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli baada ya kuogea   Meza kuu…

 

9 years ago

Bongo5

Shirikisho la muziki Tanzania lampongeza Magufuli

November

Shirikisho la muziki nchini limempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk John Pombe Magufuli kwa kasi ya utendaji aliyoanza nayo tangu aingie madarakani.

November
Rais wa shirikisho la muziki Tanzania, Addo November Mwasongwe

Katika taarifa yake kwa waandishi wa habari Alhamis hii, rais wa shirikisho hilo, Addo November Mwasongwe amesema Magufuli hajaonesha kuwa rais anayefaa tu bali pia amekuwa mtetezi wa wanyonge.

“Ndugu wanahabari ziara za ghafla za ndugu Magufuli sio za kubezwa, ni za...

 

9 years ago

CCM Blog

MAGUFULI AWASHUKURU WAPIGA KURA WALIOMPA USHINDI DAR

 Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia wapenzi na wanachama wa Chama Cha Mapinduzi waliojitokeza kwa wingi kwenye hafla fupi ya kumpongeza Dk. John Pombe Magufuli kwa ushindi alioupata katika uchaguzi wa uliofanyika oktoba 25 mwaka 2015.
 Mwenyekiti wa CCM Taifa, Rais Jakaya Mrisho Kikwete (kulia)akizungumza na Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahma Kinana(katikati) pamoja na Waziri Mkuu Mhe. Mizengo Pinda wakati wa sherehe ndogo ya kushukuru wapiga kura walioipa CCM...

 

11 years ago

Michuzi

BARAZA LA WAZEE KANISA LA MORAVIAN TABATA LAWATOA HOFU WAUMINI, LAKANUSHA TAARIFA YA KUZUILIWA KWA IBADA

Wakili wa kujitegemea wa Baraza la wazee wa kanisa la Moravian Usharika wa Tabata Bw. Benjamin Mwakambe akiongea na waandishi wa habari kuhusu amri ya iliyotolewa na mahakama kuzuia Bodi ya wadhamini wa kanisa la Moravian Kanda ya Kusini kusimamisha huduma za kiroho na kijamii katika eneo hilo. Wengine ni Mzee Kiongozi wa Usharika huo Bw.Ernest Isakwisa(kulia) na Hamphrey Mgema (kushoto) Baadhi ya Wazee wa Kanisa la Moravian usharika wa Tabata wakifuatilia masuala mbalimbali wakati wa...

 

9 years ago

Michuzi

MAGUFULI CUP YAZINDULIWA RASMI, ABAJALO YAANZA KWA USHINDI

TIMU ya Abajalo SC leo imeifunga timu ya Zakhem SC kwa bao 2-1 kwenye mchezo wa ufunguzi wa michuano ya Magufuli Cup ‘#Hapa Kazi Tu’ iliyoanza kutimua vumbi rasmi leo kwa mchezo mmoja uliochezwa kwenye uwanja wa Mwl. Nyerere, Magomeni jijini Dar es Salaam.

 Magoli yote mawili ya Abajalo yamefungwa na Lameck Daiton, goli la kwanza limefungwa dakika ya tisa wakati goli la pili limefungwa dakika ya 11 kwa mkwaju wa penati baada ya Muhsin Said kuangushwa kwenye eneo la hatari wakati akielekea...

 

5 years ago

Michuzi

WAZEE WA MTAMA WASHINDWA KUZUIA HISIA ZAO KWA RAIS MAGUFULI

 Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)Dkt. Bashiru Ally akiendelea na ziara yake Mkoani Mtwara kuelekea jimbo la Ndanda kupitia jimbo la Mtama, wazee wameshindwa kuzuia hisia zao kwa Rais Magufuli kwa kuonesha nia ya kutaka kumchangia gharama za fomu za Urais mwaka 2020.

Akieleza kwa niaba ya wazee hao, Mbunge wa jimbo la Mtama Ndg. Nape Mosses Nnaye, ameleeza kuwa wazee wapo tayari na wamejipanga kumchangia gharama za fomu za Urais ili kuonesha mapenzi yao kwake kutokana na namna...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani